Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,940
- 6,854
Kwani yuko wapi?Hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
Paliwahi kutokea kamanda mfia chama kama Halima James Mdee lakini yuko wapi leo?
Amandla...
Kwani yuko wapi?Hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
Paliwahi kutokea kamanda mfia chama kama Halima James Mdee lakini yuko wapi leo?
Chama Dola!Kwani yuko wapi?
Amandla...
Siijui, weka ushahidi hapa wa bank slip inayoonyesha kuwa pesa ya ruzuku imeingia kwenye akaunti ya CHADEMAWewe unaijua account ya Chadema?
ni kama unaandika huku ukiwa unapumua kwa shida sana. kaa utulie kisha andaa hoja zako vizuri ili ueleweke.Haiwezekani sisi wananchi tupange foleni kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua Tundu Lisu na Halima Mdee kwa mfano hapa Kawe halafu leo kirahisi rahisi tu Chadema wanadai hawazitaki nafasi za ubunge wa viti maalumu wala ruzuku eti wanataka haki!!
Haki gani wanayoidai hawa Chadema?
Mbona hawaendi mahakamani?
Hivi vyama vya siasa ni mali ya wananchi siyo mali ya mtu binafsi.
Sasa kama Chadema wamekataa viti maalumu wale akina Halima Mdee wanamuwakilisha nani bungeni?
Yule mbunge wa Nkasi status yake ikoje pale bungeni?
Kiukweli Chadema mnapaswa kutuomba radhi wapiga kura wa Tanzania hakuna namna.
Peoples...........Power!
Haiwezekani sisi wananchi tupange foleni kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua Tundu Lisu na Halima Mdee kwa mfano hapa Kawe halafu leo kirahisi rahisi tu Chadema wanadai hawazitaki nafasi za ubunge wa viti maalumu wala ruzuku eti wanataka haki!!
Haki gani wanayoidai hawa Chadema?
Mbona hawaendi mahakamani?
Hivi vyama vya siasa ni mali ya wananchi siyo mali ya mtu binafsi.
Sasa kama Chadema wamekataa viti maalumu wale akina Halima Mdee wanamuwakilisha nani bungeni?
Yule mbunge wa Nkasi status yake ikoje pale bungeni?
Kiukweli Chadema mnapaswa kutuomba radhi wapiga kura wa Tanzania hakuna namna.
Peoples...........Power!
Utakua na matatizo ya uelewa kama mlivyo nyie mataga, CCM ndio walio gushi barua na kuipeleka tume ya uchaguzi ikionyesha Chadema imeteua wabunge hao 19, na Tume wakayapeleka majina kwa Spika,Kwa vikao halali vya Chadema wakawafukuza hao wabunge baada ya kuona wameshirikiana na CCM katika upuuzi huoHaiwezekani sisi wananchi tupange foleni kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua Tundu Lisu na Halima Mdee kwa mfano hapa Kawe halafu leo kirahisi rahisi tu Chadema wanadai hawazitaki nafasi za ubunge wa viti maalumu wala ruzuku eti wanataka haki!!
Haki gani wanayoidai hawa Chadema?
Mbona hawaendi mahakamani?
Hivi vyama vya siasa ni mali ya wananchi siyo mali ya mtu binafsi.
Sasa kama Chadema wamekataa viti maalumu wale akina Halima Mdee wanamuwakilisha nani bungeni?
Yule mbunge wa Nkasi status yake ikoje pale bungeni?
Kiukweli Chadema mnapaswa kutuomba radhi wapiga kura wa Tanzania hakuna namna.
Peoples...........Power!
Niliingia Chadema 1993 lakini 1995 kura nilimpigia Augustino Mrema wa Nccr mageuzi!johnthebaptist ulianza kuwa mpiga kura wa Chadema baada ya kifo cha mwendazake?
Kwa hiyo ni mbunge wa kuteuliwa wa chama dola?Chama Dola!
Unakijua Chachandu wewe?Kwa hiyo ni mbunge wa kuteuliwa wa chama dola?
Amandla...
Kwanini unahoji wabunge 19 na sio wabunge zaidi ya 200 na kura za raisi? usijitoe ufahamu KAMA is real lazıma ikutafune tu.Haiwezekani sisi wananchi tupange foleni kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua Tundu Lisu na Halima Mdee kwa mfano hapa Kawe halafu leo kirahisi rahisi tu Chadema wanadai hawazitaki nafasi za ubunge wa viti maalumu wala ruzuku eti wanataka haki!!
Haki gani wanayoidai hawa Chadema?
Mbona hawaendi mahakamani?
Hivi vyama vya siasa ni mali ya wananchi siyo mali ya mtu binafsi.
Sasa kama Chadema wamekataa viti maalumu wale akina Halima Mdee wanamuwakilisha nani bungeni?
Yule mbunge wa Nkasi status yake ikoje pale bungeni?
Kiukweli Chadema mnapaswa kutuomba radhi wapiga kura wa Tanzania hakuna namna.
Peoples...........Power!
Nielimishe. Ndio Chama dola unachozungumzia?Unakijua Chachandu wewe?
Jamaa huwa muongo weye!Hivi ulishahama kwenye lile ghetto lako chakavu?Haiwezekani sisi wananchi tupange foleni kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua Tundu Lisu na Halima Mdee kwa mfano hapa Kawe halafu leo kirahisi rahisi tu Chadema wanadai hawazitaki nafasi za ubunge wa viti maalumu wala ruzuku eti wanataka haki!!
Haki gani wanayoidai hawa Chadema?
Mbona hawaendi mahakamani?
Hivi vyama vya siasa ni mali ya wananchi siyo mali ya mtu binafsi.
Sasa kama Chadema wamekataa viti maalumu wale akina Halima Mdee wanamuwakilisha nani bungeni?
Yule mbunge wa Nkasi status yake ikoje pale bungeni?
Kiukweli Chadema mnapaswa kutuomba radhi wapiga kura wa Tanzania hakuna namna.
Peoples...........Power!
Ni mdogo wake Chama Dola kipo pale Dodoma!Nielimishe. Ndio Chama dola unachozungumzia?
Amandla...
Awamu hii hakuna Mtaka Sifa kama MwendazakeHaiwezekani sisi wananchi tupange foleni kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua Tundu Lisu na Halima Mdee kwa mfano hapa Kawe halafu leo kirahisi rahisi tu Chadema wanadai hawazitaki nafasi za ubunge wa viti maalumu wala ruzuku eti wanataka haki!!
Haki gani wanayoidai hawa Chadema?
Mbona hawaendi mahakamani?
Hivi vyama vya siasa ni mali ya wananchi siyo mali ya mtu binafsi.
Sasa kama Chadema wamekataa viti maalumu wale akina Halima Mdee wanamuwakilisha nani bungeni?
Yule mbunge wa Nkasi status yake ikoje pale bungeni?
Kiukweli Chadema mnapaswa kutuomba radhi wapiga kura wa Tanzania hakuna namna.
Peoples...........Power!
Yule mpuuzi, mwendazake aliwataka mahakama wasitende haki. Labda kama ulikuwa umekufa awamu ya 5.Hakuna kiongozi aliyewahi kuwataka Mahakama wasitende haki.
Yule mpuuzi, mwendazake aliwataka mahakama wasitende haki. Labda kama ulikuwa umekufa awamu ya 5.
YAANI UMEAANDIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIKAAAAAAAAAAAAAAAA...!!! Nimetafuta kama kuna pahala umeandika WAMEFUKUZWA UANACHAMA SIJAPAONA... Yaani unataka CDM iwafukuze uandachama, halafu ipokee ruzuku... HUO NI UFALA...Haiwezekani sisi wananchi tupange foleni kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua Tundu Lisu na Halima Mdee kwa mfano hapa Kawe halafu leo kirahisi rahisi tu Chadema wanadai hawazitaki nafasi za ubunge wa viti maalumu wala ruzuku eti wanataka haki!!
Haki gani wanayoidai hawa Chadema?
Mbona hawaendi mahakamani?
Hivi vyama vya siasa ni mali ya wananchi siyo mali ya mtu binafsi.
Sasa kama Chadema wamekataa viti maalumu wale akina Halima Mdee wanamuwakilisha nani bungeni?
Yule mbunge wa Nkasi status yake ikoje pale bungeni?
Kiukweli Chadema mnapaswa kutuomba radhi wapiga kura wa Tanzania hakuna namna.
Peoples...........Power!
UWE UNAFIKIRI KWA KIUNGO HUSIKA... Uchaguzi ukiwa wa hovyo jimbo moja, inaweza usiwe hivyo jimbo jingine...Sasa yule mbunge wa Nkasi alipatikanaje?