Kama Nikifa leo hii 31/12/2013

Kama Nikifa leo hii 31/12/2013

hahahhaaaaa za kijijini ndio tamu zaidi, za mjini zimejaaa ua-artifical mwingi. Kha! Nimecheka hadi basi sikutegemea aina hii ya comment kwa kweli labda Heaven on Earth na tinna cute waweke neno hapa

Hao wataharibu, usisahau hao ni wamilili halali wa K tamu za mjini. Watatupeleka motoni hawa warembo na K zao. Tena mchana kweupe unaingia mwenyewe jehanam bila shuruti.

Aliyetengeneza K ni jinias sana. Likitu lina sura mbaya lakini tamuuu. Lina ladha mbaya lakini midume tunajilambia tu. Dah... Lina magonjwa kibao wanaume hatukomi tunachovya tu.

Asiyependa K kweli ana laana.
 
Last edited by a moderator:
Hao wataharibu, usisahau hao ni wamilili halali wa K tamu za mjini. Watatupeleka motoni hawa warembo na K zao. Tena mchana kweupe unaingia mwenyewe jehanam bila shuruti.

Aliyetengeneza K ni jinias sana. Likitu lina sura mbaya lakini tamuuu. Lina ladha mbaya lakini midume tunajilambia tu. Dah... Lina magonjwa kibao wanaume hatukomi tunachovya tu.

Asiyependa K kweli ana laana.

hahahaaaa watu wanamushiana kisa hiyo makitu...........
 
Hahaaaaaaa nilikua nakuwza sana Mpwa! Huwa tunaombewa bhana weee acha ubishi!!!! Acha visa Heri ya Mwaka Mpya Mpwa wangu

Hehehe haya mpwa mimi ni bukheri wa afya pasi na shaka nawe pia...
 
Hii thread bana... Elli ulifikiria nini😀
 
Last edited by a moderator:
Namshukuru MUNGU nimefika hadi leo hii, ashukuriwe yeye atupaye kushinda na zaidi ya kushinda katika kila jambo, nimeongeza marafiki wengi sana hapa JF ni wengi sana lakini siwezi kumsahau lusungo ambaye kuna comment yangu moja ilimkosea na baada ya kumuomba msamaha since then tumekuwa marafiki sana, Mgosi wa Kaya Chakaza tpaul hahahaha mpwa ile thread yako ile ya maisha bora ya ccm iliniacha hoi sana, everlenk miongoni mwa akina Dada ambao wako very bright, i appreciate hahahaa kuna huyu nae rafiki wangu wa karibu hasa kwenye mambo yetu huyu ni Khantwe na miss neddy ukiwa na shida wafuate tu, Asnam alinikimbia last minute ila kuna mtu ambaye kamwe sitamsahau maishani huyu ni Little Angel huwezi tumekua kama ndugu, lake ni langu langu ni lake. Nakupenda sana.
kyanaKyoMuhaya tangu mara ya mwisho aniambie yuko kwenye ndege na inahitilafu hatujawahi kuwasiliana tena, i believe she is okay, kwa ufupi naendelea kuwapenda wote na kuwaombea sana. Mkuu wangu BAK asante kwa company nzuri sana, hakika tumewatoa jasho. Na wale wote ambao walifanikisha safari yetu ya ocean road, dada yangu Paloma haonekani siku hizi, nawapenda sana, karibuni Lushoto tuumalizie mwaka
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom