Kama hutasoma kozi hizi unapoteza muda wako

Wervemarcel

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Messages
2,075
Points
2,000

Wervemarcel

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2015
2,075 2,000
Law Nipana Kwanza Ni Organ Of State i.e " Judiciary" Hivyo Ajira Haitakosekana Kwa Mwenye Vigezo Na Ukiona Mtu Wa Law Ana Hustle Jua Kuna Mawili Yupo After Money Au He/she Is Unqualified. Huwezi Ukawa Degree Holder Wa Llb Then Utoke Patupu. Trust Me Or Not Lawyers Are Needed Most By The Entire World.
 
Wervemarcel

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Messages
2,075
Points
2,000

Wervemarcel

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2015
2,075 2,000
Law And Medicine Are The Oldest Professions( Other Than Clergy) The Most Prestigious And Highly Renumerated, The Most Influential, Discussed, Praised And Criticized Professions. They Also Changing From Professions To Businesses Although In The Case Of Medicine Is Reversed ( I Can't See That Happening In Law) My Take "lawyers Can Also Make Businesses Out Of Law.
 
Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
1,698
Points
1,250

Mrimi

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
1,698 1,250
Law Nipana Kwanza Ni Organ Of State i.e " Judiciary" Hivyo Ajira Haitakosekana Kwa Mwenye Vigezo Na Ukiona Mtu Wa Law Ana Hustle Jua Kuna Mawili Yupo After Money Au He/she Is Unqualified. Huwezi Ukawa Degree Holder Wa Llb Then Utoke Patupu. Trust Me Or Not Lawyers Are Needed Most By The Entire World.
Kinachotusumbua sisi waTZ ni vile tunavyochukulia utani hata ktk mambo ya msingi..unemployment ipo mahali pote duniani..huwezi kuambia watu eti wanaokosa ajira ni wale wa after money au unqualified! Halafu usidhani kwa vile umeajiriwa basi wewe ni bora sana kuliko hao unaowaita uniqualified..kuna wakati unafika soko la ajira linakuwa saturated..huwezi kufanya chochote.

Unakumbuka mwaka juzi tafrani ya vijana wa Spain? Au umesahau fujo za kufukuza wahamiaji South Afrika hivi majuzi? Hebu tuacheni utani jamani.
 
BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Messages
3,254
Points
2,000

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2011
3,254 2,000
Law And Medicine Are The Oldest Professions( Other Than Clergy) The Most Prestigious And Highly Renumerated, The Most Influential, Discussed, Praised And Criticized Professions. They Also Changing From Professions To Businesses Although In The Case Of Medicine Is Reversed ( I Can't See That Happening In Law) My Take "lawyers Can Also Make Businesses Out Of Law.
But Remember The Output Of Graduates Is Larger Than The Demand Of The Nation
 
BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Messages
3,254
Points
2,000

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2011
3,254 2,000
Kinachotusumbua sisi waTZ ni vile tunavyochukulia utani hata ktk mambo ya msingi..unemployment ipo mahali pote duniani..huwezi kuambia watu eti wanaokosa ajira ni wale wa after money au unqualified! Halafu usidhani kwa vile umeajiriwa basi wewe ni bora sana kuliko hao unaowaita uniqualified..kuna wakati unafika soko la ajira linakuwa saturated..huwezi kufanya chochote.

Unakumbuka mwaka juzi tafrani ya vijana wa Spain? Au umesahau fujo za kufukuza wahamiaji South Afrika hivi majuzi? Hebu tuacheni utani jamani.
Tatizo La Ajira Lipo Dunia Nzima.Ila Tukirudi Katika Nchi Yetu Tz Ni Kua Rushwa Inawaumiza Wengi.Bila Kitu Kidogo Hupati Kazi
 
900 Inapendeza zaidi

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2017
Messages
1,687
Points
2,000

900 Inapendeza zaidi

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2017
1,687 2,000
Mnaoenda Vyuo Vikuu Mwaka Huu Kama Hutasoma Kozi Hizi Kwa Tanzania Yetu Imekula Kwako.Mnaoenda kusomea Political Science,laws,wote Mnapoteza Mda Wenu Ajira Hakuna.Kozi Hizi Ndio Marketable. Udaktari,ualimu,uhandisi Wa Aina Zote,kilimo Kwanza Tu,hatuna Shida Na Wahasibu,wanasheria Wanatosha,wasanii Wa Social Sciences Hatuna Shida Nao.
funga kazi ni mechatronics hizo zingine bwembwe tu
 
Mjapan 390

Member
Joined
Apr 28, 2018
Messages
5
Points
20

Mjapan 390

Member
Joined Apr 28, 2018
5 20
unasoma ili kupata maarifa, husomi ili uajiriwe
Acha mbwembwe ww hakuna ambaye hataki kujiajili shida ni mtaji,alafu ukute ulisomea mkopo wa serikali chuo hilo déni utalilipa vip kimsingi elimu yetu haimuandai mwanafunzi kujiajili ndo maana wasomi wa maana wanakimbilia kwenye siasa coz wanatafuta maslai mazuri.Tukibadilisha mfumo wa elimu yetu tunaweza tukatatua tatizo la ajira tz
 
BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Messages
3,254
Points
2,000

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2011
3,254 2,000
Ualimu nao umekua kama law na fani zingine.Nina swali wadau.Tangu 2015 Waalimu hawaja ajiriwa,je hao wanaondelea kusoma na kudahiliwa,wanasoma ili wawe nani?
 
kassim kimoby

Member
Joined
May 28, 2018
Messages
88
Points
125

kassim kimoby

Member
Joined May 28, 2018
88 125
Umenikumbusha ndugu yangu mmoja wakati nasoma chuo alikuwa anaponda mnasoma makozi gani magumu mnazeeka. Amechoka sijui Kama huko ofisini kwake wanamlipa mshahara!

Mtoa mada, shule tunaenda kufuta ujinga na kujifunza approach mbalimbali towards life challenges. Acha kukremisha. Maisha ya kitaa hayana sylabus
Uwo ssa utani ndgu
 
Forum statistics

Threads 1,352,958
Members 518,223
Posts 33,069,074
Top