matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,515
- Thread starter
- #21
Karibu nusu ya nchi wanaishi chini ya mstari wa umasikini. Wanafeli wapi, je ni sehemu sahihi ya kujifunzia au kujilinhanishia?Rwanda hana bandari
Rwanda hana Tanzanite
Rwanda hana mlima Kilimanjaro
Rwanda hana Serengeti, Ngorongoro, Tarangire, Mikumi, Ruaha n.k
Rwanda hana lake Victoria,Nyasa Tanganyika n.k
Rwanda hana gesi asilia
Rwanda hana Nyamongo, Mwadui, Geita gold mine
Rwanda anategemea utalii wa sokwe na makaburi ya kimbali lakini humfikii uchumi, peleka pale pesa yako ya madafu uone aibu