johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,364
- 142,596
- Thread starter
- #21
Ya Chadema ilipungua na ya CCM iliongezeka.Kwa akili yako unadhani wabunge hao walipoondoka na ruzuku ilipungua?
Nenda kwa Tumaini Makene ukajifunze siasa toka huko migombani.