Kama ni kweli na ushahidi upo....

Lakini wahusika hawakukanusha na kueleza bayana uhusika wao?.Makonda anapata kigugumizi gani? Katika hili.

Hakuna hata mmoja aliyetoa ushahidi wa vyeti hadharani,

Tatizo hizi tuhuma zinaweza kuwa sawa lakini kuziibua tuhuma baada ya vita vya madawa ya kulevya kunatia shaka,Ina maaana ni siku nyingi Gwajima anafahamu Bashite anatumia cheti cha mtu na kama asingemtaja kwenye issue ya madawa angekaa kimya mpaka leo?
 
Kwani uhakiki wa vyeti ulifanyikaje? Necta si mamlaka ya serikali na ina orodha ya watu wenye vyeti halali. Kwa nini? Kila mhusika alie hakikiwa alitakiwa kuwasilisha nakala halisi ya cheti chake. Makonda ni nani? Ambae utaratibu huu haumgusi?
 
Ila wewe ni mnafiki
Unampenda harafu unaponda
Unafiki Tz hautaisha
 
Ukweli ni kwamba la madawa limezua mengi. I kwa ni pamoja na Makonda kuwa bungeni, kuanzishwa kwa kesi ya kikatiba hata pia u feki wa vyeti. Lakini watu wasitumie madawa kama kichaka cha kuficha maovu.Hii ndio rai yangu
 
Je kuna mtu aliyeenda kuripot police au ni hayo maneno ya mitaani na umbea usioisha
 

Hivi lile zoezi la uhakiki vyeti limefikia wapi? Wameshafika ofisi ya mkuu wa mkoa?

Hawa ndio wangetusaidia kukata mzizi wa fitina.
 
Je wewe ulipiga hiyo 999 mkuu
Au umbea tu
 
Je kuna mtu aliyeenda kuripot police au ni hayo maneno ya mitaani na umbea usioisha
Raia wanakuwa waoga kutokana na namna ya ofis ya mwendesha mashtaka inavyo shughulikia mashauri.mf. Kes ya Lema
 
Toa ushaidi wa haya uliyoyasema!
 
Mvua Saba zinakaribia. Sijasema mimi ni sheria ya Jamhuri.
 
Hii yote inaonyeshwa na mtoa uzi kujitoa ufahamu, niliwahi kuielezea kabla ya hapa na nitajaribu kukuelezea tena kwa sababu sioni sababu ya kupinga a very strong argument toka kwa wachangiaji waliopita na mimi naongezea hoja za msingi ndani ya same argument.

Hapa Tanzania na nchi nyengine nyingi ambazo zinazoitwa zimeendelea, mfumo na taratibu tunaoutumia ie democratic country, ni wa kuiga na tumejikweza nao, una mpaungufu yake na mazuri yake, hii ni topic ya forum nyengine.

Ktk misingi hio ya democrasia na hata kikatiba, kwa sababu vyote viwili vinashabihia kitu kimoja..

Kuna kitu kinaitwa Public office au ofisi za watu, yaani mimi na wewe Nyani, na upande wa pili kuna watumishi au viongozi tuliyowapa dhamana ya kushikilia hizo nafasi, mbele ya KIAPO..

Mathalani wizara na makatibu wake, wakuu wa mikoa, wilaya nk

Na sehemu kubwa kuwa accountable na sifa ya uongozi wa Public office ni kitu kinaitwa transparency au uwazi.

Ndio maana ukienda hata kwenye councils offices, ofisi za madiwani za nchi kama UK na nyengine, cv za hawa madiwani ziko wazi, kuonyesha tunadeal na mtu wa aina gani na muhimu zaidi uwelewa wao kazi, kuchambua mambo, utungaji wa state policy na utendaji na ufutiliaji wa hizo sheria ktk utekelezaji wake.

Sasa tukija kwa Bwana Paul Makonda, yeye ni kiongozi wa mkoa, na sio diwani wa mtaa, ni kiongozi wa Public office yenye kujimuisha watu wasiopungua milioni 8, kwa hio mimi kama mwananchi na mkazi wa Dar, ni haki yangu kumuelewa na kumtambua Paul Makonda ni nani, ametokea wapi, amesoma wapi, amefanya nini ktk Maisha, alimradi full cv, na tafadhali don't get confused na maisha yake binafsi, kama kaoa wapi, anakula nini nk. Hapa kinachtafutwa integrity ya mtu na sio kingine..

Nataka kujua kama mlipa kodi wa jamahuri wa Tanzania na mkaazi wa Dar, kuelewa upeo na uwezo na weledi wa kiongozi wangu, na hio sio kitu cha ajabu.

Au Nyani, huko unakoishi waliokuajiri hawakukuomba uwapatie cv yako? Au it is a walk in job? Na hizo ni private entities wanayohaki ya kuihifadhi cv yako.. sembuse mimi mwananchi ambae ndie muajiri, you seems to be oblivious ya hii fact ndogo tu.

Sasa kwa hili mimi na wewe na wakaazi wa Dar ni waajiri wa Makonda, tunahitajiwa kuelewa hilo wasifu wa Makonda.

Ndio maana ikaitwa ofisi ya uheshimiwa, hatma yake Muheshimiwa sio kwa bahati bali kwa uwazi wake na heshima ya ofisi, yaani Public office, yaani kwa maana sahihi ofisi ya wananchi.

Mbona hili liko simple, serikali a big Public corporate au ofisi ya Mkuu wa Mkoa, ituweke wazi juu ya hili, kuondoa agitation zetu na wasi wasi wetu.
 
Nenda Necta
 
Wanasemaga malipo ni hapa hapa duniani.Lets wait and see
 
Sasa hivyo vyetu amwonyeshe nani?
Gwajima si anavyo hivyo vyeti huyo ndio aviweke hadharani.
 
Hahaaa...nipo huku Ikungulyabashashi kaka.

Nasikia tu hadi wachungaji wanasema eti Paul Makonda si jina lake bali jina lake ni Daudi Bashite na ushahidi wanao lakini hawatuonyeshi huo ushahidi.

I wonder why!

Things that make you go hmm....
Ulipotelea wapi Ngabu? Nilikumiss hadi nikakuulizia huku. Kuna member mmoja akaniambia wewe ndiye Masogange ukitoka ndani utarudi jukwaani.
 
Cross examination ni kesi? Na kwani haijulikani kuwa forgery ni kosa la jinai?
Cross examination ni kesi? Na kwani haijulikani kuwa forgery ni kosa la jinai?
kaka nani kasema cross examination ni kesi?kule ndo mawakili huwa wanapata nafasi ya kumuuliza mtuhumiwa au shahidi hata mambo binafsi ili kujenga hoja,utashangaa kwenye kesi ya katiba akaulizwa kama anamjua Daudi Bashite?hapo ndo mchezo unapoanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…