Kama ni lazima sana CCM iendelee kuongoza serikali na nchi hii by 2025, basi wazingatie ushauri huu kuhusu mgombea wao....

1. Mimi natambua kuwa, kama hakutakuwa na mabadiliko ya kikatiba na kisheria comes 2025 General Election, uwezekano wa CCM kutumia uhuni kushinda uchaguzi tena ili kuendelea kuongoza serikali na nchi hii ni mkubwa..

Hata hivyo nina ushauri huu. Kwamba, msituletee mwanamke tena kwenye nafasi hii nyeti. Ni afadhali tuwe na Rais mwanaume incompetent lakini kuliko kuwa na mwanamke.

Ni kwa sababu incompetence ya mwanaume is far better than ya mwanamke.

2. Mimi msimamo wangu siku zote ni kutoamini ktk kumpa madaraka mwanamke yeyote kushika wadhifa wa kiongozi mkuu wa nchi - Rais. Ni makosa na haitakiwi kabisa and I have genuine reasons to support my refutation.

3. Sijali watakaonipinga (hususani wanawake wenyewe) watasema nini. Lakini mwanamke ndiye aliyedanganywa na nyoka akauuza ulimwengu wote kwa shetani - Ibilisi hata kusababisha shida na mahangaiko yote ambazo ulimwengu huu una - suffer leo.

Kama ukweli ni huu,mwanamke mwenye mamlaka ya kiongozi mkuu wa nchi ni wa kazi gani? Na tunadhani atashindwa vipi kudanganywa tena na tena hata kuiuza nchi?

4. Kwangu mimi kama ni lazima tupate Rais toka CCM mwaka 2025, basi ni msifanye kosa mara ya pili kutuletea mwanamke tena. Shida na taabu alizoleta huyu Samia Suluhu Hassan kwa kipindi kifupi alichokalia kiti hicho zinatosha!

Yaani ni afadhali hata afufuke John P. Magufuli aendelee kuwa Rais kuliko kuendelea kuwa na mama huyu.

Na tena ni afadhali hata yule mwehu, muhuni, fisadi na muuaji Paul Makonda a.k.a Albert Bashite akawa mgombea wenu na kisha awe Rais wa nchi hii kuliko kuendelea kuwa na huyu mwanamke!!

Tusubiri labda after 50yrs ahead baada ya mifumo kukaa vyema ndipo tunaweza kufikiri kumjaribu mwanamke katika position hiyo. But for now, it's BIG NO!

Asante usiku mwema
Imekukata Mzee hizo ndoto endelea kuziota Hadi 2030.
 
Back
Top Bottom