Kama anakufanyia haya…! Dada unaachwa!

Kama anakufanyia haya…! Dada unaachwa!

Nikishaona dalili tu mi najikata kimya kimya,kelele za nini na MTU mzima..
 
(1) Anawasiliana, anatamani na kuongea kimahaba na wanawake wengine
(2) Hakuchukulii siriasi tena;
(3) Hakupigii tena simu wala kujibu
(4) Hakuonyeshi Tena Mahaba;
(5) Hataki tena kufanya mapenzi na wewe;
(6) Anakuambia nataka kuwa peke yake “More Space”
(7) Hataki kuongelea tena mambo ya mapenzi;
(8) Hakusifii tena;
(9) Hakuheshimu tena;
(10) Ameacha kuongelea mambo ya ndoa:

(11)Anakung'ong'a wakati umelala
(12)Usiku unaota anakutoa nduki akiwa kashika rungu na msumeno
(13)kila ukistuka usingizini unamkuta yuko macho anakutazama ujue alikuwa amakung'ong'a ukiwa umelala
 
(11)Anakung'ong'a wakati umelala
(12)Usiku unaota anakutoa nduki akiwa kashika rungu na msumeno
(13)kila ukistuka usingizini unamkuta yuko macho anakutazama ujue alikuwa amakung'ong'a ukiwa umelala
aseeh
 
Nikishaona mambo sivyo ndivyo na mimi huwa ninasahua kupiga simu au kutumia sms
 
Yaani akianza kupokea simu za wanawake mbele yako na kuwaongelesha kimahaba.... sepa

Ila kabla ya kusepa ongea na simu na kidume halafu deka haswa.....

Ili umuache imemchoma
 
Back
Top Bottom