Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,655
- Thread starter
- #81
Mgoogleyuko wap uyo jamaa nimlete
Mgoogleyuko wap uyo jamaa nimlete
HahahaBora kusomwa kwenye ripoti ya Makinikia no2.. Kuliko kujijua kwamba unaachwa!
ndio hivyo..wanawake mmetofautianaHayo mambo ndo siyataki sema kuna wasichana wengine wanaona vyote hivo but still anajipa moyo ipo siku mwanaume atabadilika.......uwa wananiboa sana
sawa mkuu
kweli kabisapole yao kwakweli penda unapopendwa jamaan
Hahaha wengine wanakacha aseehKwa jinsi maisha ya livyo kuwa magumu demu hata umfanyie nn hakuachi ng'oo
Huku kwe2 demu hata umpige vip haondokiHahaha wengine wanakacha aseeh
Hao ni kibokoHuku kwe2 demu hata umpige vip haondoki
hatareeHao ni kiboko
Nasisitiza tu I'm so lucky having you Smart911 in my life...........
And I know there are so many other women wants you out there my Smart911 for sure you are a man.. The real man.. Ki mahondaw chako kinakupenda sana Smart911 my king
Jamani nipo ndani ya mada eee!
[HASHTAG]#Get[/HASHTAG] well soon my king
Mapenzi ni matamu sana ukimpata mtu sahihi.
QUOTE]
Umenena sawa sawia @Sumu
LolMgoogle
Basi tu sipendi kuwa busy na mahusaiano mda woteUnataka space ili ujadili nini peke yako..