Kama kuna Polisi mwenye Division One, basi vyeti si vyake

Kama kuna Polisi mwenye Division One, basi vyeti si vyake

Nashikwa na hasira sana natamani ningekua kama roboti hivi ningeua wale askari wote waliokua wanawapiga raia wakati wamekubali kupanda gari kuelekea kituoni.hivi hawa police wanajua kwamba familia zao tunazo mitaani?? Unawezaje kumpiga mtanzania mwenzako kama gunia la mahindi???amini nawaambieni ipo siku watanzania watachoka nakuamua kulipiza kisasi.namlaani sana pinda, livingstone lusinde,waziri wa mambo ya ndani kwa majibu mepesi na baba yao pinda.ipo siku ipo siku mtakiona kiama chenu polisi nyinyi msio na uwezo waku reason.

Unashangaa watz angalia hawa waulaya
 

Attachments

  • IMG-20150130-WA0000.jpg
    IMG-20150130-WA0000.jpg
    27.1 KB · Views: 447
Kwani hizo division ndiyo zinafanya kazi? Polisi wamesomea upolisi huko CCP sasa ukianza kuuliza masuala ya O level sijui advance hueleweki.Mapolisi wote wamesomea Upolisi

Hahahahaaa daaa nimechekaaa Sana'a aseeee
 
mkuu kwanza tofauti ya jwtz na polis ipo kwenye mafunzo na unyet wa chombo.
Lakn kwa upande wa elim polis wanaelim kubwa zaid ya jw.
Jwtz mwenye form six anaenda kusomea nyota lakn polis hata uwe na diploma huwez kupata nyota lazma uwe na degree.

Jwtz mwenye degree anaanza na nyota mbili polis mwenye degree huanza na nyota moja pata picha

Hao polisi kama kweli wamesoma basi wameishia kuwa na vyeti tu,lakini maarifa sifuri.Ndio maana wana maamuzi ya kijinga sana
 
Hao polisi kama kweli wamesoma basi wameishia kuwa na vyeti tu,lakini maarifa sifuri.Ndio maana wana maamuzi ya kijinga sana

mkuu unajua kuna kitu kimoja ambacho sisi raia tumeshindwa kukijua ndani ya majeshi haya:
askari anaongozwa na mambo makuu matatu ambayo ni
1. Uaminifu
2. Utii
3. Uhodari.
Jeshini kuna kitu kinaitwa nidham au utii, jicho kitu ni mhimu sana kwa askari.

Askari yeyote anapokea amri au maelekezo kutoka kwa mkuu wake. Hyo amri anatakiwa kuitekeleza pasipo kujadili. Akijadili au akisita tu hapo amekaidi amri lazma achukuliwe hatua za kijesh.

Na ukisikia kwenye viapo vyao kuna kauli wanasema nitakuwa mtii kwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania....

Sasa mkuu askaru hana ch kujadili pale amri inapotolewa na mkuu wake kuanzia rais ambaye ndio mkuu wa serikali iliyopo madarakan.

Akikaidi ndio hao wanawaita waasi.
Ila tu jambo la kulalamika ni hii katiba ibadilishwe hasa kwenye sheria za kijeshi kwasababu zipo kikolon sana.
 
pamwanya tupo wengi na tuliperfom excellently na tukapewa zawadi . tunafanya kazi kwa uweledi na utaalamu tuliosomea ndani ya nchi na nje ya nchi... ninyi mnatakiwa kutii sheria bila shuruti na sio kuchochea vurugu kwani sisi tumefundishwa kuwadhibiti
Nimejaribu kufanya utafiti na kufuatilia msingi wa elimu ya Askari police nikajua hakuna mwenye div.1 ya O level wala Advanced level.

Ndipo nikabain kuwa ndio maana wanafanya mambo hovyo, kumbe hata uwezo wao wa kuelewa mambo ni mdogo sana kutokana na msingi mbovu wa elimu zao. Vile inatokana na wengi kusoma shule za ajabu ajabu kutokana na vipato vibovu vya wazazi wao.

Wanaishi kwenye makazi mabovu eg Buguruni sokoni,lakini hawezi kohoji makazi kama mabanda ya nguruwe, Na bado wanafanya maamuzi ya kijanga jinga,kama waliyofanya kwa Prof.Lipumba, UDOM, mwenyekiti wa wafanyabiashara,mwangosi na wengine wengi.

Muulize rafiki yako askari matokeo yake ya shule yakoje?
 
walikuwa wanataka kuwasaidia watanzania kwa kumua prof lipumba ili waamke na waikatae CCM.mapinduz hutokea baada ya mtu kufa la sivyo CCM haitotoka madarakani bila upinzani kiongoz au wafuas weng kufa
hiyo dhana potofu ccm yenyewe ina hali mbaya itakufa yenyewe muda ukifika .
 
Ni uzembe wa kufikiri kukiri kuwa Polisi woote hakuna ambaye alipata Division One kwenye mtihani wa Form Four or Six.
Tunao wengi askari wenye character hizo.............
Pia ni upofu na ulemavu kweli wa akili kufikiri na kuamini kuwa polisi wanayafanya yale wayatakayo wao....No thank you.
Polisi ni jeshi, Jeshini unafanya kazi kutokana na orders from your superior hata kama una division one with 9A's na your superior ni std seven leaver you have to obey his/her order... That what we call displine..........

Mkuu chuo cha maaskari polisi kiko kule moshi. Sifa ya kuingia ni div. 4 ila siku hizi wameongeza wanataka wenye div. 3. Sasa mtu apate one aende kufanya nini huko. Kazi yenyewe inahitaji nguvu ili uweze kumdhibiti kibaka.
This is my opinion, and not facts hivyo usijetumia nguvu kuijibu.
 
kuna jamaa namfahamu alipata div. one points 3 tena ya PCM alienda police watu walimponda sana. tena nimemkumbuka jina ngoja nimsearch google yuko wapi.
 
mkuu unajua kuna kitu kimoja ambacho sisi raia tumeshindwa kukijua ndani ya majeshi haya:
askari anaongozwa na mambo makuu matatu ambayo ni
1. Uaminifu
2. Utii
3. Uhodari.
Jeshini kuna kitu kinaitwa nidham au utii, jicho kitu ni mhimu sana kwa askari.

Askari yeyote anapokea amri au maelekezo kutoka kwa mkuu wake. Hyo amri anatakiwa kuitekeleza pasipo kujadili. Akijadili au akisita tu hapo amekaidi amri lazma achukuliwe hatua za kijesh.

Na ukisikia kwenye viapo vyao kuna kauli wanasema nitakuwa mtii kwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania....

Sasa mkuu askaru hana ch kujadili pale amri inapotolewa na mkuu wake kuanzia rais ambaye ndio mkuu wa serikali iliyopo madarakan.

Akikaidi ndio hao wanawaita waasi.
Ila tu jambo la kulalamika ni hii katiba ibadilishwe hasa kwenye sheria za kijeshi kwasababu zipo kikolon sana.

Hapo ndipo tunapohitaji Polisi wenye upeo wanaofanya kazi kwa weredi,maana wao ndio wenye kuwashauri hawa wanasiasa walafi wa madaraka namna nzuri ya kulinda amani na sio kutii kila amri hadi za kupiga raia wanazopewa na hawa wanasiasa ambao wako tayari kubaki madarakani hata kwa kumwaga damu
 
Mkuu chuo cha maaskari polisi kiko kule moshi. Sifa ya kuingia ni div. 4 ila siku hizi wameongeza wanataka wenye div. 3. Sasa mtu apate one aende kufanya nini huko. Kazi yenyewe inahitaji nguvu ili uweze kumdhibiti kibaka.
This is my opinion, and not facts hivyo usijetumia nguvu kuijibu.

Wapo wenye one aisee.wala usishangae tunatofautiana mitizamo.we unaona hivi mwingine anaona vile.
 
Mwalimu aliingiza Wakurya wengi jeshi la polisi , na asilimia kubwa ya Wakurya ni washenzi, huu ndio msingi

tulorithishwa from Baba wa taifa
 
Polisi mwenye div one ni wale waloingia na proffesion kwa lengo la kufata vyeo, ila wengine 90 vyeti vya kufoji.
 
Jeshi wanaangalia vigezo kwanza physically cheti ni kitu cha mwisho kabisa ila kazi nyingine za kiraia wanaangalia cheti ufanisi wa kazi ni kitu cha mwisho kabisa.
 
Then kumbuka kazi ya Polisi mbali ya kuwa form four au form six ni lazima upitie tena mafunzo ambayo sio secondary tena!.
 
Hivi mimi kweli niwe na div 1 afu niende polisi,nimerogwa?
mie wengi wao ni wale waliopata div 4.
 
Back
Top Bottom