Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,148
- 124,752
- Thread starter
- #81
Huwa tunakomaa hata kama tukikataliwa ili kuepuka kuwekwa kwenye list ya waliokataliwa!muda mwingine mkikaa kwenye vikao vyenu huwa kuna ile ya:yule alishanitongoza nikamkataa,yule nae hivyohivyo!kwenye hiyo list ndo wengi hawataki kuwekwa!ndo maana muda mwingine wanaamua kuwa ving'ang'anizi na mwisho wa siku wafanya kama walivyomfanya huyo mdada wa kwenye muvi yako!
Kwani ni lazima ukubaliwe na kila unayemtongoza?