Jeff
JF-Expert Member
- Sep 26, 2009
- 1,293
- 202
Tafuta wa kwako na wewe ujiringie. Shida ya nini?
wakwakwe atamtoa wapi? kila mtu yuko occupied
Tafuta wa kwako na wewe ujiringie. Shida ya nini?
Mwenzenu sijaolewa sasa nikaponee wapi? Na ninahitaji mapenzi kama nyie mnavyopata.
Hhahahahahahahahaha
huyu si ndio leo alikuwa ana lia hapa?
Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima, simchuni wala nini ni kwamba tunapendana ni vile dini ya kikristo hairuhusu wake 2 sasa wewe unamchunguza wa nini?
tumempa za uso,kaifuta thread alijua tumesahau jinsi alivyokuwa anamnanga mke wa jamaa
Eti nalia? Nani alie? Wa kulia keshalia sana kajituliza zake huko sasa hivi nasikia kaamua mumewe ni wine akiingia supermarket anabeba kila aina! Kapu hilo. Sijui huko katika masemina hawapewagi hiyo mipombe kwenye hizo hoteli za kitalii wanazolala. Kalia kachoka, lakini najua wa kulaumiwa si miye, ye mwenyewe anajua. Sa mi nilie ni? Nalilia kitu gani?
Naona ngwara, viti vinaruka hewani tu
Mie nilikuwa sijazaliwa wala, si unaona nimezaliwa 2011?
Nimekuona. Unajua hapa usicheze sana maana sterling hafahamiki bado, anayesomeka ni kubwa la maadui, Da sophy!
Ha ha ha ha, stering sijamjua bado
Ila kubwa la maadui limejazia, cheki misuli mikononi
Sasa sie tuwe upande gani?
Yeye hana, angekuwa naye asingeandika hayo hapa, unajua mtu unaweza ukamuelewa kwa kila anachokiandika na kumfahamu jinsi alivyo au yupo kwenye situation gani.na wewe wa kwako tukitoka naye itakuwaje????
hahahahahhahah,na bado mwaka huu wa kwako na wewe zamu yako kulia,unalo bibieEti za uso! Hizi nimempa mwenzenu hadi zimemtosha kaomba amani mwenyewe. Mi nachezewa? Mnafikiri sijui alivowapigia simu kuwaomba mfute msg zangu mnadhani sijui. Kaipataje. Nakuhakikishia harudii. Yule wa madigirii kama hajui pa kushika mi napajua. Tuliiiii katulia
Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima, simchuni wala nini ni kwamba tunapendana ni vile dini ya kikristo hairuhusu wake 2 sasa wewe unamchunguza wa nini?
Ni mwendelezo wa episode ya 31 ya mwaka 2010 mimi na wewe tulipokuwa wageni. Naona mwalimu gfsonwin anajua picha kamili