Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,702
Mkuu sometimes utakazana "massive success" still na yeye akatoboa zaidi unless una uhakika hawezi ifika level zako.
Success in a way hubabaishwi nae na kwamba una dem wako mwingine mzuri tu and most of all u are damn happy. Hata awe na mihela kama Bill Gates kukuona tu in that situation ni revenge tosha.
Wangapi wana mihela kibao hawana Amani au furaha. Kikubwa ukifika level hiyo hakuna kumpa attention. You just have to be happy and unbothered. Atajirudi tu, trust me. I kno and have proved it before.