UUH Elli jamani mie ni mvivu wa kusoma lakin nimesoma hii kitu mwanzo mwisho
umenifanya nisikitike rohoni may be its time I should do so kabla hiyo kesho hajijaja
nashukuru kwa nasaha zako
Hongera sn Elli shairi Zuri sn.ni kwel sote tunapita Lkn mim naamin hutokufa mpaka ufikie umri wa bi kidude..sema Amina bac!!
hua najiskia raha sana kuona JF imenipa marafiki wengi hivi, asante sana Mpwa wangu
mkuu ELLI,usipokufa weka bandiko ifikapo saa 6 usiku kuwa upo hai,pia andaa mtu wa kutujulisha mapemaaaaa kuwa umekufa kama ukifa!isije ikafika machi 2014 ndio watu wanaulizana mbona elli haonekani jukwaani
btw, Mungu Mwenyezi akupe miaka mingi na heri duniani
Hahahaaaa March 30 ndio Birthday yangu hata hivyo usijali, kama ni lazima iwe hivyo karibia wote including wewe mtakua na taarifa tu, kikubwa ni matendo yetu kwa sasa, je yatatupeleka wapi siku tukizimika? pale miguu itakapokataa kutusogeza mbele tena? Pale moyo utakaposimama? Who knows when? hahahaaaaa
Yaani kama kesho hiyo DAMU yangu itasimama itakapokataaa kuendelea kuzunguka mwilini tena, hapo Moyo wangu utakaposimama na mapigo ya mwili kutoweka nitaomba sana Aine Paloma ladyfurahia tinna cute Smile na Heaven on Earth wabadilike na kuwa wadada wazuri wenye kuelemisha jukwaa, nitaomba kitu kimoja toka kwenu endapo itabidi nife leo, mtafuteni Little Angel maana ameliasi jukwaa, seems Whatsup imempoteza. Nawapenda dada zangu
Stive kanumba aliimba wimbo wake wa nitayainua macho yangu nq move ya love and power ambao ujumbe wake ulikuwa km anatabili siku akifa na kabla haujatoka akafariki, mangwea naye wimbo wake uitwao nikifa leo hata kabla haujatoka akatangulia mbele za haki, anjela chibalonzo wimbo wake wa mwisho unaitwa kaa nami ambapo alijitabilia kifo na hata kabla ya kuzindua albam hiyo alifariki kwa ajali, jim reeves wimbo wake wa mwisho ni this world is my home baada ya kuutoa hakumaliza mda mrefu alifariki. Orodha ni ndefu sana ya waliojitabilia kifo. Mkuu elli we sijui umepata maono gani mpaka ukatupatia ujumbe huu
hahahaaaaa usiogope bhana , kwani nyie hamtaki kula ubwabwa? Nina ndugu yangu Eli79 sijamtia machoni hapa sijui analipi la kusema hapa
Heaven on Earth kumbe ulipata burdani eh!!!ndugu yako Eli79 yupo kuna sehem nilimuona akichuana na mudada mmoja nikaishia kucheka tu
Kifo hakizoeleki mpwa..mie naogopa sana