Lengo LA polisi walikuwa wanataka roho ya Lipumba ?andika hivi "jeshi la polisi lajilaumu baada ya kushindwa jaribio la kumua prof lipumba"
mkuu, polisi wote ni mambulula, ukiajiri polisi werevu si wataasi jeshi? hivi unafikiri mimi ningekuwa polisi ningekubali kutumiwa na ccm?...unahitaji kurecruit raia waliofeli darasani yaan empty kichwani ili iwe rahisi kuwaendesha kuamuru chochote na wanafanya. wote wanaoena ccp huwa ni wale waliofeli mitihani, na hata wale waliojiendeleza baada ya kuingia upolisi huwa hawana confidence ya kile walichosomea. kama ulishawahi kufanya nao kazi utaelewa hiki ninachoongea.
wachane tu...
Lengo LA polisi walikuwa wanataka roho ya Lipumba ?
mm sio polis ila spendi sana kudharau kaz za watu..
Kama huamini kuwa namjua mama yako nenda kamuulize..
Namjua hadi harufu yake
Mods angalieni sometimes na thread nyingine hazina vichwa wala miguu zaidi yakujaza server tu.
Server ni ya mama ako????Mods angalieni sometimes na thread nyingine hazina vichwa wala miguu zaidi yakujaza server tu.
Nimejaribu kufanya utafiti na kufuatilia msingi wa elimu ya Askari police nikajua hakuna mwenye div.1 ya O level wala Advanced level.
Ndipo nikabain kuwa ndio maana wanafanya mambo hovyo, kumbe hata uwezo wao wa kuelewa mambo ni mdogo sana kutokana na msingi mbovu wa elimu zao. Vile inatokana na wengi kusoma shule za ajabu ajabu kutokana na vipato vibovu vya wazazi wao.
Wanaishi kwenye makazi mabovu eg Buguruni sokoni,lakini hawezi kohoji makazi kama mabanda ya nguruwe, Na bado wanafanya maamuzi ya kijanga jinga,kama waliyofanya kwa Prof.Lipumba, UDOM, mwenyekiti wa wafanyabiashara,mwangosi na wengine wengi.
Muulize rafiki yako askari matokeo yake ya shule yakoje?
hata polisi akuwa na shida vp achanaa naye no kumsaidiaaas
Polisi kwa sasa si rafiki tena wa raia kutokana na kufuata kauli iliyotolewa bungeni na waziri mkuu Pinda ya WAPIGWE TU! Kwa sasa hawachagui pa kupiga wala kifaa cha kupigia na hata sababu maalum ya kupiga raia. Saivi wanatumia hadi spanner za magari, hii ni hatari!
Waondoeni uraiani kabla raia hawajaanza kulipa kisasi cha kuwapiga tu polisi na familia zao!