Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,963
- Thread starter
- #201
Dah nilikua nae tangu utotoni, chekechea, primary, sekondari O'level ndio baada ya hapo tukatenganishwa!!Kabla sijajiunga na JF nilimjua tu pale alipotutupa mkono na kurejea kwa muumba wake, maana nilikuwa sifuatilii Siasa kipindi hicho ndio maana nilikawia kumfahamu.
Wakati nipo hapa JF nikawa nafukua makaburi mara nikaona huyu member nikaangali na nyuzi zake, kiukweli alikuwa ni mtu mwenye sifa zake ambazo wewe ndio unazijua vizuri.
R.I.P Mtoi