Kama Rwanda au au Uganda wanaiibia Congo KWA nini Bado ni masikini?

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,514
Reaction score
23,511
Wakina Bismark walipokaa Berlin waiibie na kupora mali za Africa matokeo yalionekana wazi. Ulaya ilitajirika KWA muda mfupi sana.

Kuna tetesi na tuhuma KUWA baadhi ya nchi za Africa zinaiibia Congo malighafi. Na mbaya zaidi wanasema wanaiibia madini ambayo hata mtaani tu mfanyabiashara wa madini SIO MTU WA kawaida kiuchumi.

Sasa ukingalia nchi hizi Bado ni masiki, tegemezi, wanashida kubwa tu kama nchi ambazo hazina tuhuma za wizi.

KWA nini inakuwa hivyo? Au hawaibi bali ni madalali wa wezi wa kizungu, au tunawasingizia hakuna mwafrika mwenye uwezo wa kumpora mwenzake.
 
Wanufaika si wananchi wa hizo nchi (Uganda/Rwanda) bali viongozi wachache wanaocheza huo mchezo.
 
Wakina Bismark walipokaa Berlin waiibie na kupora mali za Africa matokeo yalionekana wazi. Ulaya ilitajirika KWA muda mfupi sana.

Kuna tetesi na tuhuma KUWA baadhi ya nchi za Africa zinaiibia Congo malighafi. Na mbaya zaidi wanasema wanaiibia madini ambayo hata mtaani tu mfanyabiashara wa madini SIO MTU WA kawaida kiuchumi.

Sasa ukingalia nchi hizi Bado ni masiki, tegemezi, wanashida kubwa tu kama nchi ambazo hazina tuhuma za wizi.

KWA nini inakuwa hivyo? Au hawaibi bali ni madalali wa wezi wa kizungu, au tunawasingizia hakuna mwafrika mwenye uwezo wa kumpora mwenzake.
Wasipoiba watakuwa mafukara
Lakini hata sissi tunaibiwa
 
Labda mjini mbona vijijini na maeneo mengine hakuna tofauti na sehemu nyingine.
Rwanda hana bandari
Rwanda hana Tanzanite
Rwanda hana mlima Kilimanjaro
Rwanda hana Serengeti, Ngorongoro, Tarangire, Mikumi, Ruaha n.k
Rwanda hana lake Victoria,Nyasa Tanganyika n.k
Rwanda hana gesi asilia
Rwanda hana Nyamongo, Mwadui, Geita gold mine

Rwanda anategemea utalii wa sokwe na makaburi ya kimbali lakini humfikii uchumi, peleka pale pesa yako ya madafu uone aibu
 
Rwanda Iko vizuri labda Uganda
Nchi ndogo kama ile yenye watu wachache kama inaexport Hadi dhahabu tulitegemeq iwe imeshafikia malengo ya Rais wao ( Rwanda to be Singapore of Africa).

Lakini sidhani kama hata wameshafika uchumi wa kati.
1000002080.png
 
Rwanda hana bandari
Rwanda hana Tanzanite
Rwanda hana mlima Kilimanjaro
Rwanda hana Serengeti, Ngorongoro, Tarangire, Mikumi, Ruaha n.k
Rwanda hana lake Victoria,Nyasa Tanganyika n.k
Rwanda hana gesi asilia
Rwanda hana Nyamongo, Mwadui, Geita gold mine

Rwanda anategemea utalii wa sokwe na makaburi ya kimbali lakini humfikii uchumi, peleka pale pesa yako ya madafu uone aibu
Sisi tumeshafeli hilo hatukatai, kama Bado kwenye vyanzo vya MAJI Kuna uhaba wa MAJI maana yake tunahitaji reform kubwa sana ili akili zetu ziwe na uwezo wa kutatua haraka changamoto ambazo tayari MwenyeziMungu ameshazitatua KWA kutupa natural resources.

Hapo nimeangalia wikipedia. Rwanda wanaexport Dhahabu, Tin, na ores za madini kadhaa.
Sijui ni KWA kiwango gani ila KWA idadi ya raia wao na jinsi wanavyojinasibu walitakiwa KUWA mbali kuliko walipo Sasa. Labda kama ni hub ya kupitishia madini ya wazungu huku wao wanaishia kula vikodi tu au ni kiasi kidogo sana. Ila madini mkuu lazima yakufanye tajiri upesi sana
 
Hii Rwanda huwa mnaipaisha Sana . Sijui ni kukaririshana au story za vijiwe. Kweli Rwanda iizidi tz uchumi.
 
Vyovyote iwavyo ila namuona PK bonge la kiongozi
Akipewa nchi kama hii miaka 5 tu tutakuwa matajiri
 
Hii Rwanda huwa mnaipaisha Sana . Sijui ni kukaririshana au story za vijiwe. Kweli Rwanda iizidi tz uchumi.
Rwanda wana huduma Bora jamii kama maji, Afya, elimu, umeme
Miundo mbinu barabara n.k
Angalia shirika lao la ndege Rwanda air linanganisha na kwetu
Angalia walijenga Amahoro stadium 🏟️
Angalia walivo solve tatizo la aijira Kwa vijana
Rwanda wako serious mkuu
 
Back
Top Bottom