Mayova
JF-Expert Member
- May 10, 2018
- 248
- 245
Wazee mambo vip wataalamu wa mapenzi ? Ebwana nilianzisha mahusiona ya kimapenzi na demu mmoja alikua anakaa na dada yake .
Mara nyingi nlikua sipendi mahusiono yetu yawe public lakini kumbe alimwambia dadake kila kitu kuhusu mahusiano yetu nikashangaa dada ake ananiita shemeji 😀😀.
Sasa nikawa najiuliza kwanini alimwambia dada yake ?
Nadhani wazoefu mnaweza kunisaidia mawazo hapo maana nlikua sipendi mtu ajue kama mm nina mahusiano nae