Kama kuna Polisi mwenye Division One, basi vyeti si vyake

Kama kuna Polisi mwenye Division One, basi vyeti si vyake

Nimejaribu kufanya utafiti na kufuatilia msingi wa elimu ya Askari police nikajua hakuna mwenye div.1 ya O level wala Advanced level.

Ndipo nikabain kuwa ndio maana wanafanya mambo hovyo, kumbe hata uwezo wao wa kuelewa mambo ni mdogo sana kutokana na msingi mbovu wa elimu zao. Vile inatokana na wengi kusoma shule za ajabu ajabu kutokana na vipato vibovu vya wazazi wao.

Wanaishi kwenye makazi mabovu eg Buguruni sokoni,lakini hawezi kohoji makazi kama mabanda ya nguruwe, Na bado wanafanya maamuzi ya kijanga jinga,kama waliyofanya kwa Prof.Lipumba, UDOM, mwenyekiti wa wafanyabiashara,mwangosi na wengine wengi.

Muulize rafiki yako askari matokeo yake ya shule yakoje?

we ni mzigo kweli kwa nchi hii
 
Mimi nina mshkaji wangu alipiga 1.7 A level na sasa hivi ni FFU
 
Lazima tuwe wakweli. Hiyo ilikuwa zamani kidogo. Miaka ya hivi karibuni hali imebadilika kufuatana na ukosefu wa ajira.

Zamani ilikuwa failures wote wanaenda ualimu (Div IV karibu na zero). Waliobaki ndio hao walienda polisi. Ndio maana kulikuwa na usemi - umekosa hata ualimu?

Siku hizi graduate wazuri wa fani zote wanaenda polisi na magereza.

Nakubaliana na wewe. Nadhani mleta uzi ana chuki binafsi na hawa polisi.
 
mimi rafiki zangu wawili walinunua vyeti kwa hiyo hata majina wakabadilisha maana walifeli
 
Kwani div 1 ndio kielelezo cha mtu kuwa muelewa wa mambo? Inaashiria wazi huna exposure kijana.

Kuna watu wengi serikalini wana Div 1 ila when comes to performance measurement wana-score very poor!

Hii maana yake kukariri kwa wanafunzi na kujibu NECTA has nothing to do with ability to work efficiently and effectively. Take this from me.
 
Ni uzembe wa kufikiri kukiri kuwa Polisi woote hakuna ambaye alipata Division One kwenye mtihani wa Form Four or Six.
Tunao wengi askari wenye character hizo.............
Pia ni upofu na ulemavu kweli wa akili kufikiri na kuamini kuwa polisi wanayafanya yale wayatakayo wao....No thank you.
Polisi ni jeshi, Jeshini unafanya kazi kutokana na orders from your superior hata kama una division one with 9A's na your superior ni std seven leaver you have to obey his/her order... That what we call displine..........

Ni kweli wapo wengi ONE za kutosha,,
 
Ni kweli wapo wengi ONE za kutosha,,

tatizo ni kwamba hao waliofeli hawana uwezo wa kufanya maamuzi sahihi ndo maana wanaua raia na kuwaumiza bila sababu. na hii imenifanya nalidharau sana jeshi la polisi maana ni kundi lililokosa hata akili ndogo ya kukaa na jamii
 
Mi mwenyewe nina ONE.....
 
Nimejaribu kufanya utafiti na kufuatilia msingi wa elimu ya Askari police nikajua hakuna mwenye div.1 ya O level wala Advanced level.

Ndipo nikabain kuwa ndio maana wanafanya mambo hovyo, kumbe hata uwezo wao wa kuelewa mambo ni mdogo sana kutokana na msingi mbovu wa elimu zao. Vile inatokana na wengi kusoma shule za ajabu ajabu kutokana na vipato vibovu vya wazazi wao.

Wanaishi kwenye makazi mabovu eg Buguruni sokoni,lakini hawezi kohoji makazi kama mabanda ya nguruwe, Na bado wanafanya maamuzi ya kijanga jinga,kama waliyofanya kwa Prof.Lipumba, UDOM, mwenyekiti wa wafanyabiashara,mwangosi na wengine wengi.

Muulize rafiki yako askari matokeo yake ya shule yakoje?
Benki kuu kwa division 0
 
Kuwa na degree ni muhimu sana kwa maisha ya sasa,ila kufanikiwa inahitaji juhudi binasfi,position uliyokuwa nayo,Wasomi wengi waliofanikiwa si kwa sababu ya degree zao bali ni kwa sababu ya wizi waliofanya kwa kutumia nafasi aliyonayo,mf Nyoka mwenye makengeza,Mama wa hela ya mboga si kwa sababu wamesoma sana la hasha bali ni wizi ndio uliwafanya wawe matajiri kwahiyo Hizo position walizopata hawawezi kupewa bila elimu,so elimu ya degree ni muhimu sana kwa sie walala hoi....
 
Mbona wapo kibao tu wenye div one! Hata mimi ninayo na ni police.DIv one kwanza jeshini sio priority.
 
tatizo ni kwamba hao waliofeli hawana uwezo wa kufanya maamuzi sahihi ndo maana wanaua raia na kuwaumiza bila sababu. na hii imenifanya nalidharau sana jeshi la polisi maana ni kundi lililokosa hata akili ndogo ya kukaa na jamii

hivi wenye one wana uwezo wa kufanya maamuzi sahihi? vipi hawa waliopo madarakani?
 
Muwe na adabu mnapotoa post zingine. Ninawafahamu mapolisi zaidi ya 20 wenye div one za miaka ya 80 mpaka 1994
 
Back
Top Bottom