Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
- #41
mwenzangu kweli mimi ni mshamba, ngoja ni:shut-mouth:
Wewe ni mshamba FP kwani sikuhizi wanalia hata kulia??au kuzika kushika udongo??
Wewe usishangae mjini watu watakushangaa....watakukimbia bora ukae kimya!!:tape2:
- Wanavaa viatu vilefu
- Wanakuja na gari lakifahari
- Wanatoka na vitenge vya ghana
- Wantoka na miwani ya guchi au copacabana,au prada
- Masikio kifua kinasheheni kama mkongo yupo dancefloor
- Zinatengenezwa fulana za fubu,nike,nautica,nk
- Gari la kifahari lakubeba mwili
- Wabebaji wamevaa suti nyeusi shati jeupe na groves
- Msafara wa Benz
- Wanakodi watu wakuzika
- Contractor wa kujenga kaburi
- Wanakodi watu wakulia
- PA system/Nyuki DJs na masipika ya ukumbini au ya promotion
- Catering makaburini mambo nimengi siwezi kuyamaliza
- Makochi ya sofa ya world funiture
- Vikundi vya kuimba vya dini
- Wanapiga picha na Tablets (iPad)badala ya camera
- Video wanatumia vision eye