Kama natoka na mumeo...

Kama natoka na mumeo...

Hilarious thread lollllllll
sasa Da Sophy kaishia wapi au kaogopa bastola na ngumi za ...... :target:
 
worry not B! all is well....:thumb::thumb:

afu sijii kwa nini, nahisi jana kuna kitu mmefanya nyie......na hommies!!

bishaa B.........................
 
Naandaa pati na ntaomba mama big na da sophy wawe wageni wangu wa heshima

duniani wawiliwawili
 
Jamani MJ1 sikutegemea maneno laini kama haya kutoka kinywani mwako....
Mwenzio hapo anaujomoa, we unadhani atamweza Da Sophy :nono: yaani hapa ni kama mwanaume
unyanganywe mke na mwenye ubavu au hela :smile:
 
mimi naona kuwa hamna shida, kwa maana wanatimiziana yale yanayomiss kwa mke wake. kama hakuna kelele basi huyo mke akae kimya tu
 
asavali thijakukuta wewe nung'ayembe uleanzisha hii sred, mwana mkosa haya wewe!!!
 
Nadhani tuanzie hapa!! Ile PAGE no 5 imeonya yale yanayotokea leo kwenye ile thread ya Da Sophy
 
Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima, simchuni wala nini ni kwamba tunapendana ni vile dini ya kikristo hairuhusu wake 2 sasa wewe unamchunguza wa nini?

namchunguza ili nikikukamata nikukekete kwa kisoda na yeye nimtahiri mara ya pili kwa pande la chupa.....


nimenukuu tu
 
Hivi hizi tabia za kumiliki watu mmezitoa wapi? Tatizo la mapokeo. Hivi kuna mtu alishajiuliza mara mbili maana ya kusema wangu peke yangu maana yake nini? Au huu umiliki upo kwenye ngono tu? Mtu yeyote ni mwenyewe hizi za wangu wako ni hadithi tu zimezoeleka
 
Hhahahahahahahahaha
huyu si ndio leo alikuwa ana lia hapa?
 
Back
Top Bottom