mm sio mama labda umesema hivyo kwasababu rafiki yangu mkubwa ni mama yako. Yaan mama yako namjua vzr na nayeye ananijua vzr,, namjua viungo vyake vyote...
Acha kukariri dogo yawezekana hata ktk ukoo wenu hamna mtu anayekinga mshahara hata unaofanana na wa huyo polis
wadiss ni sawa tu
Nikidiss nikifika kihome mshua sijui mshua mdogo atajua?
Umeshaianzisha nadhani, endelea tu humu.
Umesema kweli mama, kuwa mama sio lazima uwe mwanamke ila majibu yako yamekaa kimamamama. Kipashkuna, halafu unapata kamshahara ka kipolisi unaanza kufikiri ndani ya box unafikiri kwa familia yangu hakuna anayepata huo mshahara wa kipolisi. Sawa mama umenena vema kabisa.
waende wapi?
Rejea kichwa cha habari
Nasema na wapigwe tu tumechoka sisi? Na kama hawatawaondoa haraka watapigwa tu!!
bado hujui ukiwazacho ?
Kazi yoyote ni wito toka moyoni mwa mtu binafsi, kila anayeponda kazi ya mtu hayuko timamu kichwani mwake.