Kwani zaidi ya tigo kuna kingine anaweza kukitoa? Hujastukia bado kuwa Da Sophy ni dume? Shoga hilo, stuka kiongozi!Hapo ndipo wadada wanapodanyana siku hizi. Wangapi wanatoa tiGo na mwanaume akishakula anaendelea na hamsini zake kama kawaida? Nadhani huyo Da Sophy anatoa zaidi ya tiGo!
Naam ukishikwa na mtu kama huyu unaweza ukamsusa mkeo. Si unaona yeye ndiyo kawa mke sasa na mke kawa mapozeo.
ha ha ha hata mie naona!! ngoja nirudi zangu kule kwa wafia nchi!Kwani zaidi ya tigo kuna kingine anaweza kukitoa? Hujastukia bado kuwa Da Sophy ni dume? Shoga hilo, stuka kiongozi!
hehehe inategemea wadudu wa malaria wa jimbo gani? wa mbagala hata kwa acid hawafariki.
nimeshikilia mabvu zangu kwa kicheko kwahiyo inamana mbagala maleria inakubalika?
Wangapi wanapewa hiyo tiGo na bado hawawatelekezi wake zao? Au ufundi wa jinsi ya kutoa hiyo tiGo nao unatofautiana?
natamani kusema hujatulia da Sophy lakini hukujibu swali la Fide kuwa umeolewa au la? ukijibu nitatoa hitimisho.
ha ha ha hata mie naona!! ngoja nirudi zangu kule kwa wafia nchi!
Meku nielekeze ni wapi huko na mie nije hapa naona basi sasa.....
Meku nielekeze ni wapi huko na mie nije hapa naona basi sasa.....
Ngoja nihamie kwenye Siasa za nchi hii zinasemaje hapa nimeanza kupata kizunguzungu
achaneni na hizo stori.Nakubuku kabisa,unisindikize kunywa kahawa ikwiriri Meku akija.
hehehe wasalimieni mwanakijiji na rev kishoka. mkihitaji msaada wa kopi ya katiba ya nchi nitumieni PM.
Kwanza kabisa, asilimia 95 za lawama zinamwangukia huyo jamaa. Yeye kama yuko kwenye holy matrimony hatakiwi kukiuka viapo vyake. Nasema yeye ndio wa kubebeshwa lawama zaidi kwa sababu yeye kama ndio nusu wa hiyo holy matrimony ana usemi wa mwisho ktk kuamua kumega nje au la. Hajui anachokitaka. Kama anapenda kucheza viwanja mbalimbali basi asingekimbilia kuoa.
Pili, huyo dada naye hamnazo. Hana maadili wala akili. Na si wa kukasirikiwa sana kwa sababu sidhani kama anamlazimisha jamaa ammege. Labda mniambie huwaga anamwekea bunduki kichwani kwamba nimege la sivyo nitakibararua kichwa chako na risasi.
Tatu, nyege ni kunyegeshana. Ishi maisha yako. Wobbly wobbly drop it like it's hot.
tena umenikumbusha hivi wiki mbili bado weee meku au siku ile maji yalizidi unga??
hahaa Charity huyu Meku huyu.....namstahi tu hapa!!!!
Ikwiriri naenda na shemeji NN kumbe mpango mmjoa eeh??? poa nimeji-over prepare!!!
yaani mpaka leo huna wewe Zinduka??
tena umenikumbusha hivi wiki mbili bado weee meku au siku ile maji yalizidi unga??
hahaa Charity huyu Meku huyu.....namstahi tu hapa!!!!
Ikwiriri naenda na shemeji NN kumbe mpango mmjoa eeh??? poa nimeji-over prepare!!!
Hivi na Waberoya naye si yuko huko? Mi dunno! Nacheza na misale ya waumini ndiyo katiba yanguhehehe wasalimieni mwanakijiji na rev kishoka. mkihitaji msaada wa kopi ya katiba ya nchi nitumieni PM.
Panda basi la Namtumbo mwambia konda akushushe darajani......Meku nielekeze ni wapi huko na mie nije hapa naona basi sasa.....
ha ha ha ngoja niongee na meneja wangu to do the needful nasikia kunywa gahawa ya Ikwiri lazima uwe na shimo mererani!!achaneni na hizo stori.Nakubuku kabisa,unisindikize kunywa kahawa ikwiriri Meku akija.