Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,008
- 100,227
Yaaani, watanzania mnasumbuka na kuteseka na Rwanda sana, Sasa sijui ni uoga wenu au mnaipenda sana Rwanda?
Wanyarwanda wenyewe wanavaa jezi za Yanga
Rwanda ipi? Kigali?Rwanda ina uchumi mzuri
Swali; ulishafika Rwanda?Hii Rwanda huwa mnaipaisha Sana . Sijui ni kukaririshana au story za vijiwe. Kweli Rwanda iizidi tz uchumi.