Kiyoya
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,775
- 994
kuna mwandishi mmoja alipata kuandika kwamba - Duniani kuna makundi makuu matatu katika kila taifa -kwanza ni kundi la DHAHABU hawa ni watawala-Pili ni SHABA hawa ni madaktari,walimu,makundi ya kiimani na jamii,mainjinia,wahasibu nk na tatu kuna CHUMA hawa ni askari jeshi,POLISI,magereza na mgambo.
Kazi kubwa ya chuma ni kutoa ulinzi na kuponda shaba inapomsumbua dhahabu!!
Kazi kubwa ya chuma ni kutoa ulinzi na kuponda shaba inapomsumbua dhahabu!!