Kaka zetu leo nawapeni ukweli

Kaka zetu leo nawapeni ukweli

Tutafanya ivyo me too.
Ila kuna ile unapewa namba una.tumia SMS ya kwangu iyo. Anasema sawa afu anakuomba umsaidie vocha.
Yaani hapo hapo on spot nafuta namba yake.
Kwa hapo nakuunga mkono, maadamu kabla ya kumtongoza aliishije?
 
Wapenzi huongea Mapenzi na Hufanya Mapenzi.

Umekubali kuwa Mpenzi wangu, hizo mambo nikaongee na nani!? Na huko ndiko kujuana na kufahamiana vyedi.
Kupata mpenzi kuna maisha pia.

So unatakiwa ujibalance.
 
Mie niko tofauti....Lazma nipate dhamana ya kukupa hela. Siwezi kukuita mpenzi ilihali sijakumwagia manii yangu. Lazma uwe na protini zangu kwenye mfumo wako wa kizazi.

From there on hela ntakuwa nakupa. Ila bila kukugonga hela sitoagi 😂😂😂
Ha ha hah yaani umeongea kwa hisiaa kwamba hupendi jingajinga.
 
Ha ha ha huo ujinga wa bebi i lavyu ntumie credit basi...Mara sijui blah blah gani na wakati huo hatujavuana nguo tukaburudishana
aisee hio mambo sifanyagi, hapo ndio wengine huishia kutuita mabahili tu 😂😂😂
 
S

Ha ha ha h Sawa mkuu
 
Ofcourse muomba papachu atapata muomba hela na muomba hela atapata muomba papachu...

Ikitokea muomba hela kapata mtu ambaye aombi papachu hrk hrk basi muomba papachu inabidi ampige chini muomba hela

Na ikitokea muomba papachu kapata mtu ambaye haombi hela hrk hrk basi muomba papachu apigwe chini faster..

Ukiona mwanaume kakutongoza faster na kuomba papachu mda huo huo,ujue kuna mawili

1.Amezoea kutongoza vicheche
2.amekuchukulia km na wewe kicheche(cheap)

Note:wadada usimsamehe mwanaume anakutongoza as if wewe ni cheap cheap sababu ukikubali ndo siku utasikia anakwambia tujaribu na kwa mpalange

Wanaume wengi wanajua kumpa mwanamke thamani yake km wewe hupewi piga chini,move on.
 
Kati ya kumi ni watatu tu na we umo..
Wenzio wanajiparuzaparuza weee kudai maslai yao tu yawe kipaumbele.

Umeongea point Nzuri nakuombea upate mke bora na sio bora mke.
 
Tumegongana Mara kadhaa kwenye mwendokasi tena kwa bahati tukakaa seat moja kila siku, akili yako ikajisolve uombe namba kwa huyo binti, siku uliyoomba namba usiku wake mkachart ukimtaka mkutane kwenye lounge moja wapo, binti bila hiana kakubali.

Siku ilipowadia mkakutana full enjoi hapohapo handsome ukamtongoza binti mpaka machozi, binti amekubali. Mkarejea home.

Ikumbukwe binti mwenyewe misimamo akikukubalia siku hiyo hiyo uliyomtongoza na akikujibu 'OK' hiyo huwa haimaanishi. Anataka akuchunguze kwanza.

Kidume unarudi home na furaha, usiku wake hapohapo unaanza kumtext ghafla na KOSA kubwa ambalo nimewaita mlijue ni ukateleza na kumwambia " lini utakuja kwangu" ukiunganisha na maneno ya "mwenzio inadinda sana".

Kwakuwa binti alisema " OK " ila hakumaanisha nia ni kukuchunguza kwanza hapohapo kama alikuwa kakupanga kwenye list ya uwe mume wa ndoa Kweli atapangua na kukufanya mchunwaji.

Ndio utasikia dem nimemtongoza Jana leo kaomba pesa, kaka zangu ni nyie tu mnajitengeneza hiyo hali, Hakuna mwanamke asiye na akili utongoze asubuhi usiku uombe namna ya kupata game badala ya namna ya kujenga uhusiano wenu.

NB: Unavomchukulia mwanamke aliekuomba hela baada ya kumtongoza tu ndivyo na wanawake wanavyo wafikiria kuomba game baada ya kumtongoza.
Kwani nilivyokuomba no ulikua hujui ninachokitaka kutoka kwako!? Mnajua sana na mnataka sana sema mnapenda kujifanya mnazuga tu!!
 
We shipaza hiyo shingo uendelee kuchunwa tu.
 
Ukishatoa namba ya simu unategemea nini zaidi ya kuombwa mzigo?? Jiongeze mama, wakati umebadilika sana..hata hayo mambo ya mahusiano ya muda mrefu na ndoa huja baada ya kula mzigo.. toa mzigo acha longo longo..
 
Nimetoa elimu tu ila haina ulazima wa kukubaliana na kile nilicho andika.
Endelea kupalangana na wanawake.
 
Tumegongana Mara kadhaa kwenye mwendokasi tena kwa bahati tukakaa seat moja kila siku, akili yako ikajisolve uombe namba kwa huyo binti, siku uliyoomba namba usiku wake mkachart ukimtaka mkutane kwenye lounge moja wapo, binti bila hiana kakubali.

Siku ilipowadia mkakutana full enjoi hapohapo handsome ukamtongoza binti mpaka machozi, binti amekubali. Mkarejea home.

Ikumbukwe binti mwenyewe misimamo akikukubalia siku hiyo hiyo uliyomtongoza na akikujibu 'OK' hiyo huwa haimaanishi. Anataka akuchunguze kwanza.

Kidume unarudi home na furaha, usiku wake hapohapo unaanza kumtext ghafla na KOSA kubwa ambalo nimewaita mlijue ni ukateleza na kumwambia " lini utakuja kwangu" ukiunganisha na maneno ya "mwenzio inadinda sana".

Kwakuwa binti alisema " OK " ila hakumaanisha nia ni kukuchunguza kwanza hapohapo kama alikuwa kakupanga kwenye list ya uwe mume wa ndoa Kweli atapangua na kukufanya mchunwaji.

Ndio utasikia dem nimemtongoza Jana leo kaomba pesa, kaka zangu ni nyie tu mnajitengeneza hiyo hali, Hakuna mwanamke asiye na akili utongoze asubuhi usiku uombe namna ya kupata game badala ya namna ya kujenga uhusiano wenu.

NB: Unavomchukulia mwanamke aliekuomba hela baada ya kumtongoza tu ndivyo na wanawake wanavyo wafikiria kuomba game baada ya kumtongoza.
Mabaharia tunatafuna siku hiyo au ingine kwa nguvu ya shekeli,ms za mapenzi ampelekee mvulana wake
 
Back
Top Bottom