selemangrace346
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 468
- 639
Umenikumbusha mbali around miaka ya 2017 hv mama yangu mzazi alilazwa Ocean road kwa tatizo la saratani ya titi ambayo actually ilimtesa sana, ilifikia stage ikawa imesambaa sana na uwezekano wa kupona kwake ukawa mdogo,kuna siku alipoteza fahamu ndipo Ma dakatari waka conclude usiku ule kuwa amefariki , nakumbuka kipindi hicho mzee wangu ndo alikuwa anamuuguza na hakuwa analala pale maana hawaruhusiwi kulala pale So alipofika asubuhi kwenda kumuona mgonjwa wake akaambiwa kuwa mgonjwa wako amefariki na tayar walikuwa wameshamzungushia mapazia kwenye kitanda chake muda wowote apelekwe monchwari bt mzee alipokuja hakuamini ilibidi aanze kumkagua yeye mwenyewe ndipo alipogundua kuwa ni mzima , asee mzee alikinukisha mbaya pale hospitali wakawa wamemuomba msamaha uongozi wa pale...unfortunately my lovely Mom alifariki baada ya miez miwili..RIP Mom[emoji24][emoji24]