Wewe umejuaje kuwa mtu aliyekufa anajuwa kwamba amekufa?
Ndiyo asili ya kauli yangu niliposema “Akishakufa amekufa, hakuna mtu anayejuwa kuwa aliyekufa anajuwa kuwa kafa. Siyo kisayansi”
Scientifically, how do you know that you’re dead? You might know you’re dying, but when you’re dead, it’s done. There’s no way to know.
Sasa wenye kuamini dini ndiyo wanaweza kusema hayo maneno kwamba ukifa unajuwa umekufa. Ndiyo msingi wa kauli yangu kuwa “siyo kisayansi”
Kuhusu kufahamu kwamba umekufa, hiyo ni process ya kufa. Kifo ni process, na hiyo kwa mujibu wa watafiti, kwasababu mtu bado anasikia na kuhisi kwenye hatua ya mwisho ya kifo, hapo anaelewa kwamba amekufa, lakini eventually hizo sense nazo zinamalizkia kwenye process ya kifo. Ila akishakufa amekufa.