Kama Rwanda au au Uganda wanaiibia Congo KWA nini Bado ni masikini?

Sitaki nikupinge
Rwanda ilipo ni bora
Angalia Shirika lao la ndege Rwanda air na ATCL
Tazama jeshi lao na vifaa vya kivita
Tazama Miundo mbinu Yao ya barabara na reli
Tazama sekta Yao ya utalii inavozingumzwa duniani
Tazama sekta ya michezo na hapa natabiri kwenye hizi nchi zinazoandaa Afcon Kwa maana Kenya Uganda na TANZANIA mmoja atapokwa atapewa Rwanda
Sawa matatizo Bado wanayo ila inaonekana wana Nia thabiti ya kuyamaliza
Rwanda Air ina make loss pia, na oia usilinganishe uchumi wa nchi kupitia sijui shirika la ndege, hizi ni comparison za kijinga sana, Rwanda bado ina Uchumi mdogo sana vijijini kuna uamsikini haswa.

ainazidiwa mbali sana GDP na mkoa wa Dar es salaam
 
Sawa tupo hapa kubadilishana mitazamo na kujifunza pia
 
Rwanda hana bandari
Rwanda hana Tanzanite
Rwanda hana mlima Kilimanjaro
Rwanda hana Serengeti, Ngorongoro, Tarangire, Mikumi, Ruaha n.k
Rwanda hana lake Victoria,Nyasa Tanganyika n.k
Rwanda hana gesi asilia
Rwanda hana Nyamongo, Mwadui, Geita gold mine

Rwanda anategemea utalii wa sokwe na makaburi ya kimbali lakini humfikii uchumi, peleka pale pesa yako ya madafu uone aibu
Kuna muda uwa unaandika kama umekatwa kichwa umefika Rwanda kweli? Rwanda ipi unayozungumzia kuwa imeipita Tanzania kiuchumi?
Taja vitu walivyotupita!.
 
Nimekwambia hivi ingawa Rwanda hawana hata robo ya robo ya resources zetu ila wana Fanya vitu vinaonekana

Tanzania hatupaswi kujilinganisha na ka nchi kama Rwanda
 
Naona umeanza kuwa mpole... Statement yako tumeisoma kwamba Wapetupita kiuchumi. Wewe uchumi unaupima kwa macho ukifika Kigali basi.
 
Mada ilitakiwa iulize kwa nini huyo anaeibiwa azidiwe kivyovyote na mwizi? Kauli hii ndio imeshondwa kueleweka kwa watu ambao wangeweza kuisaidia congo sababu haiingii akilini.
 
Wanaiba wanaficha Ulaya.
Pili wanaoiba ni watawala na sio wananchi
Unfortunately, pinning down the precise net worth of political leaders, including Paul Kagame, is often very difficult. Financial information related to those in positions of power can be complex and not always publicly available.
Here's what I can tell you based on the information I found:
  • It is difficult to find reliable sources that give a concrete number for Paul Kagame's net worth.
  • Information is available concerning his salary. For example, sites such as wageindicator.org provide salary information.
It is important to remember that:
  • Determining the wealth of political leaders is complex.
  • Information can vary, and accuracy is not always guaranteed.

Credit: Gemini
 
Iambie itafsiri kwa kiswahili
 
Hakika, hii hapa tafsiri ya sentensi hizo:
"Kwa bahati mbaya, kubainisha utajiri kamili wa viongozi wa kisiasa, ikiwa ni pamoja na Paul Kagame, mara nyingi ni vigumu sana. Taarifa za kifedha zinazohusiana na wale walio katika nafasi za madaraka zinaweza kuwa ngumu na si mara zote zinapatikana kwa umma."
"Hiki ndicho ninachoweza kukuambia kulingana na taarifa nilizopata:"
"Ni vigumu kupata vyanzo vya kuaminika vinavyotoa nambari kamili ya utajiri wa Paul Kagame."
"Taarifa zinapatikana kuhusu mshahara wake. Kwa mfano, tovuti kama wageindicator.org hutoa taarifa za mshahara."
"Ni muhimu kukumbuka kwamba:"
"Kubainisha utajiri wa viongozi wa kisiasa ni ngumu."
"Taarifa zinaweza kutofautiana, na usahihi hauhakikishwi kila wakati."
 
Sitaki nikupinge
Rwanda ilipo ni bora
Angalia Shirika lao la ndege Rwanda air na ATCL
Tazama jeshi lao na vifaa vya kivita
Tazama Miundo mbinu Yao ya barabara na reli
Tazama sekta Yao ya utalii inavozingumzwa duniani
Tazama sekta ya michezo na hapa natabiri kwenye hizi nchi zinazoandaa Afcon Kwa maana Kenya Uganda na TANZANIA mmoja atapokwa atapewa Rwanda
Sawa matatizo Bado wanayo ila inaonekana wana Nia thabiti ya kuyamaliza
Unaandika vitu vya kufikirika. Hiyo reli nchini Rwanda wewe uliiona wapi?
 
Nimekwambia hivi ingawa Rwanda hawana hata robo ya robo ya resources zetu ila wana Fanya vitu vinaonekana

Tanzania hatupaswi kujilinganisha na ka nchi kama Rwanda
Tanzania ni ya kulinganishwa na Kenya sio Rwanda. Size ya Rwanda ni Burundi.
 
Wakina Bismark walipokaa Berlin waiibie na kupora mali za Africa matokeo yalionekana wazi. Ulaya ilitajirika KWA muda mfupi sana.

Kuna tetesi na tuhuma KUWA baadhi ya nchi za Africa zinaiibia Congo malighafi. Na mbaya zaidi wanasema wanaiibia madini ambayo hata mtaani tu mfanyabiashara wa madini SIO MTU WA kawaida kiuchumi.

Sasa ukingalia nchi hizi Bado ni masiki, tegemezi, wanashida kubwa tu kama nchi ambazo hazina tuhuma za wizi.

KWA nini inakuwa hivyo? Au hawaibi bali ni madalali wa wezi wa kizungu, au tunawasingizia hakuna mwafrika mwenye uwezo wa kumpora mwenzake.
Jibu likp wazi....viongozi wanajimililisha pesa zote sio wananchi masikini plus jeshi na serikali wananeemeka....ili wabakie madarakani milele
 
Rwanda hana bandari
Rwanda hana Tanzanite
Rwanda hana mlima Kilimanjaro
Rwanda hana Serengeti, Ngorongoro, Tarangire, Mikumi, Ruaha n.k
Rwanda hana lake Victoria,Nyasa Tanganyika n.k
Rwanda hana gesi asilia
Rwanda hana Nyamongo, Mwadui, Geita gold mine

Rwanda anategemea utalii wa sokwe na makaburi ya kimbali lakini humfikii uchumi, peleka pale pesa yako ya madafu uone aibu
Mkuu, kwa parameter gani Rwanda inaizid Tz kiuchumi, yan wew chagua, kuanzia HDI had per capital vyote tunamzid mbali,
 
Back
Top Bottom