Kama kuna Polisi mwenye Division One, basi vyeti si vyake

Nimejaribu kufanya utafiti na kufuatilia msingi wa elimu ya Askari police nikajua hakuna mwenye div.1 ya O level wala Advanced level. Ndipo nikabain kuwa ndio maana wanafanya mambo hovyo, kumbe hata uwezo wao wa kuelewa mambo ni mdogo sana kutokana na msingi mbovu wa elimu zao. Vile inatokana na wengi kusoma shule za ajabu ajabu kutokana na vipato vibovu vya wazazi wao. Wanaishi kwenye makazi mabovu eg Buguruni sokoni,lakini hawezi kohoji makazi kama mabanda ya nguruwe, Na bado wanafanya maamuzi ya kijanga jinga,kama waliyofanya kwa Prof.Lipumba, UDOM, mwenyekiti wa wafanyabiashara,mwangosi na wengine wengi.muulize rafiki yako askari matokeo yake ya shule yakoje?

viloba vyako vikipungua utajua ukweli
 
Ngoja ni google CV ya MAHITA
Sina uhakika kama utakuta history yoyote alikuwa darasa la saba akapata bahati kwa kuwa jeshi haliangalii weledi wakampa rungu ndipo majambazi wote wakapata mtu wa kuegemea ukiwagusa.
 
Nimejaribu kufanya utafiti na kufuatilia msingi wa elimu ya Askari police nikajua hakuna mwenye div.1 ya O level wala Advanced level. Ndipo nikabain kuwa ndio maana wanafanya mambo hovyo, kumbe hata uwezo wao wa kuelewa mambo ni mdogo sana kutokana na msingi mbovu wa elimu zao. Vile inatokana na wengi kusoma shule za ajabu ajabu kutokana na vipato vibovu vya wazazi wao. Wanaishi kwenye makazi mabovu eg Buguruni sokoni,lakini hawezi kohoji makazi kama mabanda ya nguruwe, Na bado wanafanya maamuzi ya kijanga jinga,kama waliyofanya kwa Prof.Lipumba, UDOM, mwenyekiti wa wafanyabiashara,mwangosi na wengine wengi.muulize rafiki yako askari matokeo yake ya shule yakoje?

hapo kwenye rangi sikubaliani kabisa na ww mkuu.
 
Nwaheshimu polisi,ila kwa nguvu waloiitumia jana kumdhibiti mchumi inanifanya niungane na mleta mada kutafakari mtazamo wake.Polisi wana kazi kubwa kuhama mfumo wa analog wanaoutumia kwenda digital kuachana na matumizi ya ubabe mwingi.
 
avatar126416_8.gif
 
Kwani hizo division ndiyo zinafanya kazi? Polisi wamesomea upolisi huko CCP sasa ukianza kuuliza masuala ya O level sijui advance hueleweki.Mapolisi wote wamesomea Upolisi
 
Mpka uchaguzi ufike mwezi wa kumi tutajionea mauza uza mengi, hofu yangu yale ya zanzibar raia kukata kichwa cha askari yasije yakajitokeza tu, ufike muda viongozi wa police waache kuskiliza oda kutoka ccm kwaajili yakuwadhibiti wapinzani wafanye kazi zao za upolice waachane na siasa chafu.
 
Nilishawahi sikia kuwa mapolisi waliostaafu wakiwa na vyeo vya juu huwa hawapewi ubalozi na vyeo vingine kama wakuu wa mikoa n.k kama ilivyo kwa wenzao wastaafu wa JWTZ kwasababu wengi wao huwa elimu yao ni ndogo sana. Kuna ukweli ktk hili?

Hawapewi kwasababu hawatumii busara bali utumia nguvu ila kiboko yao JWTZ
 
Mwenye division one anatumia Cheti cha mtu hawajasoma kabisa hao, polisi wanajizalilisha na vyeti vyao bandia natuwajua wameniboa sana wanavyoumiza watu badala wakaumize majambazi.
 
Nimejaribu kufanya utafiti na kufuatilia msingi wa elimu ya Askari police nikajua hakuna mwenye div.1 ya O level wala Advanced level. Ndipo nikabain kuwa ndio maana wanafanya mambo hovyo, kumbe hata uwezo wao wa kuelewa mambo ni mdogo sana kutokana na msingi mbovu wa elimu zao. Vile inatokana na wengi kusoma shule za ajabu ajabu kutokana na vipato vibovu vya wazazi wao. Wanaishi kwenye makazi mabovu eg Buguruni sokoni,lakini hawezi kohoji makazi kama mabanda ya nguruwe, Na bado wanafanya maamuzi ya kijanga jinga,kama waliyofanya kwa Prof.Lipumba, UDOM, mwenyekiti wa wafanyabiashara,mwangosi na wengine wengi.muulize rafiki yako askari matokeo yake ya shule yakoje?
Kaka mtu ukiwa na DIV ONE haimaanishi umeelimika kuna watu CV zao ukiziona unaweza kushangaa lakin hawana jipya la kutofautisha na wale wenye score zao za kawaida......Police kazi zao wanafanya kwa mashinikizo ndio maana tunaona kinachotokea....
 
Nilishawahi sikia kuwa mapolisi waliostaafu wakiwa na vyeo vya juu huwa hawapewi ubalozi na vyeo vingine kama wakuu wa mikoa n.k kama ilivyo kwa wenzao wastaafu wa JWTZ kwasababu wengi wao huwa elimu yao ni ndogo sana. Kuna ukweli ktk hili?

wengi wao wanavyeti feki na wanajulikana kabisa wachache sana waliowasafi.

Ni uzembe wa kufikiri kukiri kuwa Polisi woote hakuna ambaye alipata Division One kwenye mtihani wa Form Four or Six.
Tunao wengi askari wenye character hizo.............
Pia ni upofu na ulemavu kweli wa akili kufikiri na kuamini kuwa polisi wanayafanya yale wayatakayo wao....No thank you.
Polisi ni jeshi, Jeshini unafanya kazi kutokana na orders from your superior hata kama una division one with 9A's na your superior ni std seven leaver you have to obey his/her order... That what we call displine..........

Lazima tuwe wakweli. Hiyo ilikuwa zamani kidogo. Miaka ya hivi karibuni hali imebadilika kufuatana na ukosefu wa ajira.

Zamani ilikuwa failures wote wanaenda ualimu (Div IV karibu na zero). Waliobaki ndio hao walienda polisi. Ndio maana kulikuwa na usemi - umekosa hata ualimu?

Siku hizi graduate wazuri wa fani zote wanaenda polisi na magereza.

Nwaheshimu polisi,ila kwa nguvu waloiitumia jana kumdhibiti mchumi inanifanya niungane na mleta mada kutafakari mtazamo wake.Polisi wana kazi kubwa kuhama mfumo wa analog wanaoutumia kwenda digital kuachana na matumizi ya ubabe mwingi.

Hawapewi kwasababu hawatumii busara bali utumia nguvu ila kiboko yao JWTZ

Napingana na wewe kwenye kuwasifia JWTZ,haya ni mazoea ya wanasiasa kutoa sifa za kujikosha nayo ni mazoea ya sifa za kitoto.

Askari wote wa Tanzania wanatumia nguvu zaidi.
Matukio ya oparation tokomeza na oparation za kule mtwara yapo wazi kabisa.JWTZ walifanya matukio ya kinyama sana.
Na hata ikitokea askari mmoja wa jwtz amepigwa kwa ishu binafsi za umalaya basi watatumia mpaka magari ya jeshi kwenda kushambulia watu.

Ni kwamba CCM imeshindwa kusimamia dola na hii haitokani na Elimu za polisi kuwa kubwa au ndogo. Sidhani kwamba hii ni sababu ya Msingi.

Hivi mtu akiwa hajasoma basi aachwe apige watu bila kuchukuliwa hatua?

Kwa tanzania ilivyo kiongozi bora wa polisi ni yule anayewadhibiti wapinzani kwa nguvu kubwa.Mfano Mahita alipewa uIGP baada ya kumpiga Mrema pale Moshi mpaka akalazwa KCMC.Mkapa aliposhinda akampa nafasi ya Kuongoza jeshi la polisi.
Sasa hapa yupi aliyetumia elimu yake vibaya Kati ya Mkapa na Mahita?
Ni wazi Mkapa alitumia elimu yake vibaya kwa kuimarisha upumbavu unaofanywa na jeshi la polisi.

Kamuhanda amemuua Mwangosi , Rais akampandisha Cheo.Nani kati ya Rais na Kamuhanda wa kutilia mashaka elimu yake?
 
upolic ni kazi ya waliokosa kazi. Nani anapenda kulala kwenye mbu duniani humu? Shida tu.
 
rafiki yangu mmoja sasa askari ali drop tukiwa form six hakufanya mtihani wa necta akaibukia police
 
Napingana na wewe kwenye kuwasifia JWTZ,haya ni mazoea ya wanasiasa kutoa sifa za kujikosha nayo ni mazoea ya sifa za kitoto.

Askari wote wa Tanzania wanatumia nguvu zaidi.
Matukio ya oparation tokomeza na oparation za kule mtwara yapo wazi kabisa.JWTZ walifanya matukio ya kinyama sana.
Na hata ikitokea askari mmoja wa jwtz amepigwa kwa ishu binafsi za umalaya basi watatumia mpaka magari ya jeshi kwenda kushambulia watu.

Ni kwamba CCM imeshindwa kusimamia dola na hii haitokani na Elimu za polisi kuwa kubwa au ndogo. Sidhani kwamba hii ni sababu ya Msingi.

Hivi mtu akiwa hajasoma basi aachwe apige watu bila kuchukuliwa hatua?

Kwa tanzania ilivyo kiongozi bora wa polisi ni yule anayewadhibiti wapinzani kwa nguvu kubwa.Mfano Mahita alipewa uIGP baada ya kumpiga Mrema pale Moshi mpaka akalazwa KCMC.Mkapa aliposhinda akampa nafasi ya Kuongoza jeshi la polisi.
Sasa hapa yupi aliyetumia elimu yake vibaya Kati ya Mkapa na Mahita?
Ni wazi Mkapa alitumia elimu yake vibaya kwa kuimarisha upumbavu unaofanywa na jeshi la polisi.

Kamuhanda amemuua Mwangosi , Rais akampandisha Cheo.Nani kati ya Rais na Kamuhanda wa kutilia mashaka elimu yake?

kitu pekee ninavyofahamu mimi kwa uelewa wangu ni kuwa jwtz kwenye mitaala yao wana somo la political ambapo hakuna afisa wa polisi anafundishwa siasa ya utawala,
pia maofisa wa vyeo vya juu wa polisi wengi wao wanakuwa wameshashika madaraka ya rpc's, rco, ocd, na n.k ambapo ni similar na rc's , dc
 
Back
Top Bottom