Kama kuna Polisi mwenye Division One, basi vyeti si vyake

Nimejaribu kufanya utafiti na kufuatilia msingi wa elimu ya Askari police nikajua hakuna mwenye div.1 ya O level wala Advanced level. Ndipo nikabain kuwa ndio maana wanafanya mambo hovyo, kumbe hata uwezo wao wa kuelewa mambo ni mdogo sana kutokana na msingi mbovu wa elimu zao. Vile inatokana na wengi kusoma shule za ajabu ajabu kutokana na vipato vibovu vya wazazi wao. Wanaishi kwenye makazi mabovu eg Buguruni sokoni,lakini hawezi kohoji makazi kama mabanda ya nguruwe, Na bado wanafanya maamuzi ya kijanga jinga,kama waliyofanya kwa Prof.Lipumba, UDOM, mwenyekiti wa wafanyabiashara,mwangosi na wengine wengi.muulize rafiki yako askari matokeo yake ya shule yakoje?

Na hii ndo sababu inayowafanya wawe "motto" pale mnapoingia anga zao.

Wako humu wanawachora tu. Na huu mwaka ndio pamewiva sasa.
 
Nimejaribu kufanya utafiti na kufuatilia msingi wa elimu ya Askari police nikajua hakuna mwenye div.1 ya O level wala Advanced level. Ndipo nikabain kuwa ndio maana wanafanya mambo hovyo, kumbe hata uwezo wao wa kuelewa mambo ni mdogo sana kutokana na msingi mbovu wa elimu zao. Vile inatokana na wengi kusoma shule za ajabu ajabu kutokana na vipato vibovu vya wazazi wao. Wanaishi kwenye makazi mabovu eg Buguruni sokoni,lakini hawezi kohoji makazi kama mabanda ya nguruwe, Na bado wanafanya maamuzi ya kijanga jinga,kama waliyofanya kwa Prof.Lipumba, UDOM, mwenyekiti wa wafanyabiashara,mwangosi na wengine wengi.muulize rafiki yako askari matokeo yake ya shule yakoje?

Dah hawa polisi si wapendi kama mavi yani, mtu unakubali kwenda kituoni bila shuruti ila bado unapigwa aisee, naisi sikuiz serikali inachagua machizi ndo wawe maaskari
 
Nimejaribu kufanya utafiti na kufuatilia msingi wa elimu ya Askari police nikajua hakuna mwenye div.1 ya O level wala Advanced level. Ndipo nikabain kuwa ndio maana wanafanya mambo hovyo, kumbe hata uwezo wao wa kuelewa mambo ni mdogo sana kutokana na msingi mbovu wa elimu zao. Vile inatokana na wengi kusoma shule za ajabu ajabu kutokana na vipato vibovu vya wazazi wao. Wanaishi kwenye makazi mabovu eg Buguruni sokoni,lakini hawezi kohoji makazi kama mabanda ya nguruwe, Na bado wanafanya maamuzi ya kijanga jinga,kama waliyofanya kwa Prof.Lipumba, UDOM, mwenyekiti wa wafanyabiashara,mwangosi na wengine wengi.muulize rafiki yako askari matokeo yake ya shule yakoje?

Jinsi ulivyowasilisha ujumbe wako tu inaonyesha wewe si msomi, na kama ni msomi bado hujaelimika, na kama umeelimika elimu yako inakupotosha!! Msomi hajengi hoja kwa matusi - unapata ujasiri kuongea unayoyaongea kwa sababu uko nyuma ya pazia!!
 
mkuu, polisi wote ni mambulula, ukiajiri polisi werevu si wataasi jeshi? hivi unafikiri mimi ningekuwa polisi ningekubali kutumiwa na ccm?...unahitaji kurecruit raia waliofeli darasani yaan empty kichwani ili iwe rahisi kuwaendesha kuamuru chochote na wanafanya. wote wanaoena ccp huwa ni wale waliofeli mitihani, na hata wale waliojiendeleza baada ya kuingia upolisi huwa hawana confidence ya kile walichosomea. kama ulishawahi kufanya nao kazi utaelewa hiki ninachoongea.
 
nktrec back kpind cha ukoloni wa mwingereza miongoni mwa sifa za colonia military kuna moja inasema ...they were most illiterate.. maelezo yake yakisema they lacked professional that is why they depended on orders and comma
ndas ( am less conserned)
 
Katika majitu kwa 90%yasiyo jielewa ni haya! hujifanya kuwa yako makini na yana ueledi wa hali ya juu. sikatai wapo polisi waadilifu ila rate yao ni ndogo ukilinganisha na manyang'au mengi yaliyo wazunguuka.
Na akiwa muadilifu anachukiwa mpaka na wenzie hebu tusitafune maneno wengi wamekuwa wahanga wa jeshi hili. kukubambikia kesi ya kichwa hawaoni tabu najua wapo humu natoa pongezi kwa askari wote waadilifu na ile mishenzi isiyotambua wajibu wao ijue malipo mengine ni hapa hapa duniani kwa mungu hesabu ndo itaenda.
 
Lazima tuwe wakweli. Hiyo ilikuwa zamani kidogo. Miaka ya hivi karibuni hali imebadilika kufuatana na ukosefu wa ajira.

Zamani ilikuwa failures wote wanaenda ualimu (Div IV karibu na zero). Waliobaki ndio hao walienda polisi. Ndio maana kulikuwa na usemi - umekosa hata ualimu?

Siku hizi graduate wazuri wa fani zote wanaenda polisi na magereza.

Naunga mkono hoja...
Kabisa angalia miaka ya 2010's... kuna watu wa fani tofauti graduate wanajiunga moja kwa moja ccp moshi
Na ukitaka kujua angalia vijana waliopiga usimamizi wa sheria (law enforcement) udsm..cut point yao ni 9 kwenda pale..!!! Asa si ndo dv 1 yenyewe hiyo
 
Nimejaribu kufanya utafiti na kufuatilia msingi wa elimu ya Askari police nikajua hakuna mwenye div.1 ya O level wala Advanced level. Ndipo nikabain kuwa ndio maana wanafanya mambo hovyo, kumbe hata uwezo wao wa kuelewa mambo ni mdogo sana kutokana na msingi mbovu wa elimu zao. Vile inatokana na wengi kusoma shule za ajabu ajabu kutokana na vipato vibovu vya wazazi wao. Wanaishi kwenye makazi mabovu eg Buguruni sokoni,lakini hawezi kohoji makazi kama mabanda ya nguruwe, Na bado wanafanya maamuzi ya kijanga jinga,kama waliyofanya kwa Prof.Lipumba, UDOM, mwenyekiti wa wafanyabiashara,mwangosi na wengine wengi.muulize rafiki yako askari matokeo yake ya shule yakoje?

Mkuu research yako nakupa A
 
Walisha ambiwa watupige nayo bila haata kushirikisha ubongo wana piga too
 
mentor div ii mzumbe o level pts 18, div i a level hapo hapo mzumbe. point 7, udsm upper 2nd class hons.

na ni polisi na bado ni polisi.

cv ya mtu, haina uhusiano na kazi anayofanya. kama uko smart, je umefanikiwa kuliko nape?

leta matokeo tuone na kazi uifanyayo maana hujielewi.

pia fuatilia cv ya dk enos lukyaa PhD

kwa wale wanaosoma chuo cha jordan na mzumbe kuna lecture mmoja anaitwa Onesmo Kipanga yule jamaa ni askar polisi anacheo cha inspector. Watanzania wanaishi kwa kukariri.
 
Nilishawahi sikia kuwa mapolisi waliostaafu wakiwa na vyeo vya juu huwa hawapewi ubalozi na vyeo vingine kama wakuu wa mikoa n.k kama ilivyo kwa wenzao wastaafu wa JWTZ kwasababu wengi wao huwa elimu yao ni ndogo sana. Kuna ukweli ktk hili?

mkuu kwanza tofauti ya jwtz na polis ipo kwenye mafunzo na unyet wa chombo.
Lakn kwa upande wa elim polis wanaelim kubwa zaid ya jw.
Jwtz mwenye form six anaenda kusomea nyota lakn polis hata uwe na diploma huwez kupata nyota lazma uwe na degree.

Jwtz mwenye degree anaanza na nyota mbili polis mwenye degree huanza na nyota moja pata picha
 
kwa wale wanaosoma chuo cha jordan na mzumbe kuna lecture mmoja anaitwa Onesmo Kipanga yule jamaa ni askar polisi anacheo cha inspector. Watanzania wanaishi kwa kukariri.

Sasa si afanye kazi yake ya upolisi kama ni ya maana sana???
 
Tatizo siyo division walizopata tatizo ni aina ya binadamu yaani uafrika mweusi hamini kama binadamu anahitaji kuishi.
 
Nimejaribu kufanya utafiti na kufuatilia msingi wa elimu ya Askari police nikajua hakuna mwenye div.1 ya O level wala Advanced level. Ndipo nikabain kuwa ndio maana wanafanya mambo hovyo, kumbe hata uwezo wao wa kuelewa mambo ni mdogo sana kutokana na msingi mbovu wa elimu zao. Vile inatokana na wengi kusoma shule za ajabu ajabu kutokana na vipato vibovu vya wazazi wao. Wanaishi kwenye makazi mabovu eg Buguruni sokoni,lakini hawezi kohoji makazi kama mabanda ya nguruwe, Na bado wanafanya maamuzi ya kijanga jinga,kama waliyofanya kwa Prof.Lipumba, UDOM, mwenyekiti wa wafanyabiashara,mwangosi na wengine wengi.muulize rafiki yako askari matokeo yake ya shule yakoje?

Hacha ubw.ege wewe je magraduate walioingia baada ya kumaliza vyuo vikuu hawana division one? Kafanye utafiti wa fun.za kwanza ndo uje wa Police
 
Lazima tuwe wakweli. Hiyo ilikuwa zamani kidogo. Miaka ya hivi karibuni hali imebadilika kufuatana na ukosefu wa ajira.

Zamani ilikuwa failures wote wanaenda ualimu (Div IV karibu na zero). Waliobaki ndio hao walienda polisi. Ndio maana kulikuwa na usemi - umekosa hata ualimu?

Siku hizi graduate wazuri wa fani zote wanaenda polisi na magereza.

mkuu bora umelijua hilo. Inaonesha ni jins gani watu wengi walivyovilaza wanaropoka bila hata kufanya utafit...
Nina marafiki wengi sana ambao ni askari, maaskari polisi sku hizi ni wachache sana ambao hawana elim lakn walio wengi diploma, graduate,, labda wale wa zaman ndio wanahizo four mbaya.

Na hili la kusema wana maisha magumu hyo tumeikariri kwasababu ya virushwa lakn ukweli sasa hvi hawa jamaa wanamaisha mazuri wengi wananyumba zao na biashara yao.
Kuna polis mmoja yupo kituo cha urafiki hapo ana yard ya kuuza magar,
 
Ni uzembe wa kufikiri kukiri kuwa Polisi woote hakuna ambaye alipata Division One kwenye mtihani wa Form Four or Six.
Tunao wengi askari wenye character hizo.............
Pia ni upofu na ulemavu kweli wa akili kufikiri na kuamini kuwa polisi wanayafanya yale wayatakayo wao....No thank you.
Polisi ni jeshi, Jeshini unafanya kazi kutokana na orders from your superior hata kama una division one with 9A's na your superior ni std seven leaver you have to obey his/her order... That what we call displine..........

Displine gani ulivo nayo ya kufoji vyeti ebu tuanzie hapo.....usijifanye haujaelewa kilichowekwa mezani...
I know more than 9 police officers ambao wanatimia vyeti vya watu wengine.
 
mentor div ii mzumbe o level pts 18, div i a level hapo hapo mzumbe. point 7, udsm upper 2nd class hons.

na ni polisi na bado ni polisi.

cv ya mtu, haina uhusiano na kazi anayofanya. kama uko smart, je umefanikiwa kuliko nape?

leta matokeo tuone na kazi uifanyayo maana hujielewi.

pia fuatilia cv ya dk enos lukyaa PhD

Ivi unajua kama polisi Tz ndio taasisi ya umma yenye...fojale more than 96% ya maafisa wake.
 
Sasa si afanye kazi yake ya upolisi kama ni ya maana sana???

ona ulivyo punguani sasa...
Ndio maana mtaishia kulilia vyama kuwa ndio vitawakomboa kumbe ni uvivu wa kufanya kaz.

kama mda unaruhusu kwanini usifanye kazi zingne ili kukuza kipato chako?
Hata uwe na mshahara mkubwa vipi hauwez kukutosha bila kufanya shughul zingne za kukuongezea kipato. Ww endelea kuariri
 
mkuu kwanza tofauti ya jwtz na polis ipo kwenye mafunzo na unyet wa chombo.
Lakn kwa upande wa elim polis wanaelim kubwa zaid ya jw.
Jwtz mwenye form six anaenda kusomea nyota lakn polis hata uwe na diploma huwez kupata nyota lazma uwe na degree.

Jwtz mwenye degree anaanza na nyota mbili polis mwenye degree huanza na nyota moja pata picha

Nan kakwambia degree anaanza na nyota mbili? Then angalia hyo nyota ya Jw inatolewa na mamlaka gani na hyo ýa polisi anatoa nani.
 
Back
Top Bottom