Kama Nikifa leo hii 31/12/2013

Kama Nikifa leo hii 31/12/2013

Ujumbe mzuri sana. Mwaka 2014 uwe mwaka wa kusamehe, kutubu, na kujiepusha na dhambi. Vijana wa siasa waache fitina majungu na kutumiwa na vigogo, mmu kwa vijana wenzangu kuwe na uhalisia wa story zenu maana zingine hazijengi zaidi ya kubomoa..Heri ya Mwaka Mpya
 
Asante sana sana na Mungu akubariki sana sana
 
Heri ya mwaka mpya Elli
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Elli ikitokea ukafa leo R.I.P nitakuwa kwenye shangwe ya kufurahia kuuona mwaka mpya hivyo niiwahishe mapema!
 
hahahaaaa na mimi ntafurahi kwakuwa ntakua nshapitia kifo wakati wewe bado!!**
 
Last edited by a moderator:
Mghoshi na mndughu wangu Elli ni matumaini yangu kama walivyokuombea wengi huwezi kufa kabla ya wakati huo. Kuna mengi ya kufanya nasi bado twaitaji busara zako kaka mkuu. Usijali mwaka ujao nitajitahidi kuelimisha wasiosikia wote hasa wale vijana wa Heche kuheshimu viongozi wao na wanajukwaa kwa ujumla. Ni matumaini yangu utaendelea kuwa hai na Mungu atasikia maombi ya wanajukwaa. Pamoja sana.
 
Last edited by a moderator:
Amen Amen ndugu yangu mpendwa, yaani huwa nawaza life after death.....jinsi mtu anavyowamisi ndugu na rafiki zake. Mmhhhh basi Mpwa

Relax.

With God everything gonna be alright
 
Mghoshi na mndughu wangu Elli ni matumaini yangu kama walivyokuombea wengi huwezi kufa kabla ya wakati huo. Kuna mengi ya kufanya nasi bado twaitaji busara zako kaka mkuu. Usijali mwaka ujao nitajitahidi kuelimisha wasiosikia wote hasa wale vijana wa Heche kuheshimu viongozi wao na wanajukwaa kwa ujumla. Ni matumaini yangu utaendelea kuwa hai na Mungu atasikia maombi ya wanajukwaa. Pamoja sana.

Mosie hongea sana MUNGU akubariki sana. Hatimae tumeuona mwaka 2014
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom