Kama ni kweli na ushahidi upo....

Kama ni kweli na ushahidi upo....

Habari wanabodi. Baada ya mfululizo wa tuhuma dhidi ya kufoji vyeti vya kitaaluma, kuna mwitikio kutoka kwa mtuhumiwa na mamlaka husika, ambavyo vinathibitisha ukweli wa tuhuma husika
Mosi, Ni mhusika kukimbia vyombo vya habari na kukosa utetezi wa kina katika kufoji cheti
Pili, Kushindwa kuanika nyaraka za vyeti vyake vya kitaaluma.
Tatu, Kupungua kwa ujasiri wake wa awali.
Nne, Mamlaka husika kukaa kimya huku ikisisitiza uhakiki wa vyeti kwa Watumishi wa umma.
Tano : Mteule wake kukosa ujasiri wa kulizungumzia, kama ilivyo kawaida yake, Na hivyo kujenga mazingira ya kumlinda.
Sita : Majibu yake kukwepa kutaja cheti badala yake kuibua visingizio kwamba hata kama angepata 0 angekuwa mkuu wa Mkoa.
Saba : Jeshi la polisi kwenda kukagua Gwajima ambaye ndio ameweka wazi zaidi juu ya tuhuma hiyo.
Haya yote bila shaka, kwa wenye fikra yakinifu wameelewa.
Undertaker angenadika hivi kujibu uzi wako Bull ....t
 
Hoja zote ni za kuzania tu haina mashiko yoyote.

Makonda kutaja majina kuhusu issue ya madawa ya kulevya basi kila mwenye kusema anasema hata lisilo semwa yeye atasema ili aonekane amesema.

Makonda umeteuliwa na Dr Kikwete kuwa Mkuu wa Wilaya na sasa umeteuliwa na Dr Magufuli kuwa Mkuu wa Mkoa tena wa Dar.

Na kwa namna unavyofanya kazi ili kusogeza mbele na Karibu Maendeleo ya Wanainchi umekuwa shida sana kwa wasiopenda Maendeleo na kufuata sheria.

Hakuna wa Ku kutoa hapo mkoani eti kwa maneno ya mtaani.

Watanzania tufanye kazi na kufuata sheria Dr Magufuli yuko na Mh Makonda ktk Maendeleo ya Dar hakuna namna Unapenda au hupendi huyo ndiye mkuu wako wa mkoa
 
Du!! Mungu akiamua kukueleleza anaamua...ona sasa miezi 9 iliyopita leo ndio tunaona...na kuna watu bado wanabisha.
3b49f73a3aadd427268719a59b7a7e4d.jpg
 
Du!! Mungu akiamua kukueleleza anaamua...ona sasa miezi 9 iliyopita leo ndio tunaona...na kuna watu bado wanabisha.
Hizo conversation ni fake na ni za uongo na za kutengeneza.....
 
Hoja zote ni za kuzania tu haina mashiko yoyote.

Makonda kutaja majina kuhusu issue ya madawa ya kulevya basi kila mwenye kusema anasema hata lisilo semwa yeye atasema ili aonekane amesema.

Makonda umeteuliwa na Dr Kikwete kuwa Mkuu wa Wilaya na sasa umeteuliwa na Dr Magufuli kuwa Mkuu wa Mkoa tena wa Dar.

Na kwa namna unavyofanya kazi ili kusogeza mbele na Karibu Maendeleo ya Wanainchi umekuwa shida sana kwa wasiopenda Maendeleo na kufuata sheria.

Hakuna wa Ku kutoa hapo mkoani eti kwa maneno ya mtaani.

Watanzania tufanye kazi na kufuata sheria Dr Magufuli yuko na Mh Makonda ktk Maendeleo ya Dar hakuna namna Unapenda au hupendi huyo ndiye mkuu wako wa mkoa
a16a04e8cf3630b83ff01ad198b63729.jpg

41a79e52b5504139f7873cb153c47198.jpg

Kabisa mkuu
 
a16a04e8cf3630b83ff01ad198b63729.jpg

41a79e52b5504139f7873cb153c47198.jpg

Kabisa mkuu
Then what? mbona wengi tu wameapa mahakani kubadili majina!

Sasa shida iko wapi mfano kwako wewe nini tatizo.

Ndiyo mahakani kuna room ya kubadili makini na iko wazi!
 
Ngoja nimpe sifa za kijinga,mkuu wanadai cheti chake alipata ufaulu wa points 35 kilichoendelea mi sikijui.
 
Then what? mbona wengi tu wameapa mahakani kubadili majina!

Sasa shida iko wapi mfano kwako wewe nini tatizo.

Ndiyo mahakani kuna room ya kubadili makini na iko wazi!
Kubafili kufoji....kubadili sio kosa pia jua dhamira ya kubadili ni njema au ovu?
 
Kwanini Wanaodai Wana vyeti halisi vya Makonda hawaviweki hadharani?
Hawaweki vyeti hivyo hadharani

Shida iko wapi

Yanayoendelea sasa ni magazeti ya udaku

Hakuna la maana hata moja

Kila mmoja anamtegemea Mange Kimambi wa Califonia USA a post jambo ndiyo kila mbongo anukuhu toka kwake na kuweka ktk mitandao ya Tanzania
 
Ni ukweli usiopingika kuwa huyu jamaa aligushi vyeti! Hilo halina mjadala...

Kutumia cheti cha ndugu au rafiki kwa Kiswahili huitwa 'kughushi?' Rafiki yake alimuazima cheti original ili ajiendeleze, kosa hapa ni kwa wote wawili yaani aliyeazima na aliyeazimwa! Wana sheria hapa watupe msaada please. Sometime ago pale chuo kikuu cha Makerere Uganda kuna afisa mkuu wa serikali if am not wrong, alikuwa mbunge alijiunga na chuo kwa kutumia cheti ambacho haki kuwa chake for diploma course mpaka degree na baada ya miaka zaidi ya 16 iligundulika alitumia forged school certificate ultimately university withdrew his degree na kufunguliwa mashitaka, consequently the same is applicable to our dear Regional Commissioner Mr Albert Bashite alias Paul Makonda.
 
Kwanini Wanaodai Wana vyeti halisi vya Makonda hawaviweki hadharani?

Kwani hujaona necta form four results ya shule yake kwenye mtandao serial namba yake 546 na aggregate zake ni 35 division 0??????? na jina ni Albert Bashite!!
 
Ha ha ha! Usije kuta cheti cha ubatizo wa Paulo kimesainiwa na Shekh wa mkoa wa Dar
Daaah hivi huyu shekhe atajificha wapi mambo yakienda mlama? siasa mbaya sana .... ndo maana wasabato hutawasikia kwenye hizi mambo
 
Huo si uthibitisho.

Ni mazingira tu ambayo yanaweza kumfanya mtu apatwe na imani kuwa huenda kinachodaiwa kina ukweli.

Lakini hayo mazingira si uthibitisho.
Ngosha ze don.... nalemlola duhu nakabhulomolomo king'we. Tunamtaka RC Bashite... agaya
 
Back
Top Bottom