Kama anakufanyia haya…! Dada unaachwa!

Kama anakufanyia haya…! Dada unaachwa!

Kwa jinsi maisha ya livyo kuwa magumu demu hata umfanyie nn hakuachi ng'oo
 
(11)Anakung'ong'a wakati umelala
(12)Usiku unaota anakutoa nduki akiwa kashika rungu na msumeno
(13)kila ukistuka usingizini unamkuta yuko macho anakutazama ujue alikuwa amakung'ong'a ukiwa umelala
Duh. Huu sasa wanga.
 
Hayo mambo ndo siyataki sema kuna wasichana wengine wanaona vyote hivo but still anajipa moyo ipo siku mwanaume atabadilika.......uwa wananiboa sana
 
Namba 6 ni uongo mtupu... i always need space na mwanamke atakaejua siri hiyo nadhan atadumu sn na mimi kwenye mahusiano...
 
Back
Top Bottom