habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
Nina cheti chá ndoaww una cheti
Anacho mpaka cha ubatizo.[emoji12]ww una cheti
Anacho mpaka cha ubatizo.[emoji12]
Illusions and imaginations like one high in a dose of hard drugs. Very useless.Habari wanabodi. Baada ya mfululizo wa tuhuma dhidi ya kufoji vyeti vya kitaaluma, kuna mwitikio kutoka kwa mtuhumiwa na mamlaka husika, ambavyo vinathibitisha ukweli wa tuhuma husika
Mosi, Ni mhusika kukimbia vyombo vya habari na kukosa utetezi wa kina katika kufoji cheti
Pili, Kushindwa kuanika nyaraka za vyeti vyake vya kitaaluma.
Tatu, Kupungua kwa ujasiri wake wa awali.
Nne, Mamlaka husika kukaa kimya huku ikisisitiza uhakiki wa vyeti kwa Watumishi wa umma.
Tano : Mteule wake kukosa ujasiri wa kulizungumzia, kama ilivyo kawaida yake, Na hivyo kujenga mazingira ya kumlinda.
Sita : Majibu yake kukwepa kutaja cheti badala yake kuibua visingizio kwamba hata kama angepata 0 angekuwa mkuu wa Mkoa.
Saba : Jeshi la polisi kwenda kukagua Gwajima ambaye ndio ameweka wazi zaidi juu ya tuhuma hiyo.
Haya yote bila shaka, kwa wenye fikra yakinifu wameelewa.
Who bears the burden of proof? The accuser or the accused? .... ni mtizamo tu!Habari wanabodi. Baada ya mfululizo wa tuhuma dhidi ya kufoji vyeti vya kitaaluma, kuna mwitikio kutoka kwa mtuhumiwa na mamlaka husika, ambavyo vinathibitisha ukweli wa tuhuma husika
Mosi, Ni mhusika kukimbia vyombo vya habari na kukosa utetezi wa kina katika kufoji cheti
Pili, Kushindwa kuanika nyaraka za vyeti vyake vya kitaaluma.
Tatu, Kupungua kwa ujasiri wake wa awali.
Nne, Mamlaka husika kukaa kimya huku ikisisitiza uhakiki wa vyeti kwa Watumishi wa umma.
Tano : Mteule wake kukosa ujasiri wa kulizungumzia, kama ilivyo kawaida yake, Na hivyo kujenga mazingira ya kumlinda.
Sita : Majibu yake kukwepa kutaja cheti badala yake kuibua visingizio kwamba hata kama angepata 0 angekuwa mkuu wa Mkoa.
Saba : Jeshi la polisi kwenda kukagua Gwajima ambaye ndio ameweka wazi zaidi juu ya tuhuma hiyo.
Haya yote bila shaka, kwa wenye fikra yakinifu wameelewa.
Hapa sijui watu watataka uthibitisho gani tena..
Nimesikia pia na mkewe amefuta post yake huko kwenye mtandao wa vijanaYule dada keshafuta comment yake kule youtube kupoteza ushahidi, hahahah
Habari wanabodi. Baada ya mfululizo wa tuhuma dhidi ya kufoji vyeti vya kitaaluma, kuna mwitikio kutoka kwa mtuhumiwa na mamlaka husika, ambavyo vinathibitisha ukweli wa tuhuma husika