Kama CHADEMA wamekataa nafasi 19 za Wabunge wa Viti Maalum na ruzuku basi watuombe radhi sisi Wapiga kura wao

ni kama unaandika huku ukiwa unapumua kwa shida sana. kaa utulie kisha andaa hoja zako vizuri ili ueleweke.
 
 
Utakua na matatizo ya uelewa kama mlivyo nyie mataga, CCM ndio walio gushi barua na kuipeleka tume ya uchaguzi ikionyesha Chadema imeteua wabunge hao 19, na Tume wakayapeleka majina kwa Spika,Kwa vikao halali vya Chadema wakawafukuza hao wabunge baada ya kuona wameshirikiana na CCM katika upuuzi huo
 
Kwanini unahoji wabunge 19 na sio wabunge zaidi ya 200 na kura za raisi? usijitoe ufahamu KAMA is real lazıma ikutafune tu.
 
Jamaa huwa muongo weye!Hivi ulishahama kwenye lile ghetto lako chakavu?
 
Mleta hoja na kushauri punguza unywaji wa mataputapu kwani ulichoandika ni upuuzi wa ajabu na sidhani kama kuna 'ushirikiano' kati ya kichwa na vidole vyako.
 
Awamu hii hakuna Mtaka Sifa kama Mwendazake
 
YAANI UMEAANDIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIKAAAAAAAAAAAAAAAA...!!! Nimetafuta kama kuna pahala umeandika WAMEFUKUZWA UANACHAMA SIJAPAONA... Yaani unataka CDM iwafukuze uandachama, halafu ipokee ruzuku... HUO NI UFALA...

Halafu kwa akili yako, huoni kama mtego uliokuwa umebaki kwa CDM ni ruzuku? WAKATI MWINGINE ACHENI KUJISHUCHIA HESHIMA ZENU KIFALA HIVI
 
Sasa yule mbunge wa Nkasi alipatikanaje?
UWE UNAFIKIRI KWA KIUNGO HUSIKA... Uchaguzi ukiwa wa hovyo jimbo moja, inaweza usiwe hivyo jimbo jingine...

Halafu waende mahakamani wakashitaki kitu gani? Wao jukumu lao lilikuwa kuwatimua uanachama akina Halima na wenzie kwa kujipa u-viti maalumu nje ya chama lakini kwa jina la chama...!!!

Sasa na wao akina HALIMA walikata rufaa ya kitu gani? Kupinga nini? Ujinga mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…