Dindai
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 925
- 1,622
Wakemia watapata kazi ya kumtengenezea dawa ya kurefusha maisha
Hahahahaaa
Wakemia watapata kazi ya kumtengenezea dawa ya kurefusha maisha
Law Nipana Kwanza Ni Organ Of State i.e " Judiciary" Hivyo Ajira Haitakosekana Kwa Mwenye Vigezo Na Ukiona Mtu Wa Law Ana Hustle Jua Kuna Mawili Yupo After Money Au He/she Is Unqualified. Huwezi Ukawa Degree Holder Wa Llb Then Utoke Patupu. Trust Me Or Not Lawyers Are Needed Most By The Entire World.
Law And Medicine Are The Oldest Professions( Other Than Clergy) The Most Prestigious And Highly Renumerated, The Most Influential, Discussed, Praised And Criticized Professions. They Also Changing From Professions To Businesses Although In The Case Of Medicine Is Reversed ( I Can't See That Happening In Law) My Take "lawyers Can Also Make Businesses Out Of Law.
Kinachotusumbua sisi waTZ ni vile tunavyochukulia utani hata ktk mambo ya msingi..unemployment ipo mahali pote duniani..huwezi kuambia watu eti wanaokosa ajira ni wale wa after money au unqualified! Halafu usidhani kwa vile umeajiriwa basi wewe ni bora sana kuliko hao unaowaita uniqualified..kuna wakati unafika soko la ajira linakuwa saturated..huwezi kufanya chochote.
Unakumbuka mwaka juzi tafrani ya vijana wa Spain? Au umesahau fujo za kufukuza wahamiaji South Afrika hivi majuzi? Hebu tuacheni utani jamani.
Ingawa utabiri wako hauko sahihi, waalimu wako uraiani tangu 2015Dah yametokea
Hii imenichekesha sanaMaarifa mwisho form 4,ukiona mtu anaendelea ujue anataka ajiriwa.
funga kazi ni mechatronics hizo zingine bwembwe tuMnaoenda Vyuo Vikuu Mwaka Huu Kama Hutasoma Kozi Hizi Kwa Tanzania Yetu Imekula Kwako.Mnaoenda kusomea Political Science,laws,wote Mnapoteza Mda Wenu Ajira Hakuna.Kozi Hizi Ndio Marketable. Udaktari,ualimu,uhandisi Wa Aina Zote,kilimo Kwanza Tu,hatuna Shida Na Wahasibu,wanasheria Wanatosha,wasanii Wa Social Sciences Hatuna Shida Nao.
Acha mbwembwe ww hakuna ambaye hataki kujiajili shida ni mtaji,alafu ukute ulisomea mkopo wa serikali chuo hilo déni utalilipa vip kimsingi elimu yetu haimuandai mwanafunzi kujiajili ndo maana wasomi wa maana wanakimbilia kwenye siasa coz wanatafuta maslai mazuri.Tukibadilisha mfumo wa elimu yetu tunaweza tukatatua tatizo la ajira tzunasoma ili kupata maarifa, husomi ili uajiriwe
Wewe apoo juu umesema ajira 18000 zimetangazwa, basi zitawachukua wote waliohitimu toka 2015Ualimu nao umekua kama law na fani zingine.Nina swali wadau.Tangu 2015 Waalimu hawaja ajiriwa,je hao wanaondelea kusoma na kudahiliwa,wanasoma ili wawe nani?
Doplomasia ikusaidie nini nchi inaongozwa Kidikteta...!?diplomasia je?
Uwo ssa utani ndguUmenikumbusha ndugu yangu mmoja wakati nasoma chuo alikuwa anaponda mnasoma makozi gani magumu mnazeeka. Amechoka sijui Kama huko ofisini kwake wanamlipa mshahara!
Mtoa mada, shule tunaenda kufuta ujinga na kujifunza approach mbalimbali towards life challenges. Acha kukremisha. Maisha ya kitaa hayana sylabus