Kama hutasoma kozi hizi unapoteza muda wako

mtanganyika wa kweli

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2015
Messages
2,453
Points
2,000

mtanganyika wa kweli

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2015
2,453 2,000
Ukienda Pale Udsm Watu Wa FASS ni wengi,bado udom inazalisha wangapi?ni sawa soma unachopenda.wanahitajika sawa ila mahitaji hayawezi kuwaajiri wote.Kwa Sasa Watu Wanakufa Kwa Kukosa Madaktari Kule Mchambawima,walimu Wa Sayansi Ni Kilio Kwetu,tunataka Umeme Vijijini Kwa Iyo Watu Wa Electronic Engneering Tuna Kiu Nao,tunataka Maji Kwa Iyo Watu Waliosomea Maji Na Pia Tunataka Barabara Pia.We Na Sociology Yako Tukupeleke Wapi,na Political Science Yako Tukupe Kazi Gani?Wakuu Wa Wilaya Wanawekwa Watangazaji?Wanajesh Wastaafu.Ha Ha Ha Chezea Bongo Wewe
ualimu ni kozi ya waliofeli km ww;km unabisha weka matokeo yako hap
 

mama chupaki

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Messages
902
Points
1,000

mama chupaki

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2015
902 1,000
Kama unategemea kuajialiwa na serikali au umetoka katika familia ya kati ni bora ukasoma kozi hizo alizotaja mtoa mada na hasa za medical ndio za uhakika wa ajira kwa sasa.
 

Wervemarcel

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Messages
2,120
Points
2,000

Wervemarcel

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2015
2,120 2,000
Tusipost Vitu Bila Kufanya Detailed Research, Mtoa Mada Kasema Wanasheria Wanatosha.Huu Ni Uongo Uliokisiri Kwani Kila Company, Taisisi Na Mashirika Yaliyopo Na Yatakayo Kuja Yanaitaji Lawyers Pia Watu Binafsi Kama Mengi,lowassa Nk Wanaitaji Lawyers, Wanakijiji Ndo Usiseme Kwani Migogoro Imejaa Na Ku Settle Conflicts Ni Lawyers Pia Ku Sign Contracts, Documents Na Kupiga Muhuri Ni Lawyers Pia Kila Kitu Duniani Kinaendeshwa Kwa Sheria Hivyo. Law Inamaslahi Na Ni Marketable Forever.
 

Abtali mwerevu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Messages
569
Points
250

Abtali mwerevu

JF-Expert Member
Joined May 5, 2013
569 250
Enomics Ajira Zipo Kiasi Ila Cha Msingi Una Fursa Ya Kujiajiri Kama Una Mtaji.Udbs Pale Mlimani Sio Wengi Na Vyuo Vingine.Sina Ujuzi Sana Na Ajira Zake Ngoja Wataalamu Watujuze.
kama maisha yako ni ya kuungaunga... usisome hiyo ECONOMICS!! Utasubiri sana mtaani! Hizi coz wanasoma watoto wa vigogo akimaliza anaenda kuendeleza kampuni la baba yake!
 

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Messages
3,279
Points
2,000

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2011
3,279 2,000
Tusipost Vitu Bila Kufanya Detailed Research, Mtoa Mada Kasema Wanasheria Wanatosha.Huu Ni Uongo Uliokisiri Kwani Kila Company, Taisisi Na Mashirika Yaliyopo Na Yatakayo Kuja Yanaitaji Lawyers Pia Watu Binafsi Kama Mengi,lowassa Nk Wanaitaji Lawyers, Wanakijiji Ndo Usiseme Kwani Migogoro Imejaa Na Ku Settle Conflicts Ni Lawyers Pia Ku Sign Contracts, Documents Na Kupiga Muhuri Ni Lawyers Pia Kila Kitu Duniani Kinaendeshwa Kwa Sheria Hivyo. Law Inamaslahi Na Ni Marketable Forever.
Wewe Kaka Yangu Kasoma Lawa Ana Mwaka Wa4 Nampa Matumizi Mimi.Mjomba Wangu Aliyeko Philadephia Marekani Ndo Kampatia Kakibarua Juzi Nayeye Anajidai.Mko Wengi Wewe.Soma Law Utaona Mana Watanzania Ni Wabish
 

chlorine gas

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Messages
1,738
Points
2,000

chlorine gas

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2015
1,738 2,000
lkn mbn wapo hao wahandisi wengi tuu mtaani till now hawana AJIRA..
hali ni ngumu hata ktk uhandisi tena ni weng sna nakumbuka 2memalza mwaka jana UDSM -COET na washkaj weng to wa mining&mineral processing na geology na bdo 2po kitaa hali n ngumu 2nafukuzia scholarshp 2kaongeze jiwe lingne hali ni mbaya hata kwa wahandisi
 

Mao ze dong

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2012
Messages
595
Points
250

Mao ze dong

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2012
595 250
Tusipost Vitu Bila Kufanya Detailed Research, Mtoa Mada Kasema Wanasheria Wanatosha.Huu Ni Uongo Uliokisiri Kwani Kila Company, Taisisi Na Mashirika Yaliyopo Na Yatakayo Kuja Yanaitaji Lawyers Pia Watu Binafsi Kama Mengi,lowassa Nk Wanaitaji Lawyers, Wanakijiji Ndo Usiseme Kwani Migogoro Imejaa Na Ku Settle Conflicts Ni Lawyers Pia Ku Sign Contracts, Documents Na Kupiga Muhuri Ni Lawyers Pia Kila Kitu Duniani Kinaendeshwa Kwa Sheria Hivyo. Law Inamaslahi Na Ni Marketable Forever.
Upo sahihi ila umeshindwa kufanya mchanganuo (analysis) vzr. Hujaangalia idadi ya uitaji ya wanasheria na output kila mwaka wanaingia wanagapi mtaani.
Shirika lenye waajiriwa zaid ya 600 wanakua na mwanasheria mmoja tu wa kampuni.

Uhitaji wa madaktari, engineers na walim bado ni mkubwa.
 

Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
1,698
Points
1,250

Mrimi

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
1,698 1,250
Mimi nadhani tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiria..tatizo lipo kuanzia elimu ya msingi ambapo kuna baadhi ya masomo yanasemekana ni magumu kuliko mengine..ukifika o-level vile vile kuna masomo yanasemekana ni magumu kuliko mengine..sasa kama hakuna hatua zinazochukuliwa,mtoto anajikuta anasoma zaidi masomo yale yanayosemekana ni marahisi..na inapofika kwenye kuchagua kozi ndipo mtoa mada alipoaangalia..

Hii ni ngumu kumshauri kijana huyu achague kozi unazoita marketable! Kumbuka huyu kijana alitoka na msingi mbaya wa hisabati primary school..alipofika form I akakutana na gymnastics za mathematics! Alipofika form III akaambiwa achague masomo..hapo akaachana na physics,chemistry na of course biology na maths pengine alimwachia mwalimu wake! Akaondoka na masomo saba tu!

Alipojiunga na a-level alichukua HKL,sasa hapa huwezi kumlaumu kama anachukua Sociology..huwezi kumwambia achukue Engineering au MD,utakuwa unamwonea..mwache achukue stahili yake..ndio msingi wake huo.Mimi nadhani tungeelekeza nguvu zetu kwenye msingi inapoanzia elimu..tuangalie,je walimu wetu wa primary na secondary schools wanatosha,wana sifa..je,mfumo wa elimu kiujumla unamjengaje mwanafunzi?

Of course hatuwezi kusoma wote udaktari! Tunahitaji pia watu wa fani nyingine..na huko tuendako hata hizo kozi marketable zitajaa tu..kwa hiyo sioni sababu ya kutiana hofu au kulaumiana..utafika wakati hakuna kulaumiana tena maana tutakuwa na madaktari na mainjinia wengi tu mtaani wahana ajira.
 

Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
1,698
Points
1,250

Mrimi

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
1,698 1,250
Ni Sawa Watajaa Ila Angalia Muafaka Wako Leo.Kesho Sio Yako
Mkuu kwa level ya kuchagua kozi,nothing can be done so far..kama ni muafaka ulitakiwa kufikiwa miaka kadhaa iliyopita,wakati wanachagua masomo form III..sio leo..hebu waache vijana wavune stahili zao!
 

Forum statistics

Threads 1,356,938
Members 518,959
Posts 33,141,501
Top