Kama mtu humpendi mkatae kistaarabu tu

Kama mtu humpendi mkatae kistaarabu tu

Kuna watu ni ving'ang'anizi asikuambie mtu, utatumia lugha zote za kistaarabu mpaka zinaisha, bado yumo tu, utaamua kutumia vitendo ila yumo tu, na wengine kwa kujidharau wao wenyewe anaanza kuongea maneno ya shobo(maneno ya mkosaji) so sometime unajikuta tu limekutoka bila kutarajia kero inapozidi.

Hahaaa....lakini ndo hivyo mwisho wa mechi ndo utaamua nani mshindi
 
Jamaa si mnaonaga punda dume akiwa anafukuzia jike...anapigwa mateke kujambiwa jambiwa but still anakomaa kudai mzigo sembuse vimatusi ambavyo havichubui me nasema vidume tukomaeni kudai mizigo kama punda

Hahaaa hapo kwenye red nimechekaje.....
 
Maninaaa yan unitukane afu me nikuache weeeee, na me nakushushia mitusi million wanawake kibao m1 akizingua lala mbele kwanza sisi wanaume ndo tunatakiwa tulinge maana tupo wachache menyewe yapo mengiiiii afu yanalinga kugongwa nyambafu mi kuna kidada kilinichomolea zaman afu xa hv kina taka mara" oooh njoo kwetu nipo peke yang naogopa kulala peke yangu nisamehe kwa yale niliyokujibu kipindi kile utoto ulikua unanisumbua tugange yajayo," nyambafu ngoja nigange yajayo na wenzako wanaojua thaman yetu wanaume"

WANAUME OYEEEEEEEEEE...........

Manina zako kakojoe ulale....
Hebu subiri kwanza....una miaka mingapi?
 
Kuna mdada ana jina hapa bongo, na humu jf amebahatika kupata coverage japo za scandals zake, alinipita kidato kimoja back then O level.

Kipindi hicho yupo on fire, alileta hizi hizi mambo za kujibu watu maneno ya shombo, kilichomkuta! Naogopa kuweka hapa, maana last week kazungumzwa humu kwa makshkash yake hapa town!

Nani huyo mkuu?
 
Mie naonaga ni ushamba tu maana sionagi sababu yakumtukana mtu kisa kutongozwa ila pia wakaka mkikataliwa muwe mnawaacha waliowakataa na mtafute wengineo msiwe ving'ang'anizi sana

My wii nimekumiss we acha tu
 
kuna tangazo la coca cola kwenye bango linasema hivi 'NIMEMTOKEA MARA 32 KABLA HAJANIKUBALI....NAJIAMINI'!!!!!!!! seriously,mara 32???!!!!!!

Kawaida tu mbona
 
Sasa avumilie kupewa za uso
Maana wanaume wengine wanajifanya No means Yes.....

Wakitukanwa wanalia kudharauliwa

Wapigwe tu

haswaaaaaa...mwanaume kutokukata tamaa ndiyo sifa yake haswa kwa kile apendacho
na hii ndiyo inaleta raha kamili ya kuitwa mwanaume.
 
Yaani wanawake wote sie unakula mke wa mwenzio? Shame on u

Tatizo nyie mkishatoa hiyo kitu huwa mnasumbua sana. Mi narudi kutoka job jioni sana, namkuta mtu hom na ameshapanga njama na ndugu zake waseme yupo kwao mi nifanyeje (am not proud at all though). Sasaivi nimehamia mbali na dar kikazi hiyo tabu imekwisha. Nimetubu na Mungu amenisamehe.
 
Haya hongera kama umetubu
 
My case sounds a lot familiar issue is ilikua high school hapa hapa dar....i was chasing ths chick for like 3 years...that was when love and crashes wer at its peak...

Dem alintosa, kashan dhalilisha sanaa, dharau, majibu ya ovyo sumtyms mbele za watu, alikua na crew lake rafiki zake walikua ma pashkuna balaa... I loved tha chick so badly...nimelia sanaa mwenyewe maghetoni....one day i said to my self " f*ck ths shit ".

Tumemaliza high school tukingoja taratibu za kuingia ma chuo....i remember nlifight sanaa nimvue chup.i yule mtoto...siku kama zali akakubali kutoa game baada ya ku insist sanaa.....ile tumebaki kama tulivyo zaliwa....nikamwambia " yan kuringa kote huko ni huu uozo unataka kunipa ?? K*ma yenyewe inanuka kaa choo ( nikitema mate kwa kinyaa pembeni ) ". Sikumla wala nn...nikavaa nguo zangu alaf huyo nikajikataa.

Bwana weee.....yule mwanamke ikawa ni kilio kila siku.....kila akiniona hana amani na raha kabisa...she was extremely cute nd fine. Yule mtoto ikafika kipindi nikawa nakula kama nimemtolea mahari....as we speak mpaka leo wern't close kama zamani but nikiomba mchezo milele yote hachomoi.

Shkamoo
 
Mkuu lete ushuhuda kama hutojali

1. Nilishatukanwa sana,
2. kuachwa solemba, kwamba umeenda mitaa ya kwao, akikuona tu au akiambiwa upo, anatokea mlango wa uani huyooo anatimka.
3. Siku ukibahatika kuonana naye fesi tu fesi, majibu ni mkato na always ana haraka... Hakupi nafasi

Kuna mama mmoja alimwambia hivi.... ''mtukane, mkimbie, msemee lakini usishangae akikuoa.....'' TUKIYAKUMBUKA HAYO TUNABAKI KUCHEKA TU
Lakini ndoa ikahusika tena ya kanisani, na watoto tumejaaliwa, tena wa kwanza mapacha (KE an ME, 14 years old) na kadogo ka mwisho 5 years old now.
 
Shkamo boc mkurugenzi duuuuhhh
 
Yes...wewe ndo mwanaume wa ukweli. Ulitukanwa,ukakomaa na hata alipokubali kukupokea ulisahau matusi yote. Mapenzi ya kweli ndo haya
 
Back
Top Bottom