Juzi nilikuwa namtafuta shosti kwa dharura, akaniambia yupo salon anasuka, akanielekeza nikaona nimfwate....
wakati tunaongea, kulikuwa na mrembo mmoja pembeni anashonea weaving na kutengenezwa kucha, kope, nyusi, n.k.
mara simu ya mrembo ikaita, maongezi yakaanza..... "yaani we acha tu, ndo mambo ya dunia lakini, Tunamshukuru Mungu..... asante sana....
tunaaga kesho mchana na safari ya kwenda Moshi kwa mazishi itaanza baada ya kuaga, kweli tutammiss sana kaka yetu....."
baada ya hapo maongezi yakawa yanaendelea akawa anasimulia kuwa kakake kabisa kafariki, kaumwa siku 2 tu kafa.....
sijui ndo ukijijini au ushamba wangu! kweli nilisikitika sana.....
sipati picha kakangu anafariki, mimi naweza kuwa na nguvu kwenda salon kujipiga msasa ili niende kuzika kakangu au ndugu yangu wa karibu.
Nikajiuliza mambo mengi sana.
1) ni kwamba watu siku hizi wamezoea sana misiba kiasi kwamba wanaona ni kitu cha ajabu tu kufiwa?
2) watu hatuna uchungu tena na ndugu zetu?
3) u-kisasa unatufanya tuwe hivyo?
kweli mahusiano na ndugu/jamaa/marafiki yamepungua kiasi hiki mpaka tunachukulia misiba ya ndugu zetu kirahisi namna hii?
ha haaaaa, na ushamba huu nani angenipa hiyo tenda?
maana nilionyesha wazi wazi kushangaa dada mtu kuja kujipara ili akamlilie kakake
aliulizwa huyo binti ni kakake kivipi akasema wamezaliwa baba/mama mmojaInategemea na namna walivo kuzwa toka utoto,katika hali ya kujua
huyu ni ndugu yangu,tuna thaminiana vipi,nini maana ya undugu.
Nikupe mfano?
Baba yangu ana watoto 6,kila mtoto ana mama yake.
Sijakaa na baba yangu ila mama.
ndugu zangu tunaoshare mama tumekua wote,tumecheza wote,tumelala njaa wote,
tumesherehekea wote mafanikio etc. Tunajua nini maana ya kua ndugu.
Tofauti na ndugu zangu wale watoto wa baba yangu. Akifa mmoja kati ya watoto wa
baba,feelings hazitakua sawa sawa na ndugu zangu tulio share mama.
Ni mfumo mbaya,ambao ndio upo kwenye maisha ya sasa. Watoto wana sambaa bila kujua ndugu
zao wako wapi,ni vipi wanapaswa pendana kama ndugu,ni nini uthamani wa binadamu mwenzako
ni kitu ambacho hatukipati/kukitoa kwa watoto wetu. Mungu na atusamehe.
Miez kadhaa ilyopita nlpgiwa simu et nkaambiwa nitoe rambirambi ya msiba. Suala la rambirambi halikuwa tatizo kwangu. Tatizo ni kiwango cha chni cha pesa nlchoambiwa nitoe. Niliambiwa eti haitakiwi ipungue elfu 20.. Nliamua kutotuma hata sumni.Wewe kweli babu! Bajeti ya msiba ya milioni 10 ilikuwa miaka 3 ama 4 nyuma. Sasa tunaongelea mil 15 baba. Na familia ina minimum contribution!
hujakosea rafiki.... binti anaonekana wa mujini haswaaaaaaa........Huyo atakuwa wa "mujini" maana baadhi yao hawa msiba tena umekuwa ni kitu cha kawaida hata jinsi wanavyoomboleza inaacha maswali mengi tu kwa majirani na marafiki pia.
kweli nimekuwa......ukisikia kuwa uyaone ndio hayo sasa mambo yenyewe sasa...:crying::crying:
Miez kadhaa ilyopita nlpgiwa simu et nkaambiwa nitoe rambirambi ya msiba. Suala la rambirambi halikuwa tatizo kwangu. Tatizo ni kiwango cha chni cha pesa nlchoambiwa nitoe. Niliambiwa eti haitakiwi ipungue elfu 20.. Nliamua kutotuma hata sumni.
shosti sare ya mazishi laki?Hujawahi kupata kadi ya mwaliko ya kwenxa msibani? Na wewe unajiweka nyuma jamani kha. Ngoja nikialikwa siku ntakuambia. Ila ndo tukubaliane inabidi ulipuke na sare na inaweza kugharimu hata laki! Ukienda na khanga ama tenge watu watadhani wewe ndo mjane wa marehemu buree. Usisahau japo maingilishi gold ya kufuru.
Wewe ni mshamba FP kwani sikuhizi wanalia hata kulia??au kuzika kushika udongo??Juzi nilikuwa namtafuta shosti kwa dharura, akaniambia yupo salon anasuka, akanielekeza nikaona nimfwate....
wakati tunaongea, kulikuwa na mrembo mmoja pembeni anashonea weaving na kutengenezwa kucha, kope, nyusi, n.k.
mara simu ya mrembo ikaita, maongezi yakaanza..... "yaani we acha tu, ndo mambo ya dunia lakini, Tunamshukuru Mungu..... asante sana....
tunaaga kesho mchana na safari ya kwenda Moshi kwa mazishi itaanza baada ya kuaga, kweli tutammiss sana kaka yetu....."
baada ya hapo maongezi yakawa yanaendelea akawa anasimulia kuwa kakake kabisa kafariki, kaumwa siku 2 tu kafa.....
sijui ndo ukijijini au ushamba wangu! kweli nilisikitika sana.....
sipati picha kakangu anafariki, mimi naweza kuwa na nguvu kwenda salon kujipiga msasa ili niende kuzika kakangu au ndugu yangu wa karibu.
Nikajiuliza mambo mengi sana.
1) ni kwamba watu siku hizi wamezoea sana misiba kiasi kwamba wanaona ni kitu cha ajabu tu kufiwa?
2) watu hatuna uchungu tena na ndugu zetu?
3) u-kisasa unatufanya tuwe hivyo?
kweli mahusiano na ndugu/jamaa/marafiki yamepungua kiasi hiki mpaka tunachukulia misiba ya ndugu zetu kirahisi namna hii?
hiyo ilikuwa rambi rambi au mchango?Miez kadhaa ilyopita nlpgiwa simu et nkaambiwa nitoe rambirambi ya msiba. Suala la rambirambi halikuwa tatizo kwangu. Tatizo ni kiwango cha chni cha pesa nlchoambiwa nitoe. Niliambiwa eti haitakiwi ipungue elfu 20.. Nliamua kutotuma hata sumni.
Wewe ni mshamba FP kwani sikuhizi wanalia hata kulia??au kuzika kushika udongo??Juzi nilikuwa namtafuta shosti kwa dharura, akaniambia yupo salon anasuka, akanielekeza nikaona nimfwate....
wakati tunaongea, kulikuwa na mrembo mmoja pembeni anashonea weaving na kutengenezwa kucha, kope, nyusi, n.k.
mara simu ya mrembo ikaita, maongezi yakaanza..... "yaani we acha tu, ndo mambo ya dunia lakini, Tunamshukuru Mungu..... asante sana....
tunaaga kesho mchana na safari ya kwenda Moshi kwa mazishi itaanza baada ya kuaga, kweli tutammiss sana kaka yetu....."
baada ya hapo maongezi yakawa yanaendelea akawa anasimulia kuwa kakake kabisa kafariki, kaumwa siku 2 tu kafa.....
sijui ndo ukijijini au ushamba wangu! kweli nilisikitika sana.....
sipati picha kakangu anafariki, mimi naweza kuwa na nguvu kwenda salon kujipiga msasa ili niende kuzika kakangu au ndugu yangu wa karibu.
Nikajiuliza mambo mengi sana.
1) ni kwamba watu siku hizi wamezoea sana misiba kiasi kwamba wanaona ni kitu cha ajabu tu kufiwa?
2) watu hatuna uchungu tena na ndugu zetu?
3) u-kisasa unatufanya tuwe hivyo?
kweli mahusiano na ndugu/jamaa/marafiki yamepungua kiasi hiki mpaka tunachukulia misiba ya ndugu zetu kirahisi namna hii?
Mh!Naogopa na sipendi kuishi kimazoea!
'
Leo kulikuwa na msiba maeneo ya nyumbani,na kulikua na watu wengi msibani
'
Watu wale malikuwa wanahitaji kula na kunywa
'
Na gharama yote hiyo ni kwa wafiwa
'
Msiba utadumu kwa siku nne
'
Nikajiulizb hasa sababu ya kundi lote lile kushinda pale wakisubiri chakula kutoka kwa wafiwa
'
Kuna wakati mfiwa alikuwa analia sana,nadhani kilio kile kilisababishwa na mengi
'
Mtu akifariki muda wake umeisha hapa duniani,yanini kuwekeana "gozi"?
ha haaaa, hao unawachemshia maji mengi ya kunywa na ukijitahidi sana unapika ugali na mchicha au mchemsho wa dagaa wa mwanza bila kutoa vichwaMh!Naogopa na sipendi kuishi kimazoea!
'
Leo kulikuwa na msiba maeneo ya nyumbani,na kulikua na watu wengi msibani
'
Watu wale malikuwa wanahitaji kula na kunywa
'
Na gharama yote hiyo ni kwa wafiwa
'
Msiba utadumu kwa siku nne
'
Nikajiulizb hasa sababu ya kundi lote lile kushinda pale wakisubiri chakula kutoka kwa wafiwa
'
Kuna wakati mfiwa alikuwa analia sana,nadhani kilio kile kilisababishwa na mengi
'
Mtu akifariki muda wake umeisha hapa duniani,yanini kuwekeana "gozi"?
hujakosea rafiki.... binti anaonekana wa mujini haswaaaaaaa........
ila kumbe uchungu wa ndugu unatofautiana kati ya sisi wa kijijini na wale wa mujini?
basi bora niendelee kuwa wa kijijini kwa kweli
Kwi kwi kwi. siku hizi haipungui 50. Na hapo sare bado. Ila ni watu unashirikiana nao my dear. Inabodi utoe manake raha ya maskini mtaji ni watu.