Kama mtu humpendi mkatae kistaarabu tu

Kama mtu humpendi mkatae kistaarabu tu

uliteseka nawe kupata penzi eeee au ulikuwa una swaga haaaaaaaa Senior Boss

Ukimpenda sana mtu....at tyms swagger zinapotea nd pia unaweza jikuta una muogopa flan hvi huyo mlengwa mwenyewe. Tha day i officially slept wit her i remember telling her

" You are the best thing that has ever happened in my life. I don't wanna loose u ever again "

Since then akatokea kunipenda balaa despite of what i did to her previously. Love can be very strange at tyms.
 
Last edited by a moderator:

kweli kabisa ila yataka moyo wa busara Senior Boss
 
Last edited by a moderator:
mi nikikataliwa ndo kachokoza nitamfata hata hanitukane mi na yeye tu sipendi kushindwa kwa jambo lolote.
 
Khantwe

Huwa tunakomaa hata kama tukikataliwa ili kuepuka kuwekwa kwenye list ya waliokataliwa!muda mwingine mkikaa kwenye vikao vyenu huwa kuna ile ya:yule alishanitongoza nikamkataa,yule nae hivyohivyo!kwenye hiyo list ndo wengi hawataki kuwekwa!ndo maana muda mwingine wanaamua kuwa ving'ang'anizi na mwisho wa siku wafanya kama walivyomfanya huyo mdada wa kwenye muvi yako!
 
Last edited by a moderator:
Hyo move nimeiona matokeo yake alimkubal rafk wa alie mpa mimba ambae hapo awali nae almtongozaga kw nyakat tofaut bla kukubaliwa
baada y jamaa kukaa miaka 2 kurejea anamkuta rafk kashk namba ndio mwanzo wa kuomb msamaha bila mafanikio mwisho akaua rafik yake na mwanae wa damu na kwenda kufia jela.
 
Basi kuna huyu mdada alikuwa anasoma chuo cha ualimu mi nikawa namuona ila nakosa muda wa kuongea nae nampita tu na hanijui hata kidogo. Ana vigezo vyangu vyote!!

Nikafight sana nikapata namba yake, nilipopiga nilitukanwa mitusi hiyo hadi nikafreeze kama chakula barafu.. akili ndogo iliyobaki niliitumia kumuomba tuonane kesho yake chuoni kwao

Sasa cha ajabu tulipoonana alikuwa mstaarabu kama sio yeye hadi nikashangaa japo alikuja na mwenzie ila mambo yalikuwa poa sana. Ni miaka kama minne imepita ila hadi leo tunawasiliana, dini tu ndio ilifanya aolewe kwingine. Kitu kibaya bado anapenda kutoroka kwa mmewe kuja kwangu bila taarifa maana anajua siwezi kukubali.
 
Hyo move nimeiona matokeo yake alimkubal rafk wa alie mpa mimba ambae hapo awali nae almtongozaga kw nyakat tofaut bla kukubaliwa
baada y jamaa kukaa miaka 2 kurejea anamkuta rafk kashk namba ndio mwanzo wa kuomb msamaha bila mafanikio mwisho akaua rafik yake na mwanae wa damu na kwenda kufia jela.

du!..bora hata usingeimalizia!.umetia nazi kwenye 'supu' ya thread!
 
Thank you dear for the lesson.. Binafsi nilishuhudia Mdada akimuambia Mkaka Kuwa hawezi kumuoa kwa Elimu aliyo nayo ( kumbuka huyo Dada back then hata Degree alikuwa hana ndio ata graduate this year. Mkaka right now ana Masters yake amemoved on with his life .) . Kwa kaka Wa watu alimpenda hakuchoka still he was nothing to her. Always mdada anajigamba kwa watu kuwa anataka mwanamme aliyemaliza College Fulani ambayo ni maarufu sana . Now look how it ends anajuta kwa kumkataa yule mkaka .. Kwa maana she will be almost 40 hajapata mahusiano yaliyo na msimamo maalum. Anyway for some women we have a lot things to work on and change our bad attitudes .. Dear well done .. and thank you for this thread.. Thanks...
 
Wale ving'ang'anizi ndio matusi yanawakuta....

Mwanaume mwaka mzima unakataliwa kistaarabu aachi

Anafokewa hakomi

Mwisho anatukanwa
 
kuna dada niliwahi kumtokea..yani the way alivyokuwa ananikataa hadi raha..kuna wadada wengine wastaarabu sana

Mkuu unajipa moyo kukataliwa ni kukataliwa tuu hata akikukataa huku akiwa anakurembulia macho..!
 
Yes keep it up wadada kutongoza ni raa kamchezo flan kazuri so acha tu wakupe vimaneno vya hapa na pale - Hivo vimaneno sazingine ni vitam mno
 
kibaya c majibu ila anadunguliwa n mtu uliyemzid kila kitu huuuuu
 
Back
Top Bottom