Kama hutasoma kozi hizi unapoteza muda wako

vioner

Member
Joined
Mar 3, 2019
Messages
44
Points
95

vioner

Member
Joined Mar 3, 2019
44 95
umewagusa watu humu fields zao ndio maana wamechukia....
hapo bora zooooote ila sio uhasibu.. wanaosoma uhasibu mnapoteza muda bure... ikifwatiwa na law... ukisoma law jitahidi kupata GPA ya maana 4 point something...chini ya hapo we utaishia kuwa hakimu wa kujitegemea
Jmn mbn mnatisha watoto Wa watu
 
Joined
Jan 29, 2019
Messages
12
Points
45
Joined Jan 29, 2019
12 45
Mnaoenda Vyuo Vikuu Mwaka Huu Kama Hutasoma Kozi Hizi Kwa Tanzania Yetu Imekula Kwako.Mnaoenda kusomea Political Science,laws,wote Mnapoteza Mda Wenu Ajira Hakuna.Kozi Hizi Ndio Marketable. Udaktari,ualimu,uhandisi Wa Aina Zote,kilimo Kwanza Tu,hatuna Shida Na Wahasibu,wanasheria Wanatosha,wasanii Wa Social Sciences Hatuna Shida Nao.
Oya mzee na corz ya BACHELOR DEGREE IN REGIONAL DEVELOPMENT PLANNING hii nayo vip mdau
 

Together as One

Senior Member
Joined
Sep 6, 2019
Messages
156
Points
225

Together as One

Senior Member
Joined Sep 6, 2019
156 225
Elimu yetu haituandai kujiajiri
Asilimia kubwa ya watz wanasoma ili waajiriwe na serikali au sector binafsi

Ndio maana tangu serikali iache kutangaza ajira kwa miaka kadhaa Sasa kwa kada mbali mbali hapa nchini

Unasikia tu watu wakiilalamikia serikali kwa nini haitoi ajira

Sasa Kama ingekuwa elimu yetu inatuandaa tujiajiri

Kwa nini watu wanalalamika kuhusu ajira in now days?
 

Forum statistics

Threads 1,343,410
Members 515,033
Posts 32,783,846
Top