Kama mtu humpendi mkatae kistaarabu tu

Kama mtu humpendi mkatae kistaarabu tu

Hivi kuna wanawake ombao wanawakataa wanaume miaka hii kweli? Isijekuwa tatizo hapo ni namna tu ya kumtokea huyo mwanamke..Kwani kila mwanamke kuna namna ya kumtokea
 
My case sounds a lot familiar issue is ilikua high school hapa hapa dar....i was chasing ths chick for like 3 years...that was when love and crashes wer at its peak...

Dem alintosa, kashan dhalilisha sanaa, dharau, majibu ya ovyo sumtyms mbele za watu, alikua na crew lake rafiki zake walikua ma pashkuna balaa... I loved tha chick so badly...nimelia sanaa mwenyewe maghetoni....one day i said to my self " f*ck ths shit ".

Tumemaliza high school tukingoja taratibu za kuingia ma chuo....i remember nlifight sanaa nimvue chup.i yule mtoto...siku kama zali akakubali kutoa game baada ya ku insist sanaa.....ile tumebaki kama tulivyo zaliwa....nikamwambia " yan kuringa kote huko ni huu uozo unataka kunipa ?? K*ma yenyewe inanuka kaa choo ( nikitema mate kwa kinyaa pembeni ) ". Sikumla wala nn...nikavaa nguo zangu alaf huyo nikajikataa.

Bwana weee.....yule mwanamke ikawa ni kilio kila siku.....kila akiniona hana amani na raha kabisa...she was extremely cute nd fine. Yule mtoto ikafika kipindi nikawa nakula kama nimemtolea mahari....as we speak mpaka leo wern't close kama zamani but nikiomba mchezo milele yote hachomoi.

Wewe si MSTAARABU.
 
hata mimi nakumbuka yule... alinijibu tu kistaarabu
 
du kuna mmoja alinijibu dry nilimalizaga week nakumbuka na of course nilikua namchekea kumbe ninakinyongo nae balaa! can u imagine mtu ananiambia umetongoza huko umekataliwa sasa umeona uje kwangu, mm ndio wa kuchukua sura za hivyo! du hii post imenilenga
 
Kuna watu ni ving'ang'anizi asikuambie mtu, utatumia lugha zote za kistaarabu mpaka zinaisha, bado yumo tu, utaamua kutumia vitendo ila yumo tu, na wengine kwa kujidharau wao wenyewe anaanza kuongea maneno ya shobo(maneno ya mkosaji) so sometime unajikuta tu limekutoka bila kutarajia kero inapozidi.
 
du kuna mmoja alinijibu dry nilimalizaga week nakumbuka na of course nilikua namchekea kumbe ninakinyongo nae balaa! can u imagine mtu ananiambia umetongoza huko umekataliwa sasa umeona uje kwangu, mm ndio wa kuchukua sura za hivyo! du hii post imenilenga

Dawa ni " Massive Success ". Iko siku ataji mix anga zako tu, unafanya kweli.
 
Kweli jf ni zaidi ya shule nimejifunza mengi na naendelea kujifunza ahsante wakuu kwa kutupa mwanga sisi ambao tunaogopa majibu machafu
 
Haipendezi ila na wakaka nao wawe wepesi kusoma majira. Sio mtu anakomaaalia mpaka iwe kero... Ukishaona mazingira hayakubali we jisepeshe tu sio mpaka yakufike...

Tatizo wengi huwa vigeugeu huwa wengi wanashindwa kusema ndiyo kwa haraka akiogopa kuonekana mayala ..hivyo kutokana na mazingira mliotuwekea kuwa mwanaume akikufuatilia mara nyingi nyingi ndiyo yupo true na sisi jamani tunajipa moyooo
 
Jamaa si mnaonaga punda dume akiwa anafukuzia jike...anapigwa mateke kujambiwa jambiwa but still anakomaa kudai mzigo😂 sembuse vimatusi ambavyo havichubui me nasema vidume tukomaeni kudai mizigo kama punda
 
Maninaaa yan unitukane afu me nikuache weeeee, na me nakushushia mitusi million wanawake kibao m1 akizingua lala mbele kwanza sisi wanaume ndo tunatakiwa tulinge maana tupo wachache menyewe yapo mengiiiii afu yanalinga kugongwa nyambafu mi kuna kidada kilinichomolea zaman afu xa hv kina taka mara" oooh njoo kwetu nipo peke yang naogopa kulala peke yangu nisamehe kwa yale niliyokujibu kipindi kile utoto ulikua unanisumbua tugange yajayo," nyambafu ngoja nigange yajayo na wenzako wanaojua thaman yetu wanaume"

WANAUME OYEEEEEEEEEE...........
 
Basi kuna huyu mdada alikuwa anasoma chuo cha ualimu mi nikawa namuona ila nakosa muda wa kuongea nae nampita tu na hanijui hata kidogo. Ana vigezo vyangu vyote!!

Nikafight sana nikapata namba yake, nilipopiga nilitukanwa mitusi hiyo hadi nikafreeze kama chakula barafu.. akili ndogo iliyobaki niliitumia kumuomba tuonane kesho yake chuoni kwao

Sasa cha ajabu tulipoonana alikuwa mstaarabu kama sio yeye hadi nikashangaa japo alikuja na mwenzie ila mambo yalikuwa poa sana. Ni miaka kama minne imepita ila hadi leo tunawasiliana, dini tu ndio ilifanya aolewe kwingine. Kitu kibaya bado anapenda kutoroka kwa mmewe kuja kwangu bila taarifa maana anajua siwezi kukubali.

Hahahahahaha
 
Maninaaa yan unitukane afu me nikuache weeeee, na me nakushushia mitusi million wanawake kibao m1 akizingua lala mbele kwanza sisi wanaume ndo tunatakiwa tulinge maana tupo wachache menyewe yapo mengiiiii afu yanalinga kugongwa nyambafu mi kuna kidada kilinichomolea zaman afu xa hv kina taka mara" oooh njoo kwetu nipo peke yang naogopa kulala peke yangu nisamehe kwa yale niliyokujibu kipindi kile utoto ulikua unanisumbua tugange yajayo," nyambafu ngoja nigange yajayo na wenzako wanaojua thaman yetu wanaume"

WANAUME OYEEEEEEEEEE...........

This is despicable and detestable!
 
Dawa ni " Massive Success ". Iko siku ataji mix anga zako tu, unafanya kweli.

Sio lazima kumla.
Ukishafikia hizo levels mu-ignore tu.
Atajisikia vibaya zaidi ya kumlala.
Manake wengine fantasy zao ni kulala na wanaume waliotoboa.
 
Back
Top Bottom