Kama Nikifa leo hii 31/12/2013

Kama Nikifa leo hii 31/12/2013

Mkuu Elli Mungu akubariki sana katika mwaka huu kwa kukuongezea busara,maarifa na hekima.kwakweli post yako inasifa ya kuwa bora kwa 2013.
Timtogoe Zumbe
 
Last edited by a moderator:
Sina budi kukupongeza kwa mtindo uliotumia kuandika katika kuwakilisha kile ulichotaka wanaJF wakisome na kukipata toka kwako japo bado hujafa! Big up!

Napenda nikuulize mkuu Elli, ni lini umeanza kukumbuka kutubu na kusamehe? Je, ni baada ya Madiba kufa na habari zake za upendo wa dhati na jinsi alivyowasamehe makaburu waliomfunga kutangazwa sana?
 
Asante sana Mpwa, Mungu akutangulie katika maisha yako. Hongea
 
Last edited by a moderator:
Nani aliyekuambia kuwa ukifa unakuwa na jukumu la kuombea wengine waliobaki duniani?
 
Sina budi kukupongeza kwa mtindo uliotumia kuandika katika kuwakilisha kile ulichotaka wanaJF wakisome na kukipata toka kwako japo bado hujafa! Big up!

Napenda nikuulize mkuu Elli, ni lini umeanza kukumbuka kutubu na kusamehe? Je, ni baada ya Madiba kufa na habari zake za upendo wa dhati na jinsi alivyowasamehe makaburu waliomfunga kutangazwa sana?

Aisee ni almost everyday Mpwa wangu
 
Nani aliyekuambia kuwa ukifa unakuwa na jukumu la kuombea wengine waliobaki duniani?

Hahaaaaaaa nilikua nakuwza sana Mpwa! Huwa tunaombewa bhana weee acha ubishi!!!! Acha visa Heri ya Mwaka Mpya Mpwa wangu
 
Ndugu yangu Elli, umefanikiwa kuuona mwaka???
 
Last edited by a moderator:
nimefurahi sana
Hakika MUNGU ni mwema aiseee, kampeni yangu mwaka huu ni kupunguza kutenda dhambi kwa asilimia 99%

Ubarikiwe mkuu!! Tuombeane sote tuache kutenda maovu....
 
Nani aliyekuambia kuwa ukifa unakuwa na jukumu la kuombea wengine waliobaki duniani?

Ndugu yangu heri ya mwaka mpya.

Mi ndo nimejua leo kuwa maiti huwa zinaombea walio hai.
 
hahahhaa nataka mie niwe wa kwanza kuwaombea nyie na watu8 hahahahaa heri ya mwaka mpya
Ndugu yangu heri ya mwaka mpya.

Mi ndo nimejua leo kuwa maiti huwa zinaombea walio hai.
 
Last edited by a moderator:
hahahhaa nataka mie niwe wa kwanza kuwaombea nyie na watu8 hahahahaa heri ya mwaka mpya

Ewaa niombee leo ukiwa hai. Ukifa na ntakuombea kwa Mungu akupumzishe kwa amani, akusamehe dhambi zako na maiti yako funza wasiione.
 
Last edited by a moderator:
Heri ya Mwaka Mpya na kwako MPwa, kampeni yetu iwe moja, tuishi tusitende mabaya hahahhhaaaa

Yani tufanye mpango viwanda vya bia vife au vitoe maziwa, na hizi K tamu zilizojaa mjini ziwekewe meno na miba. Vinginevyo ibilisi hawezi kuturuhusu kufanikiwa hii kampeni.

Tumwombe sana Mungu mpwa.
 
hahahhaaaaa za kijijini ndio tamu zaidi, za mjini zimejaaa ua-artifical mwingi. Kha! Nimecheka hadi basi sikutegemea aina hii ya comment kwa kweli labda Heaven on Earth na tinna cute waweke neno hapa
Yani tufanye mpango viwanda vya bia vife au vitoe maziwa, na hizi K tamu zilizojaa mjini ziwekewe meno na miba. Vinginevyo ibilisi hawezi kuturuhusu kufanikiwa hii kampeni.

Tumwombe sana Mungu mpwa.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom