Kama huku ndiyo kufa basi ni hatari

Kama huku ndiyo kufa basi ni hatari

Ilikuwa Alhamisi ya last week nilikuwa nasikia maumivu ya tumbo sana. Familia yangu wakanikimbiza hospitali maana hali yangu ilikuwa siyo nzuri, ndugu na jamaa walikuwa wanasubiri majibu kutoka kwa docters tu maana nilikuwa na hali mbaya.

Nilifika hospitali kwa bahati mbaya kama maelezo yao walivyonisimulia kuwa nilikufa kabisa wakanifunika na shuka. Sasa kilichonishangaza mimi kipindi nipo kitandani pale mimi nilihisi kuwa nimelala, yaani nimepumzika maana akili yangu bado ilikuwa inafanya kazi kabisa.

Nilikuwa nasikia vilio vya watu na kutambua huyu ni mama yangu, huyu ni fulani, ila kule kuongea au kutikisika na kufungua macho ndiyo nilikuwa siwezi kabisa.

Kwa maelezo yao walisema nilifanya kitu cha masaa matatu maiti yangu iko tu kitandani, walikuwa wanafanya utaratibu wakunipeleka mochari ndiyo nikafufuka tena.

Mpaka sasa hivi bado najiuliza kumbe mtu akifa akili yake bado inafanyaga kazi? Kweli ninaamini wangenipeleka udongoni ningejua na pelekwa udongoni, maana nilikuwa nafahamu na nilikuwa nasikia watu wanavyo lia.

Kama ndiyo kufa ni Mungu tu mwanadamu hawezi, watu wanazikwa huku wakijua kabisa wanapelekwa udongoni ila nguvu ya kukataa ndiyo hawana!
Mbona wapo wengi tu wanaozinduka, wengine huzindukia mochwari. Tatizo kwa waisilamu vijijini huwa hawakulazi njaa, saa mbili tu kitu hicho wanarudisha chepe na jeneza tupu.
 
tokea wiki iliyopita hali hii imejitokeza na watu wameanza kufa sana serikali ifuatilie hili jambo! mie pia niliamka asbh vizur ilivyofka mchana nikazidiwa mpaka macho yakawa hayaoni! bahati nzuri wasamaria wakanikimbiza hospitali kubwa wakacheza na sindano zao nikarud normal baada ya masaa kama matatu hivi!

ila watu wanakata moto sana sasa hiv
Ulichoma chanjo ya corona Mkuu?
 
Labda utaniona mimi, sina imani, ila mada iko mbali na dini, Wachangiaji ni watu wote bila kujali imani zao.

Je unaweza kumdhitishia mwana sayansi, sehemu ilipo roho ya mwanadamu.
Mbona unataka kulazimisha mambo Nahoyo? Nilichosema si mwanasayasi au mwanadini anayeweza kuthibitisha pasipo shaka nn hufuata baada ya kifo.
 
Ilikuwa Alhamisi ya last week nilikuwa nasikia maumivu ya tumbo sana. Familia yangu wakanikimbiza hospitali maana hali yangu ilikuwa siyo nzuri, ndugu na jamaa walikuwa wanasubiri majibu kutoka kwa docters tu maana nilikuwa na hali mbaya.

Nilifika hospitali kwa bahati mbaya kama maelezo yao walivyonisimulia kuwa nilikufa kabisa wakanifunika na shuka. Sasa kilichonishangaza mimi kipindi nipo kitandani pale mimi nilihisi kuwa nimelala, yaani nimepumzika maana akili yangu bado ilikuwa inafanya kazi kabisa.

Nilikuwa nasikia vilio vya watu na kutambua huyu ni mama yangu, huyu ni fulani, ila kule kuongea au kutikisika na kufungua macho ndiyo nilikuwa siwezi kabisa.

Kwa maelezo yao walisema nilifanya kitu cha masaa matatu maiti yangu iko tu kitandani, walikuwa wanafanya utaratibu wakunipeleka mochari ndiyo nikafufuka tena.

Mpaka sasa hivi bado najiuliza kumbe mtu akifa akili yake bado inafanyaga kazi? Kweli ninaamini wangenipeleka udongoni ningejua na pelekwa udongoni, maana nilikuwa nafahamu na nilikuwa nasikia watu wanavyo lia.

Kama ndiyo kufa ni Mungu tu mwanadamu hawezi, watu wanazikwa huku wakijua kabisa wanapelekwa udongoni ila nguvu ya kukataa ndiyo hawana!
Hamna bana wewe ulifanya ulirestast system ya mbongo yako
 
Moyo unaweza kusimama ila mtu bado akawa hajafa mpaka ubongo ufe(brain dead)

Periods of unconsciousness​

As death approaches, you may drift from sleep into unconsciousness, much like being in a coma or dream state. You may wake up later, unaware that you were unconscious. Toward the end, you’ll remain in this unconscious state of extended rest.

Research suggests that even as your body transitions into unconsciousness, it’s possible that you’ll still be able to feel comforting touches from your loved ones and hear them speaking. Touch and hearing are the last senses to go when we die.
 
Mtu akifa anajua kwamba kafa na anasikia yote,sababu ubongo unakua haujafa totally
Akishakufa amekufa, hakuna mtu anayejuwa kuwa aliyekufa anajuwa kuwa kafa. Siyo kisayansi. Na kwasababu kitendo cha kufa ni process. Kuna stage ambayo mtu anakuwa kwenye hali ambayo ni kama ameshakufa kutokana na organs nyingine zote kusimama kufanya kazi, na “senses” nyingine zote isipokuwa tu za uwezo wa kusikia na kuhisi.

Ambapo hivyo (kusikia na kuhisi), ni vitu vya mwisho kabisa kwenye “process” ya kufa.

“However, Touch and hearing are the last senses to go when we die. So it is possible, when we think they’re already dead, they still can hear or feel us when we speak or touch them.”
 
Hii Hali hata mm ilishawai kunikuta,nlikuwa naota nimekufa na chanzo Cha kifo changu ni shoti ya umeme.Watu walipokuwa wanakuja kwa kulia nlikuwa naskia mwanzo mwisho Tena na sauti nazijua huyu ni mama na huyu ni rafiki yangu Fulani lkn kuwajibu tu nikawa siwezi kabisa.ila sikuwai kwenda kuzikwa kwahiyo yakule kaburini siyajui lakn mpaka utakapobebwa kwenye sanduku ufahamu unakuwa nao.Hii ndoto sikuwai kumwambia mtu yyte Ata mkewangu
 
Duh mi nikilala tu huwa sina ufahamu wa lolote linaloendelea kwenye mazingira yaliyonizunguka.
 
Ilikuwa Alhamisi ya last week nilikuwa nasikia maumivu ya tumbo sana. Familia yangu wakanikimbiza hospitali maana hali yangu ilikuwa siyo nzuri, ndugu na jamaa walikuwa wanasubiri majibu kutoka kwa docters tu maana nilikuwa na hali mbaya.

Nilifika hospitali kwa bahati mbaya kama maelezo yao walivyonisimulia kuwa nilikufa kabisa wakanifunika na shuka. Sasa kilichonishangaza mimi kipindi nipo kitandani pale mimi nilihisi kuwa nimelala, yaani nimepumzika maana akili yangu bado ilikuwa inafanya kazi kabisa.

Nilikuwa nasikia vilio vya watu na kutambua huyu ni mama yangu, huyu ni fulani, ila kule kuongea au kutikisika na kufungua macho ndiyo nilikuwa siwezi kabisa.

Kwa maelezo yao walisema nilifanya kitu cha masaa matatu maiti yangu iko tu kitandani, walikuwa wanafanya utaratibu wakunipeleka mochari ndiyo nikafufuka tena.

Mpaka sasa hivi bado najiuliza kumbe mtu akifa akili yake bado inafanyaga kazi? Kweli ninaamini wangenipeleka udongoni ningejua na pelekwa udongoni, maana nilikuwa nafahamu na nilikuwa nasikia watu wanavyo lia.

Kama ndiyo kufa ni Mungu tu mwanadamu hawezi, watu wanazikwa huku wakijua kabisa wanapelekwa udongoni ila nguvu ya kukataa ndiyo hawana!
Mkuu pole kwa ulilopitia na ni experience inayoweza kueleza muda mtu anafariki inakuwaje.
Kimsingi binadamu ana mwili na nafsi
Mwili waweza kufariki lakini nafsi bado inakuwa haijaindoka mwilini.
Nafsi ni kama wazo au ndoto binafsi ambayo haiwezi kufa kama binadamu mwili.

Wengi walioweza "kurudi" toka kifoni wameeleza kuwa wanawaona watu wakiwalilia huku wenyewe wakiendelea kufloat juu ya anga zao.

Hapo ndio inabidi tuamini maneno ya kiroho tunayofundishwa.
Nafsi inaweza kucontrol mwili ufanye mema ya Mungu, wakatu huo huo mwili hauwezi kuicontrol nafsi.

Biblia inatuambia nfsi iliyotenda mema itaishi milele wakati ile iliyoshindwa kuishi na mwili kwa kumtukuza Mungu itaadhibiwa milele.
 
Ilikuwa Alhamisi ya last week nilikuwa nasikia maumivu ya tumbo sana. Familia yangu wakanikimbiza hospitali maana hali yangu ilikuwa siyo nzuri, ndugu na jamaa walikuwa wanasubiri majibu kutoka kwa docters tu maana nilikuwa na hali mbaya.

Nilifika hospitali kwa bahati mbaya kama maelezo yao walivyonisimulia kuwa nilikufa kabisa wakanifunika na shuka. Sasa kilichonishangaza mimi kipindi nipo kitandani pale mimi nilihisi kuwa nimelala, yaani nimepumzika maana akili yangu bado ilikuwa inafanya kazi kabisa.

Nilikuwa nasikia vilio vya watu na kutambua huyu ni mama yangu, huyu ni fulani, ila kule kuongea au kutikisika na kufungua macho ndiyo nilikuwa siwezi kabisa.

Kwa maelezo yao walisema nilifanya kitu cha masaa matatu maiti yangu iko tu kitandani, walikuwa wanafanya utaratibu wakunipeleka mochari ndiyo nikafufuka tena.

Mpaka sasa hivi bado najiuliza kumbe mtu akifa akili yake bado inafanyaga kazi? Kweli ninaamini wangenipeleka udongoni ningejua na pelekwa udongoni, maana nilikuwa nafahamu na nilikuwa nasikia watu wanavyo lia.

Kama ndiyo kufa ni Mungu tu mwanadamu hawezi, watu wanazikwa huku wakijua kabisa wanapelekwa udongoni ila nguvu ya kukataa ndiyo hawana!

Kwa iyo na yesu ulimgonb
au
 
Akishakufa amekufa, hakuna mtu anayejuwa kuwa aliyekufa anajuwa kuwa kafa. Siyo kisayansi. Na kwasababu kitendo cha kufa ni process. Kuna stage ambayo mtu anakuwa kwenye hali ambayo ni kama ameshakufa kutokana na organs nyingine zote kusimama kufanya kazi, na “senses” nyingine zote isipokuwa tu za uwezo wa kusikia na kuhisi.

Ambapo hivyo (kusikia na kuhisi), ni vitu vya mwisho kabisa kwenye “process” ya kufa.

“However, Touch and hearing are the last senses to go when we die. So it is possible, when we think they’re already dead, they still can hear or feel us when we speak or touch them.”
Unabisha nini unakubali nini!?..hebu Soma Tena ulichoandika
 
The dead know they are dead,ndicho nilichosema,ukapinga,google hiyo sentensi yangu
Wewe umejuaje kuwa mtu aliyekufa anajuwa kwamba amekufa?

Ndiyo asili ya kauli yangu niliposema “Akishakufa amekufa, hakuna mtu anayejuwa kuwa aliyekufa anajuwa kuwa kafa. Siyo kisayansi”

Scientifically, how do you know that you’re dead? You might know you’re dying, but when you’re dead, it’s done. There’s no way to know.

Sasa wenye kuamini dini ndiyo wanaweza kusema hayo maneno kwamba ukifa unajuwa umekufa. Ndiyo msingi wa kauli yangu kuwa “siyo kisayansi”

Kuhusu kufahamu kwamba umekufa, hiyo ni process ya kufa. Kifo ni process, na hiyo kwa mujibu wa watafiti, kwasababu mtu bado anasikia na kuhisi kwenye hatua ya mwisho ya kifo, hapo anaelewa kwamba amekufa, lakini eventually hizo sense nazo zinamalizkia kwenye process ya kifo. Ila akishakufa amekufa.
 
Ilikuwa Alhamisi ya last week nilikuwa nasikia maumivu ya tumbo sana. Familia yangu wakanikimbiza hospitali maana hali yangu ilikuwa siyo nzuri, ndugu na jamaa walikuwa wanasubiri majibu kutoka kwa docters tu maana nilikuwa na hali mbaya.

Nilifika hospitali kwa bahati mbaya kama maelezo yao walivyonisimulia kuwa nilikufa kabisa wakanifunika na shuka. Sasa kilichonishangaza mimi kipindi nipo kitandani pale mimi nilihisi kuwa nimelala, yaani nimepumzika maana akili yangu bado ilikuwa inafanya kazi kabisa.

Nilikuwa nasikia vilio vya watu na kutambua huyu ni mama yangu, huyu ni fulani, ila kule kuongea au kutikisika na kufungua macho ndiyo nilikuwa siwezi kabisa.

Kwa maelezo yao walisema nilifanya kitu cha masaa matatu maiti yangu iko tu kitandani, walikuwa wanafanya utaratibu wakunipeleka mochari ndiyo nikafufuka tena.

Mpaka sasa hivi bado najiuliza kumbe mtu akifa akili yake bado inafanyaga kazi? Kweli ninaamini wangenipeleka udongoni ningejua na pelekwa udongoni, maana nilikuwa nafahamu na nilikuwa nasikia watu wanavyo lia.

Kama ndiyo kufa ni Mungu tu mwanadamu hawezi, watu wanazikwa huku wakijua kabisa wanapelekwa udongoni ila nguvu ya kukataa ndiyo hawana!
Ulipata coma
 
Back
Top Bottom