Hio inaonesha huwezi kuficha. Huyo marehemu kila mtu amejua. Hao wengine wanaofichwa wako mitaa gani hata tusisikie wakifa?Kwahiyo yule aliekufa kwa corona alikuwa anaishi angani sio mitaa ya tanzania!!
Hivi hivyo vichwa kazi Yake Ni kufugia viduku ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwanini hujiulizi kwanini China waliougua ni 85 elfu wakati Marekani ni zaidi ya laki 2?furaha yako ni kuona Tanzania ina wagonjwa wengi? Kweli upinzani Tanzania ni sawa na Corona.
Niambie wewe unajua wangapi wamekufa kwa Corona Tz. Mnaposema wanaficha tupeni idadi ambayo mnaijua ya kweli.So utaambiwa tu amekufa kwa ugonjwa wowote ule, inamaana hakuna wanaokufa sasa hivi.
Acheni unafiki
2 wamepona, 1 kaondoka, bado kupona 17.Wagonjwa wako 17 case 20
Lakin niungo tu wamajiwe
Ndiyo utuletee hizo data na usisahau mweusi anayeishi south of the sahara ni tofauti na mweusi anayeishi huko kwenye mibarafu bila kuonja hata sindano ya mbu.Sisi tuna usugu fulani eti.Sisemi Corona siyo tishio,chukua tahadhari!
Chukua tahadhari wewe na corona achana na hizi comments zetu za kwenye mitandao,humu hatuandiki MSc.proposals
Watu wengine wajinga achana nao arusha yule dada wa kwanza walisema kuna watu wa8 wameambukizwa lkn baada ya kupima hakuna ata mmoja, Wajinga wanapenda itangazwe kuwa Tz ina wagonjwa wa Corona 519 ndio waridhike na waoEndelea kufunga na kuomba corona ikufikie ili namba iwe kubwa.
Hawana vipimo hao, nipe moja then nikupe hali halisiMbona kuna nchi hazina maambukizi na zipo Afrika?Kwa hiyo unaona shida kuwa na idadi ndogo?Sio lazima tufanane kimaambukizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wagonjwa wako 17 case 20
Lakin niungo tu wamajiwe
Watu wengine wajinga achana nao arusha yule dada wa kwanza walisema kuna watu wa8 wameambukizwa lkn baada ya kupima hakuna ata mmoja, Wajinga wanapenda itangazwe kuwa Tz ina wagonjwa wa Corona 519 ndio waridhike na wao
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna tetesi kwamba Bustani ya Eden ilikuwa Tanzania...!!