Kama Nikifa leo hii 31/12/2013

Kama Nikifa leo hii 31/12/2013

Namshukuru MUNGU nimefika hadi leo hii, ashukuriwe yeye atupaye kushinda na zaidi ya kushinda katika kila jambo, nimeongeza marafiki wengi sana hapa JF ni wengi sana lakini siwezi kumsahau lusungo ambaye kuna comment yangu moja ilimkosea na baada ya kumuomba msamaha since then tumekuwa marafiki sana, Mgosi wa Kaya Chakaza tpaul hahahaha mpwa ile thread yako ile ya maisha bora ya ccm iliniacha hoi sana, everlenk miongoni mwa akina Dada ambao wako very bright, i appreciate hahahaa kuna huyu nae rafiki wangu wa karibu hasa kwenye mambo yetu huyu ni Khantwe na miss neddy ukiwa na shida wafuate tu, Asnam alinikimbia last minute ila kuna mtu ambaye kamwe sitamsahau maishani huyu ni Little Angel huwezi tumekua kama ndugu, lake ni langu langu ni lake. Nakupenda sana.
kyanaKyoMuhaya tangu mara ya mwisho aniambie yuko kwenye ndege na inahitilafu hatujawahi kuwasiliana tena, i believe she is okay, kwa ufupi naendelea kuwapenda wote na kuwaombea sana. Mkuu wangu BAK asante kwa company nzuri sana, hakika tumewatoa jasho. Na wale wote ambao walifanikisha safari yetu ya ocean road, dada yangu Paloma haonekani siku hizi, nawapenda sana, karibuni Lushoto tuumalizie mwaka

ama kweli siku zimeenda nakumbuka huu uzi kumbe ilikua ni mwaka jana? Loh
 
Last edited by a moderator:

mpwa hujasema wakiwa na shida gani watufate nyingine hazitatuliki happy new year in advance
 
Ha ha ha pamoja mpwa.....
 
Last edited by a moderator:
hata Ambassador waliimba kwetu kuzuri kiliwapata wanajua wenyewe
 
Mkuu Elli nakushukuru. Hata mie ningependa sana kuwa Lushoto kuumalizia mwaka ila sijajaliwa majukumu yamebana sana. Huu ni wakati mzuri sana kula matunda ya aina mbalimbali pasipo ushauri wa daktari ila nimeyamisi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Elli nakushukuru. Hata mie ningependa sana kuwa Lushoto kuumalizia mwaka ila sijajaliwa majukumu yamebana sana. Huu ni wakati mzuri sana kula matunda ya aina mbalimbali pasipo ushauri wa daktari ila nimeyamisi.

Niko huku na matunda damu na masanta rose ni mengi mno. Hali ya hewa ni nzuri sana sana
 
Last edited by a moderator:
Daah wengi wamekufa wengi wanaumwa na kupata ulemavu wa kudumu lakini Mungu kwa uwezo na huruma yako kwangu bado nina nguvu na afya tele na mpaka sasa nahema, Nakushukuru wewe Baba muweza wa yote nitakurudishia nini mimi Chinga One? asante Mungu kwa kunilinda.

naomba unipe moyo wa kusamehe na kusahau yote mabaya niliyo tendewa na pia nilio watenda wanisamehe.

2015 unipe akili na mawazo mapana zaidi ili niweze kuyashinda maisha ya umaskini.

wabariki wana jf wooooooteeeeee!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom