Kama mtu humpendi mkatae kistaarabu tu

Kama mtu humpendi mkatae kistaarabu tu

kuna tangazo la coca cola kwenye bango linasema hivi 'NIMEMTOKEA MARA 32 KABLA HAJANIKUBALI....NAJIAMINI'!!!!!!!! seriously,mara 32???!!!!!!

Unajua ukiwa na mtu karibu inatokea unadevelop feelings hadi unaamua kumkubali tu so mie naamini hivyo
 
Kuna mdada ana jina hapa bongo, na humu jf amebahatika kupata coverage japo za scandals zake, alinipita kidato kimoja back then O level.

Kipindi hicho yupo on fire, alileta hizi hizi mambo za kujibu watu maneno ya shombo, kilichomkuta! Naogopa kuweka hapa, maana last week kazungumzwa humu kwa makshkash yake hapa town!

We sema tu mkuu
 
Haipendezi ila na wakaka nao wawe wepesi kusoma majira. Sio mtu anakomaaalia mpaka iwe kero... Ukishaona mazingira hayakubali we jisepeshe tu sio mpaka yakufike...

Mmoja nilikuwa naye, nimemaintain sana ila ilikuwa kazi kwa kweli,kila mara naonekana mbabe,siambiliki,sijali na vingine vinavyofanana na hivi....wakati mtu anakuambia humjali ni kwamba hana kazi na anaishi kwa hisani yako...niaamua kujiuzulu baada ya kuambiwa kuwa nina 'mchumba' maisha yakaendelea...

Ni miaka almost nane sasa tokea nijivue gamba,mchumba kampa ujauzito kisha kabadili namba za simu,dada wa watu alichukua mkopo wa kulea mtoto na soon watakuja kumchukulia vitu vyake vya ndani kwa kuwa mkopo haulipiki tena!
Jana nimepigiwa simu...kumbe namba yangu hakuwa amefuta...
 
Hapa najifunza kitu kwamba hakuna mwanamke anayeweza kukukata milele .Ni bidii yako tu kuimbisha.

Halafu si kwenye vitabu vitakatifu walisema"omba utapewa, bisha utafunguliwa na tafuta utapata"

Tatizo watu hawazingatii hayo maana maandiko yaani hawana mizizi ya uvumilivu na kutaka kitu bila kukata tamaa.

Naanza mchakato chanya hapa field JF .
 
duh wewe unaweza kunipiga vibuti mara 32??!! halafu ya 33 unakubali.....sasa nini kimekubadili mawazo au mimi nakuwa nimebadilika nini??

Mapenzi ya mwanamke yapo kiajabu sana tofauti na mwanaume....unaweza kumwona mtu usimpende hata kidogo na hata akikutokea unamuona ka chizi fulani tu lakini kadri anavyojisogeza na kuwa karibu akili inaanza 'mmmhh....hivi inawezekana eeh'? unaanza kuvutiwa kidogokidogo na baadae unajikuta unampenda balaa....soma para yangu ya mwisho af soma comment ya Ngalikihinja
 
Last edited by a moderator:
Hapa najifunza kitu kwamba hakuna mwanamke anayeweza kukukata milele .Ni bidii yako tu kuimbisha.

Halafu si kwenye vitabu vitakatifu walisema"omba utapewa, bisha utafunguliwa na tafuta utapata"

Tatizo watu hawazingatii hayo maana maandiko yaani hawana mizizi ya uvumilivu na kutaka kitu bila kukata tamaa.

Naanza mchakato chanya hapa field JF .

Inawezekana ukakataliwa milele inategemea huyo unayemuimbisha anakukataa kwa sababu zipi.....kama anakukataa kwa sababu hakupendi tu hana sababu nyingine unaweza kukaza buti mwisho wa siku ukang'oa
 
Mmoja nilikuwa naye, nimemaintain sana ila ilikuwa kazi kwa kweli,kila mara naonekana mbabe,siambiliki,sijali na vingine vinavyofanana na hivi....wakati mtu anakuambia humjali ni kwamba hana kazi na anaishi kwa hisani yako...niaamua kujiuzulu baada ya kuambiwa kuwa nina 'mchumba' maisha yakaendelea...

Ni miaka almost nane sasa tokea nijivue gamba,mchumba kampa ujauzito kisha kabadili namba za simu,dada wa watu alichukua mkopo wa kulea mtoto na soon watakuja kumchukulia vitu vyake vya ndani kwa kuwa mkopo haulipiki tena!
Jana nimepigiwa simu...kumbe namba yangu hakuwa amefuta...

Majanga,smtms tunazuzukaga na vitu vya ajabu sana. Mpaka uje uone umuhimu wa huyo unaemuona wanini muda unakua umeenda na hapo majuto ndio hua mjukuu... Ni vema tujifunze kufurahia hivi tulivyonavyo kabla hatujavipoteza
 
Tatizo ni kumjua huyo wa ukweli
 
Mi nkikuona nakutongoza hapohapo...................ukinikataa nafuta namba hapohapo na kumshukuru mungu bora umenikataa coz gharama za kunikubalia na mihangaiko ya kuanza kutafutana kwenye masimu, kupigana mizinga, mawazo ya option za kutumia ndom au kutotumia n.k yote hayo nakuwa nimeyaepuka. N.B Huwa natongoza kuiridhisha tu nafsi basi.
Aaah nilitaka nijifanye aunt sadaka kumbe sikuwa nimesoma vizuri hapo mwishoni. "Huwa unatongoza kuiridhisha nafsi tu basi".
Mmh sipati picha mtu una kimuhe muhe cha kuwa na new beau na full kujipa matumaini kuwa yeees nimepata... kumbe mwenzako anapiga trial and error aisee
 
aaah nilitaka nijifanye aunt sadaka kumbe sikuwa nimesoma vizuri hapo mwishoni. "huwa unatongoza kuiridhisha nafsi tu basi".
Mmh sipati picha mtu una kimuhe muhe cha kuwa na new beau na full kujipa matumaini kuwa yeees nimepata... Kumbe mwenzako anapiga trial and error aisee
noma sana..............
 
Kuna Kamoja Kapo Ubalozi Wa Ufaransa Nimeanza Nako Tokea Buku Mbili na Kumi na Mbili Lakini Majibu Kalikokua Kananijibu Kalinifanya Nikachukie na Kukata Tamaa. Lakini Nashangaa Mwaka Jana Kamenijileta Kenyewe Na Tunda Kakanipa Bila Hata Aibu Nikala Kwa Pozi Zote Huku Nikifidia Majibu yake Aliyokuwa Ananijibu
 
Back
Top Bottom