Mkuu unajipa moyo kukataliwa ni kukataliwa tuu hata akikukataa huku akiwa anakurembulia macho..!
Eeeh yani unakataliwa hadi unajisikia raha? Ndo kukataliwa gani huko?
Yani umenijuliaje, haya nazisubiri kwa hamuNtakutumia screenshot usijali
Yani umenijuliaje, haya nazisubiri kwa hamu
Mmh Sidhani kwa kweli, sijawahi kumkataa mtu hadi akafurahi. Yani ukataliwe afu still ufurahi, au hukumpenda huyo mdada?Teh teh..Ila hautaona jipya..mana ni kitu unachokifanyaga hata ww
Haipendezi ila na wakaka nao wawe wepesi kusoma majira. Sio mtu anakomaaalia mpaka iwe kero... Ukishaona mazingira hayakubali we jisepeshe tu sio mpaka yakufike...
Mmh Sidhani kwa kweli, sijawahi kumkataa mtu hadi akafurahi. Yani ukataliwe afu still ufurahi, au hukumpenda huyo mdada?
Wale ving'ang'anizi ndio matusi yanawakuta....
Mwanaume mwaka mzima unakataliwa kistaarabu aachi
Anafokewa hakomi
Mwisho anatukanwa
Mmh Sidhani kwa kweli, sijawahi kumkataa mtu hadi akafurahi. Yani ukataliwe afu still ufurahi, au hukumpenda huyo mdada?
Eeeh useme tu Kwamba ulifurahia ule ustaarabu wao, ila sio kuwa ulifurahia kukataliwa. Yani mtoto akukatae afu ufurahi duuhHapana unakataliwa kistaarabu, unapewa sababu nzuri na options pia, mnaendelea kuwa marafiki.
kuna binti mmoja niko namfukuzia tangu 2012, she's kind of church girl kashanitosa kama mara milioni hivi,
nikimpotezea ananitafuta, macho yake huwa kama ananiita, huko wassup ndio full kufuatilia last seen, nashindwa kumuelewa kama hanitaki bora kila mtu afanye yake, mwisho wake ndio wanakuja kudhalilishwa!
Ukimpenda sana mtu....at tyms swagger zinapotea nd pia unaweza jikuta una muogopa flan hvi huyo mlengwa mwenyewe. Tha day i officially slept wit her i remember telling her
" You are the best thing that has ever happened in my life. I don't wanna loose u ever again "
Since then akatokea kunipenda balaa despite of what i did to her previously. Love can be very strange at tyms.
Tusi kitu gani, kwani linajiandika usoni!? sifa ya mwanaume ni uvumilivu hadi kupata atakacho
dah kwa hiyo unajilia tu
mfunge ndoa sasa yani kila siku unamsaula , yeye kichwani mwake anajua wee ndo wake ndo maana hakunyimi mzigo
funga nae ndoa mdada wa watu asije jinyonga bure
Eeeh useme tu Kwamba ulifurahia ule ustaarabu wao, ila sio kuwa ulifurahia kukataliwa. Yani mtoto akukatae afu ufurahi duuh
Hii pia ilishatokea IRINGA,zamani sana....karibu miaka 30 ilopita.My case sounds a lot familiar issue is ilikua high school hapa hapa dar....i was chasing ths chick for like 3 years...that was when love and crashes wer at its peak...
Dem alintosa, kashan dhalilisha sanaa, dharau, majibu ya ovyo sumtyms mbele za watu, alikua na crew lake rafiki zake walikua ma pashkuna balaa... I loved tha chick so badly...nimelia sanaa mwenyewe maghetoni....one day i said to my self " f*ck ths shit ".
Tumemaliza high school tukingoja taratibu za kuingia ma chuo....i remember nlifight sanaa nimvue chup.i yule mtoto...siku kama zali akakubali kutoa game baada ya ku insist sanaa.....ile tumebaki kama tulivyo zaliwa....nikamwambia " yan kuringa kote huko ni huu uozo unataka kunipa ?? K*ma yenyewe inanuka kaa choo ( nikitema mate kwa kinyaa pembeni ) ". Sikumla wala nn...nikavaa nguo zangu alaf huyo nikajikataa.
Bwana weee.....yule mwanamke ikawa ni kilio kila siku.....kila akiniona hana amani na raha kabisa...she was extremely cute nd fine. Yule mtoto ikafika kipindi nikawa nakula kama nimemtolea mahari....as we speak mpaka leo wern't close kama zamani but nikiomba mchezo milele yote hachomoi.