Kama kuna Polisi mwenye Division One, basi vyeti si vyake

Kama kuna Polisi mwenye Division One, basi vyeti si vyake

Kwani hizo division ndiyo zinafanya kazi? Polisi wamesomea upolisi huko CCP sasa ukianza kuuliza masuala ya O level sijui advance hueleweki.Mapolisi wote wamesomea Upolisi

Wameenda kwa vyeti vya nani? We subir tutaanza nao mda so mrefu...
 
Ni uzembe wa kufikiri kukiri kuwa Polisi woote hakuna ambaye alipata Division One kwenye mtihani wa Form Four or Six.
Tunao wengi askari wenye character hizo.............
Pia ni upofu na ulemavu kweli wa akili kufikiri na kuamini kuwa polisi wanayafanya yale wayatakayo wao....No thank you.
Polisi ni jeshi, Jeshini unafanya kazi kutokana na orders from your superior hata kama una division one with 9A's na your superior ni std seven leaver you have to obey his/her order... That what we call displine..........

Kwa hiyo hata ukiamrishwa kamnanihii nanihii wako unakwenda tu? Kwa hiyo ukiwa polisi hata kama umesoma with 9A's zote zinakutoka kichwani??
 
Kaka mtu ukiwa na DIV ONE haimaanishi umeelimika kuna watu CV zao ukiziona unaweza kushangaa lakin hawana jipya la kutofautisha na wale wenye score zao za kawaida......Police kazi zao wanafanya kwa mashinikizo ndio maana tunaona kinachotokea....

Tatizo shule....
 
Nan kakwambia degree anaanza na nyota mbili? Then angalia hyo nyota ya Jw inatolewa na mamlaka gani na hyo ýa polisi anatoa nani.

kwanza nakupa mfano hai kuna jamaa ni jwtz yupo 841 kj anaitwa Mumanyi ni luten katoka chuo kapata nyota mbili. Kama huelewi utaratibu uliza uambiwe hatuandiki rumous bali ni vitu vyenye fact.

Vile vile nmeeleza pale mwanzo kuwa inatokana na unyeti wa chombo husika. Jwtz ni nyeti sana na ndio maana wizara yake inajitegemea tofauti na polis,
nyota ya askar wa Jwtz wanavishwa na Rais yaan kwa mamlaka ya rais na nyota ya polis wanavishwa na makamishna kwa mamlaka ya IGP
 
division one wako wengi, ukizingatia wengine waliingia polisi baada ya kumaliza chuo kikuu, kwa urahisi wa ajiri wakaenda sota miezi sita ccp.
 
Maamuzi ya busara hayatokani na division uliyopata ndiyo maana unaweza kuta wenye first class wakawa sio viongozi wazuri

lakini akiwa na busara na elimu ya kutosha huweza kuwa kiongozi bora zaidi, div 1 maana yake ni akili, na ndio inayomwezsha mtu kupata elimu,inayompa mtu uwezo wa kufikiri na kuwazua
 
Huu utafiti nakataa, mimi pia ninajamaa zangu kibao wapo vizuri.... pia ajira zao zikitoka miongoni mwa vigezo uwe not below div IV ya 28 tena wanachukua graduate kibao na ninauthibitisho na hili. Ukija kwenye matumizi ya nguvu je aliyetoa amri ya wapigwe tu naye ana division ziro? Polisi wanafanya kazi kwa order toka juu na ubaya au uzuri wa utendaji wao unategemea na mfumo wa kazi yao unavyowa guide.
 
Ni uzembe wa kufikiri kukiri kuwa Polisi woote hakuna ambaye alipata Division One kwenye mtihani wa Form Four or Six.
Tunao wengi askari wenye character hizo.............
Pia ni upofu na ulemavu kweli wa akili kufikiri na kuamini kuwa polisi wanayafanya yale wayatakayo wao....No thank you.
Polisi ni jeshi, Jeshini unafanya kazi kutokana na orders from your superior hata kama una division one with 9A's na your superior ni std seven leaver you have to obey his/her order... That what we call displine..........

Displine, flawed
 
Acha upumbavu kukaa buguruni na division one kunahusiana nini? Inamaana wanaokaa hayo maeneo hawakusoma?
 
ona ulivyo punguani sasa...
Ndio maana mtaishia kulilia vyama kuwa ndio vitawakomboa kumbe ni uvivu wa kufanya kaz.

kama mda unaruhusu kwanini usifanye kazi zingne ili kukuza kipato chako?
Hata uwe na mshahara mkubwa vipi hauwez kukutosha bila kufanya shughul zingne za kukuongezea kipato. Ww endelea kuariri

Punguani babako mbwa we
 
Punguani babako mbwa we

hahahaa!! Yaan ungejijua ww ndio mbwa. Mbwa yeye hana fikra nyingne zaidi ya kukamata ni sawa na mawazo yako unavyosema kwann polis afanye kaz nyingne wakat kaajiliwa kuwa polisi inabidi awe polis tu.

Umeona ulivyojibwa tena koko.
Nyie endelee kuishi kwa ndoto na kukariri kuwa vyama ndio vitawapa maisha mazuri fanya kazi mkuu hutakuwa na mda wa kufikiria maandamano ya wanasiasa.. Mtapigwa virungo mpaka myooke chokoraa ww
 
Haya mama heri yako wewe mwenye kazi ya upolisi
 
Kazi yoyote ni wito toka moyoni mwa mtu binafsi, kila anayeponda kazi ya mtu hayuko timamu kichwani mwake.
 
Lazima tuwe wakweli. Hiyo ilikuwa zamani kidogo. Miaka ya hivi karibuni hali imebadilika kufuatana na ukosefu wa ajira.

Zamani ilikuwa failures wote wanaenda ualimu (Div IV karibu na zero). Waliobaki ndio hao walienda polisi. Ndio maana kulikuwa na usemi - umekosa hata ualimu?

Siku hizi graduate wazuri wa fani zote wanaenda polisi na magereza.
Zamani ipi hiyo unaoizungumzia? kuanzia 1995 kushuka chini wengi waliokuwa wanakwenda ualimu walikuwa wana division 3 na kozi zingine za jeshi na post zilikuwa zinatoka moja kwa moja (kwanza division 4 na zero enzi hizo zilikuwa chache ukilinganisha na sasa yaani wengi walikuwa ni division 3 na wachache 1 na 2), ungeniambia hivi karibuni yaani kipindi cha miaka 10 au 12 mpaka sasa division 4 karibu na zero ndio wanakwenda ualimu na polisi ningekuelewa though kuna wachache ambao wanaingia wakiwa vizuri hasa wale wa nafasi za juu.

Haya mambo yameanza kuharibika 1998 kuja juu, those days chuo tu certificate level kama mtu amemaliza form 4 unakuta wengi wana division 3 lakini leo hii wengi kwenye certificate level wanaingia na D zake 4 hakuna hata C moja. (kupata credit those days ilikuwa sio big deal ila sasa kwenda form 5 mpaka ubahatishe shule ya serikali)
 
Haya mama heri yako wewe mwenye kazi ya upolisi

mm sio mama labda umesema hivyo kwasababu rafiki yangu mkubwa ni mama yako. Yaan mama yako namjua vzr na nayeye ananijua vzr,, namjua viungo vyake vyote...

Acha kukariri dogo yawezekana hata ktk ukoo wenu hamna mtu anayekinga mshahara hata unaofanana na wa huyo polis
 
Nimejaribu kufanya utafiti na kufuatilia msingi wa elimu ya Askari police nikajua hakuna mwenye div.1 ya O level wala Advanced level.

Ndipo nikabain kuwa ndio maana wanafanya mambo hovyo, kumbe hata uwezo wao wa kuelewa mambo ni mdogo sana kutokana na msingi mbovu wa elimu zao. Vile inatokana na wengi kusoma shule za ajabu ajabu kutokana na vipato vibovu vya wazazi wao.

Wanaishi kwenye makazi mabovu eg Buguruni sokoni,lakini hawezi kohoji makazi kama mabanda ya nguruwe, Na bado wanafanya maamuzi ya kijanga jinga,kama waliyofanya kwa Prof.Lipumba, UDOM, mwenyekiti wa wafanyabiashara,mwangosi na wengine wengi.

Muulize rafiki yako askari matokeo yake ya shule yakoje?

Mie namfahamu Geofrey Kamwela ni RPC wa Singida. Alipata division 1 ya form 4 na form 6.
 
Naombeni msaada niandikeje na maana hata mimi huwa napendezwa na kuchukizwa na jeshi la polisi.

Wanajitetea kwamba wao huwa wanafuata orders, nataka kujua kwanini wasiwe na wao wanahoji amri hizo kabla ya kutupiga na taili river, virungu na nyundo.

Nataka nianzishe sredi sijui niwadiss sijui niwape ufagio maana hata Dingi angu mdogo ni mwela ila ana sheria na ni mkoloni saana, huwa simfeel tangia kihome anazingua saana. Nawaza niwadiss au nimtunzie heshoma digi mdogo?

Semeni wakali kwanza!
 
Umeshaianzisha nadhani, endelea tu humu.
 
Back
Top Bottom